Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mkurugenzi wa TBC Dkt. Ryoba amesema shirika lake litaonesha mikutano ya vyama vyote vya siasa wakati wa kampeni. Dr Ryoba amewataka viongozi wa kisiasa kutumia lugha za staha na kuzingatia...
2 Reactions
28 Replies
4K Views
Nikiwa katika mitaa Fulani karibu na ofisi ya chama Fulani cha Upinzani(jina kapuni) kulizuka mabishano makubwa yaliyoambatana na swali " Je, upizani utafurukuta uchaguzi huu kama ilivyokuwa...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
habari ndugu zangu wana JamiiForums. Nionavyo Mimi Maalim Seif ajaribu kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano kwa sababu hizi 1: Amegombea Zanzibar kwa takribani miongo mitatu bila mafanikio...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Wananchi wa Monduli wanamuomba Waziri Mkuu Mstaafu agombee Ubunge ili arudie uwakilishi wake Wana Monduli inaonekana bila Lowassa hawawezi kusonga mbele Mzee atakubali? Tusubiri atasemaje
4 Reactions
60 Replies
7K Views
Jeshi la Polisi nchini linatekeleza majukumu yake kwa "double standards" Lile linaloonekana haramu, likitendwa na CCM linaonekana halali kwao na likitendwa na vyama vya upinzani linaonekana...
10 Reactions
55 Replies
5K Views
Nikitazama mbele kuna mambo yatamshangaza Magu ktk uchaguzi huu kama ifuatavyo; 1. Tofauti na ilivyokuwa 2015 miamba miwili yaani Kikwete na Lowassa walikipasua chama na kuwa mapande mawili...
13 Reactions
56 Replies
6K Views
Imeshaamuliwa maDED wataendelea kusimamia uchaguzi na hakuna Tume Huru - the rules are set - je kwa nini upinzani umekubali kucheza mchezo huu? How genuinely are they seeking Change? Au kuna back...
0 Reactions
19 Replies
1K Views
Nimemsikia kwa masikio yangu mimi mwenyewe Ndugu Kasimu Majaliwa akimnadi Dr Magufuli kabla ya kupokea simu yake, ambapo ili achaguliwe Mh Magufuli " amewahonga " wananchi wa Lwangwa ujenzi wa...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) mkoani Lindi, inawashikilia watu wanne, akiwamo mtia nia wa nafasi ya ubunge, Ally Chinumba (CCM), kwa madai ya kuwashawishi wajumbe wa...
2 Reactions
15 Replies
3K Views
Chama cha NCCR-Mageuzi leo tarehe 27 June kinakutana na watia nia wake wa Ubunge katika majimbo yote Tanzania. Kikao hicho kinafanyika Dodoma na kina malengo ya kuwajengea uwezo na uelewa watia...
6 Reactions
85 Replies
7K Views
Katibu wa siasa na sekretarieti wa CCM kanali Lubinga amesema mkutano mkuu wa halmashauri kuu ya CCM utakutana July 11 na 12 kupitisha jina la mgombea Urais wa JMT Dkt. Magufuli na mgombea Urais...
8 Reactions
80 Replies
8K Views
CCM itachakazwa na kugaragazwa kama mbwa koko. Mipango yote imekamilika. Kwanza tutadukua ujinga wake wote, sasa wako uchi wa mnyama. Pili mipango kabambe tulishaimaliza, sasa vyama washirika wa...
24 Reactions
69 Replies
6K Views
Bado nafikiria kuhusu hekaya ya Mh Rais kuhusu Mwananzila. Kila mtendaji wa Serikali ninayemfikiria angeliisaidia Sana CC M pale Bungeni kujenga hoja na kunusuru zile mbao za madesk ya binge...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ukweli mchungu, Lissu ni maaarufu sana kuliko Magufuli, Lissu amesoma na kuelimika kuliko Magufuli, Lissu anaijua Tanzania na tatizo la nchi hii kuliko Magufuli, Lissu anaijuwa siasa ya ndani ya...
62 Reactions
259 Replies
23K Views
Rais Magufuli akipokea ripoti ya Takukuru na ya CAG amesema kwamba uchaguzi hautaahirishwa kutokana na uwepo wa ugonjwa wa Corona. NUKUU "Sisi tunaendelea kukutana, ndiyo maana hata Bunge...
11 Reactions
172 Replies
16K Views
Ni mada ya kuuliza tu maana tangu Aguswe baada ya vile vikao swala la kugombea ama kuwania kiti cha uraisi naona kama zimeyeyuka. Mh. Membe muda ndio huu watu wanachukua fomu za ugombea nawe kama...
2 Reactions
62 Replies
6K Views
Ha ha ha hakika sasa ubunge umekuwa kama u monitor wa darasa la 3A ,sasa piere anawekwenda bungeni kugawa vinywaji au kuwa mtunga sera na sheria za nchii hii? “Mimi natangaza nia ya kwenda...
30 Reactions
114 Replies
11K Views
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA) TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI NA UMMA Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) imekutana leo Ijumaa, Juni 26, 2020, Jijini Dar Es...
9 Reactions
52 Replies
4K Views
Chini ya ufundi makini wa Dkt. Tulia Akson naambiwa kuwa huu mjengo upo katika hatua za mwisho. Fundi mkuu ni Tulia huku akiwa na wasaidizi kadhaa. Ama kwa hakika zaidi ni kuwa Mbeya mmempata mtu...
28 Reactions
130 Replies
14K Views
Mojawapo ya makosa makubwa ya Kampeni na uchaguzi duniani Kote Ni kumu-Underestimate opponent wako. Hili kosa huwa halifanyiki kwenye Siasa tu hata kwenye michezo na kwenye medani za kivita Ni...
6 Reactions
13 Replies
2K Views
Back
Top Bottom