Mnyukano CHADEMA, mbunge Aida amkataa Lissu

Kulwa Jilala

JF-Expert Member
Sep 6, 2022
3,510
7,755
Gazeti la jamhuri la leo limekuja na taarifa inayoelezea majibizano ya Tundu Lisu na mbunge wa Nkasi kupitia Chadema mh Aida khenani, Tundu Lisu amenukuliwa akisema kuwa chadema haiutambui ubunge wa Aida Khenani licha ya kuwa alichaguliwa kwa kura za kishindo na wananchi wa Nkasi kaskazini.

Mh Khenani amemtaka Lisu kutulia na kuendelea kulelewa Ubelgiji kwani hana uwezo wa kusema hatambui ubunge wa mtu fulani kwani hana maamuzi ya mwisho ndani ya chama.

20230404_080001.jpg
 
Gazeti la jamhuri la leo limekuja na taarifa inayoelezea majibizano ya Tundu Lisu na mbunge wa Nkasi kupitia Chadema mh Aida khenani, Tundu Lisu amenukuliwa akisema kuwa chadema haiutambui ubunge wa Aida Khenani licha ya kuwa alichaguliwa kwa kura za kishindo na wananchi wa Nkasi kaskazini.
Mh Khenani amemtaka Lisu kutulia na kuendelea kulelewa Ubelgiji kwani hana uwezo wa kusema hatambui ubunge wa mtu fulani kwani hana maamuzi ya mwisho ndani ya chama.View attachment 2576465
Wewe fuatilia mambo ya Burundi kwenu wachana na habari za cdm ya watanzania
 
Huwa linabadilika rangi, ikifika jioni linakuwa kama jekundu.

Mmoja ya waharriri wake, Manyerere Jackton, alipewa fursa ya kumuulizia swali JPM, akaanza kuomba whisky.

Balile yeye anahangaika kumpa tuzo Waziri wa sheria Ndumbaro ili amor ka uteuzi.
Ahhhahaah

Utopolo mtupu
 
Huwa linabadilika rangi, ikifika jioni linakuwa kama jekundu.

Mmoja ya waharriri wake, Manyerere Jackton, alipewa fursa ya kumuulizia swali JPM, akaanza kuomba whisky.

Balile yeye anahangaika kumpa tuzo Waziri wa sheria Ndumbaro ili ampe ka uteuzi.
Jibu hoja
 
Back
Top Bottom