Uchaguzi 2020 Nani atakuwa tayari kuchagua Wabunge wanaotumia madawa ya kulevya na pombe kali?

Idugunde

JF-Expert Member
May 21, 2020
6,273
6,637
Tunakaribia kufika mwezi wa kumi na ni mwezi ambao Watanzania tunakwenda kuchagua wawakilishi wa Wananchi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Kwa upande wa Rais ni wazi kuwa tayari ameshapatikana. Ila anasubiri kutangazwa tu.

Ila kwa Ubunge nafikiri hali ni mbaya hasa kwa Chadema maana spika wa bunge amenukuliwa akisema wabunge wa chama hiki wanatumia madawa ya kulevya na pombe kali na ndio maana walikuwa hawana hoja zaidi ya kuropoka na kupinga hata kama jambo linamanufaa kwa wananchi. Hii ni kwa mujibu wa gazeti la Mtanzania.

Hii ni dhahiri kuwa hawana nafasi tena ya kurudi bungeni sababu nani mwenye akili timamu atarudia makosa ya kuchagua wabunge wasiojielewa na walevi wa mihadarati na pombe kali ambao hawajali kero za wananchi? Jibu ni hakuna.
 
Unakuta ata ww baba ako anatumia pombe kali, kwani pombe kali sio kinywaji si serikali yako ingezuia...mbunge yupi anaetumia mihadarati tujuze
 
Unakuta ata ww baba ako anatumia pombe kali, kwani pombe kali sio kinywaji si serikali yako ingezuia...mbunge yupi anaetumia mihadarati tujuze
Kuvuta bangi na kunywa pombe kali kisha kwenda bungeni ni kosa kubwa,ni kudharau wanachadema kuwa ni wapuuzi.
 
Kuvuta bangi na kunywa pombe kali kisha kwenda bungeni ni kosa kubwa,ni kudharau wanachadema kuwa ni wapuuzi.
Sio kulidharau bunge, tena kama bunge la Ndugai hata mm ningekuwa naingia nimejidunga maana si unakutana na wazee wa ndio mzee....
 
Back
Top Bottom