Njinsi ya kuiokoa nchi yetu ni kuwaondoa wahuni wote waliopo Madarakani .watu hao wanaunda mpka vikosi vya kigaidi na wanasema hadharani na wanaachwa?
Tuiokoea nchi yetu kwa kuwamaliza wahuni...
Sigrada Wilhem Mligo, Mbunge wa Viti Maalum wa Mkoa wa Njombe kupitia CHAUMMA, amehoji bungeni nafasi ya viongozi wakuu kushughulikia masuala madogo ambayo yanaweza kutatuliwa na viongozi wa ngazi...
Kama kuna mtu aliye karibu na Greyson Msigwa amfikishie huu ujumbe.
====================
By Amani K. Mrope | Washington Bureau.
June 19, 2026.
The Issue Is Not Money. It Is Tanzania Being...
Ukweli lazima usemwe. Hii ni wizara ambayo inagusa maisha ya kila mtanzania.
Kuna vijimtu vipuuzi na vipumbavu kuwa wasimamizi vinadhania vimemaliza maisha.
Vinanyanyasa watumishi na kuwatukana...
Kwa sasa na kwa hali ilivyo, shughuli ya ccm inchini Tanzania mekwisha
Ukweli ni kwamba Wananchi wameikataa, ukifuatilia Mkutano wa Leo wa Chadema Songea Mjini utaelewa hoja yangu
Bei ya gas hipo juu
Kwa sasa tunafaidika vipi na gas ya Mtwara iliyoua watanzania na kuwafanya vilema Watanzania wenzetu? Kimya cha wan Tanzania kuhusu gas ya Mtwara kina nipa mashaka sana...
Kinachoendelea ukitulia utajua kimepangwa kwa makusudi, akili yangu inaniambia hili jambo limetengenezwa na wanasiasa kutugawa.
Siwezi kujua sana lengo lake ni nini ila ninaamini wajuzi wa mambo...
Ndugu zangu Watanzania,
Duniani Kote na Mataifa yote yanayojitambua hulinda Amani Na Usalama kwa nguvu zote na kwa kila njia . Mataifa yote kuanzia yale Makubwa hadi Madogo hulinda Amani na...
KUMBEE! Msime na akina Muliro wote washafika muda wa kustaafu na wamestaafu muda ila wapo kwa mkataba
Yaani ni majanga! Askari zaidi ya 2,000 watafanya lolote kubembelezea mkataba!
Ndo maana...
Hii ni baada ya Wataalam wa kikokotoo kugawa deni la kutisha la Tril 114.34 kwa idadi ya Watanzani Mil 61, 741, 120 idadi iliyotokana n.a. sensa ya 2022
March mwaka 2025 deni hilo lilikuwa Tr 107...
Ndugu zangu Watanzania,
Waziri Mkuu wetu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Daktari Mwigulu Lameck Nchemba maarufu kama Mr Clean kama ambavyo watanzania wengi hupenda kumwita ...
Waziri Mkuu wa Tanzania, Dk Mwigulu Nchemba, amesema enzi za kutegemea misaada kugharamia maendeleo na huduma za kijamii zimepitwa na wakati, akisisitiza umuhimu wa Watanzania kujenga utamaduni wa...
Mtaalam wa masuala ya utawala na uongozi, wa Chuo Kikuu cha Munich, Ujerumani, Profesa Dagobert Pinochet, anasema kuwa, tabia ya baadhi ya viongozi walioko kwenye ngazi za juu za utendaji kupinga...
Wanabodi,
Jumatatu ya leo, nimeipata tena fursa ya kuendelea na zile makala zangu za kwa Maslahi ya Taifa. Leo nazungumzia Uzalendo wa Ajabu wa Watanzania, nchi yako inapatwa na majanga, halafu...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema Tanzania na Namibia zinapaswa kuimarisha ushirikiano katika sekta ya mafuta na gesi kufuatia ugunduzi wa akiba kubwa ya gesi baharini katika mataifa...