Naibu Meya wa Jiji la Ilala Dougras Didas Massaburi ambaye anahusishwa na kugombea Jimbo jipya la Kivule endapo litagawanywa Jimbo la Ukonga, amesema na yeye ameona taarifa hizo mitandaoni, lakini...
Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mwanza, Omari Mtuwa, amewaonya viongozi wa chama hicho kuacha tabia ya kuwa madalali wa siasa badala ya kukitumikia chama kwa uaminifu.
Akizungumza na...
===
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema kutokana na kazi nzuri aliyoifanya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan katika kipindi cha miaka minne, anastahili...
Askofu William Mwamalanga ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati maalum ya Maaskofu na Masheikh ya Haki, Amani na Maadili Tanzania ameoneshwa kukerwa na kauli iliyotolewa na Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi...
Mbunge wa Hai Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Saasisha Mafuwe ameendelea na ziara yake ya Kata kwa Kata katika wilaya hiyo kwa lengo lakuwaeleza wananchi yaleyaliyofanyika kwakipindi cha miaka minne...
Mwili wa aliyekuwa Katibu wa chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro Mary Sulley umezikwa
, Machi 22, 2025 katika makaburi ya familia yaliyopo kijiji cha Mangafi,Wilaya ya...
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika ametoa ufafanuzi na kujibu hoja kuwa taratibu za Kikatiba zilikiukwa wakati wa uteuzi wake katika nafasi hiyo kwa kusema...
Nimeelewa sana na Niko tayari kutoa elimu kwa wale ambao Bado hawajaelewa!! Kwa sasa ni sawa na kusema kipa wetu ni wao ccm !! Refa ni wao ccm ! Kamisaa ni wao ccm ? Chaguzi zetu zimekuwa kichaka...
Kila Jambo ishirikishe nafsi yako sio wapambe
Nawaambie enyi warafi wa madaraka na wapambe wenu Kama hamtanisikiliza mtakufa kabla, ndani au baada ya uchaguzi.
Uongozi mzuri utoka kwa mwenyezi...
Jamani hili ni swali naamini jibu lake unalo mwenyewe, huku mitaani Vijana,Wadada,Kinamama,kinababa,Wazee wote wenye uelewa wa mambo ni washabiki wa Chadema,hata humu jukwaani bila kusahau...
Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Peter Magoti, amempongeza Mtume Boniface Mwamposa kwa huduma yake ya kiroho na misaada anayoitoa kwa watu wenye mahitaji mbalimbali.
Magoti alisema kuwa Mtume Mwamposa...
Nimeanza kuamini kuwa hii No reforms,no elections ya akina Lissu inaweza kutusaidia na sisi CCM.Inaweza kuzuia kutekana au kuuana wenyewe kwa wenyewe kama ilivyotokea Iringa kiongozi wa CCM...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema Serikali ipo mbioni kuanza mchakato wa kuchora ramani mpya ili kuendana na mabadiliko yaliyojitokeza.
Pia, Soma: Rais Samia aikabidhi Wizara ya Ardhi...
Mbunge wa Nkasi Kaskazini kupitia tiketi ya CHADEMA, Aida Khenani apokelewa kwa kishindo Jimboni kwake akielekea kwenye maadhimisho ya siku ya Wanawake duniani ambako leo Machi 04, 2025 Wanawake...
Gazeti la jamhuri la leo limekuja na taarifa inayoelezea majibizano ya Tundu Lisu na mbunge wa Nkasi kupitia Chadema mh Aida khenani, Tundu Lisu amenukuliwa akisema kuwa chadema haiutambui ubunge...
Mwenyekiti wa wafanyabiashara mkoa wa Njombe na nyanda za juu kusini A Siphaeli Msigala amesema wao kama wafanyabiashara wanaipongeza serikali kwa kuweka mazingira rafiki katika kufanya biashara...
"Nidhamu tuliyoitengeneza wanaweza kugombea watu 100, vikao vitaanza kwa ngazi husika kwenda kuchuja ili tupate mgombea ambaye tuna hakika kati ya hao watatu yeyote atakayechaguliwa ana sifa ya...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa Pamoja wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiya ya Maendeleo Kusini...
Chifu Anthony Thadeo Wangao, Chifu Kapufi wa Tatu wa Sumbawanga Asilia, ametoa kauli yenye uzito kuhusu baadhi ya watu wanaopinga mchakato wa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Akiwa kiongozi wa kimila...
Upinzani wa Tanzania siuelewi waweza zunguka nchi nzima kupitia barabara nzuri zimejengwa na serikali ya CCM halafu wanasema CCM haijafanya kitu toka uhuru
Ndege watapanda zilizonunuliwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.