Msanii wa muziki wa kizazi kipya Madee amesema ingawa hajajiandaa kisaikolojia kugombea Ubunge lakini marafiki zake wanamshawishi agombee. Madee amesema yeye ameishi sana jimbo la Kongwa...
Ameandika tena Tundu Lissu
Mzee Jomo Kenyatta wa Kenya, alikaa gerezani miaka tisa. Alipotoka kifungoni alienda moja kwa moja Ikulu ya Kenya kama Rais.
Fidel Castro alikaa gerezani miaka miwili...
Kwa kweli huwa sielewi kwa nini kila mtu afikirie kwenda kugombea kwao tena kwa watu maarufu na ambao wanajidai kua wamefanya mambo makubwa.
Naibu Spika wa Bunge la Tanzania anarudi kwenda...
Tunakaribia kufika mwezi wa kumi na ni mwezi ambao Watanzania tunakwenda kuchagua wawakilishi wa Wananchi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Kwa upande wa Rais ni wazi kuwa tayari...
Muandaji muziki maarufu Joachim Marunda Kimaryo (Master J) ametangaza nia ya kugombea ubunge jimbo la Rombo akiwa kwenye mahojiano katika redio ya Clouds FM kwenye kipindi cha XXL.
Master J...
Kwa muda sasa pamekuwepo tetesi kwamba mbunge wa Arusha mjini mtumishi Godbless Lema ataachana na jimbo lake la sasa la Arusha mjini na kuhamia Hai.
Tetesi hizo zilishika kasi baada ya mbunge wa...
Katibu wa itikadi na uenezi wa CCM komredi Polepole amesema katika kura ya maoni iliyofanyika kuelekea uchaguzi mkuu imeonyesha Wananchi zaidi ya 90% wanamkubali sana Rais Magufuli na zaidi ya...
Kila dalili ndani ya Chadema zinajionyesha, brother Lissu wenye Chadema yao hawakutaki ugombee urais kupitia chama hicho. Wangekutaka wangekupa hata signal ya kuwa wako nyuma yako katika...
CCM Jimbo la Mbeya wameanza kushikana uchawi mapema, wakituhumiana kusalitiana.
Jimbo la Mbeya linasiasa zake za tofauti, Dkt. Tulia hata kama atashinda kwa kutumia Dola, naamini ataongoza Jimbo...
Utaratibu wa miaka yote mgombea mwenyewe au wapambe wake ndio wenye jukumu la kutafuta wadhamini wa Mgombea wao , si viongozi wa Makao Makuu, hii ni kwa sababu viongozi hao hawatakiwi kubagua...
Huu ndio ushauri wangu kwa CHADEMA na ACT-Wazalendo ambao wako katika mazungumzo na vyama vingine kwa lengo la kushirikiana katika uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu.
Ninahaki combination ya Lissu...
1.HARMONIZE
Rajab Abdul ‘Harmonize' - Tandahimba Mkoani Mtwara kwa Tiketi ya CCM
2.SHILOLE
Zuwena Mohammed 'Shilole' - Igunga Kwa Tiketi Ya CCM
3.STEVE NYERERE
Steven Mengele ‘Steve Nyerere -...
Wakati ikijulikana wazi mwezi wa nne viwanda vya sukari vitasimamisha uzalishaji kulitokea uhaba mkubwa wa sukari ambao ulisababisha bei kupanda pamoja na juhudi za serikali ikiwa ni pamoja na...
Ninapenda tumia muda huu kukushukuru Mzee wangu Rais wa Jamuhuri ya Muungano ya watu watanzania kwa safari ndefu ya miaka mitano kutuongoza wa Tanzania hasa ktk kipindi kigumu chakubadilisha fikra...
Akihojiwa na idhaa ya kiswahili ya UJERUMANI aliyekuwa mwanaCCM MWENZETU mh. Benard Camillius Membe anatapatapa kwa kujinasibu kuwa na WENZAKE SITA. Akihofia kutowataja majina kwa kuogopa...
Heshima kwenu Ndugu wanajamvi,
Dalili zote zinaonyesha uchaguzi mkuu wa Rais,Wabunge na madiwani utafanyika October 2020.
Ni wazi yapo mambo mawili ambayo hayajakaa sawa.
Mosi ni Tume huru ya...
Kwa kifupi kabisa ni kwamba tunakwenda kwenye Uchaguzi ambao mshindi tayari anajulikana. Ninasema haya kwasababu zifuatazo.
1. Kukubalika kwa Rais Magufuli kwa watanzania walio wengi (hili liko...
Aliyekuwa mbunge wa kuteuliwa, Abdallah Bulembo, amesema taratibu haziruhusu mwanachama mwingine kuchukua fomu ya kugombea urais zaidi ya John Magufuli.
“Kwa mujibu wa sheria kama wewe ni mwana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.