Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,540
- 8,714
Umeme ni kikwazo kikubwa sana kwa Tanzania hasa linapokuja swala la viwanda hasa smelting ambazo kwa kiwango kikubwa sana zinatumia umeme mwingi mfano smelting ya aluminium inaweza ikatumia megawatts 4000
Smelting ili ziwe na faida zinatakiwa ziwashwe kwa mda hata wa miaka 2 ndo zizimwe kwa matengenezo hayo ni makadirio tu sasa kwa umeme wetu ni wazi hilo haliwezekani sababu unakatika mara kwa mara
Makaa ya mawe yanaweza kutumika kwenye smelting kama fuel kwenye blast furnance kuchakata chuma, copper, glass, na dhahabu
Tanzania tunamakaa ya mawe mengi na tuna nchi jirani ambazo zinamakaa ya mawe mengi sana kama msumbiji na South Africa tukitumia hii nafasi vizuri basi itatusaidia sana kwenye uwekezaji wa smelting ambao ni msingi wa viwanda
Makaa ya mawe yanachafua sana mazingira ila kwa upande mwingine ni mkombozi kwa nchi maskini kama Tanzania zinazojitafuta