Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema ofisi za Chama nchi nzima zinapaswa kutumika kutatua changamoto za wananchi.
Kupata matukio na taarifa zote...
Awali ya yote natumaini wananchi wenzangu wote mpo salama.
Ndani ya kipindi hiki cha miezi miwili kumeibuka mjadala mkali ukihusu changamoto za muungano kutoka pande zote mbili za muungano. Mda...
Madiwani wa Halmashauri ya Jiji la Arusha wamekataa kuligawa Jimbo la Arusha mjini mara mbili wakidai ukubwa uliopo hivi sasa unakidhi mahitaji ya Wananchi huku wakikubaliana kugawanywa kwa kata...
Wakuu,
Wakati viongozi wa Chadema wakiendelea kuinadi kampeni ya ‘No Reforms No Election’ katika mikoa ya Nyanda za Juu Kusini, chama hicho kimewaita walioomba (watia nia) wa nafasi mbalimbali...
Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Morogoro, Ndugu Nuru John Ngereja ameanza majukumu yake rasmi baada ya kukabidhiwa Ofisi na aliyekuwa Katibu CCM Mkoa wa Morogoro, Ndugu Solomon Kasaba...
Kesho tarehe 26/3/2025 Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema Mh. Tundu Lissu atafanya mkutano mkubwa wa hadhara mjini Sumbawanga kuendeleza kampeni ya No Reforms No Election. Kitu cha kushangaza ni kuwa...
KIKAO cha Kamisheni ya Ushauri ya Mkoa (RCC) wa Geita kimeridhia majimbo mawili ya uchaguzi ya Chato na Busanda yagawanywe kupata majimbo manne ili kuchagiza maendeleo.
Kupata matukio na taarifa...
Pamoja na uzee wangu, wanangu, nina swali dogo. Je umewahi kumpenda mtu, ukamsifu, ukamtukuza, ukajikomba hata kujidhalilisha halafu ukamchukia? Nauliza hivi kutokana na ninayoshuhudia kuhusu...
Chama cha ACT Wazalendo kimesema hakiwezi kunyamaza kimya endapo CHADEMA itakandamizwa, kikisisitiza mshikamano wake na chama hicho kikuu cha upinzani nchini.
Akizungumza katika kikao cha ndani...
Baada ya Jana John Heche kionekana akiwa na Baraza Dogo la Viongozi wa dini walioalikwa kuaddress na kueleweshwa kuhus No Reform No Election leo huko Makambako ni Gumzo.
Watu ni wengi sana...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu limekanusha madai kuwa gari lake lilitumika kubeba wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) mnamo Machi 22, 2025, kama ilivyosambaa kwenye mitandao ya kijamii.
Kwa...
Ma TV, redio na magazeti muda wote, usiku na mchana kipindi cha Magufuli yalikuwa yakimwaga sifa kuwa serikali ya Magufuli ni ya viwanda.
Matakwimu ya uongo kutoka wilayani, mikoani yalikuwa...
Ndugu zangu kilichonisukuma kuandika haya ni kile ninachokiona na kukisoma kwa baadhi ya wenye kujiita watumishi wa Mungu, hasa hawa wetu wa makanisa ya Kipentekoste, Mitume na Manabii na baadhi...
Wakuu Rais Samia Suluhu Hassan alipokuwa kwenye mkutano mkuu wa 39 wa jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania ameeleza kuwa watashughulikiwa suala la mishahara ya wakurugenzi wa halmashauri na posho...
CCM sasa ni dhahiri, haina sera za kuwaunganisha wananchi wote.
Kwa sisi makada wa siku nyingi, Unifying Ideology kwa wanachi wote wa Tanzania, tena wa rika, jinsia au misimamo ya kisiasa yoyote...
Wakuu,
Sasa mnaanza kumtumia tapeli Mwamposa kutafuta namna ya kufungia mitandao ya kijamii! Eti watanzania waanze kutumia mitandao ILIYOPIMWA! Mnataka kupitisha agenda ya kuanza kuchunguza watu...
Wakuu
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoa wa Kilimanjaro, kimemwandikia barua Mwenyekiti wa chama hicho Wilaya ya Mwanga, Lembruce Mchome kikimtaka ajieleze ndani ya siku 14 kwa nini...
Wakuu,
Naamini wengi kama mimi hatujaelewa kabisa jinsi suala hili linalotishia usalama wa taifa lilivyopita kimya kimya.
Ugonjwa kama Ebola ni muda mchache tu kufuta generation ya watu...
Wanajukwaa bila shaka ni wa zima wa afya njema.
Wahenga walisema "kuuliza si ujinga"
Hivi msimamo wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema wa No Reform No Election ni kitu gani kinawapa...
A man to watch, Godbless Lema!!
Kwa muda mrefu sana siasa za mikakati nchini Tanzania zimekuwa zikiratibiwa na kuongozwa na Abdulrhman Kinana.
Askari huyu kwa miaka mingi sana ndiye amekuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.