Wakuu
Wizara ya Ardhi yamkabidhi tuzo Rais Samia kwa kutambua mchango wake wa kusimamia mageuzi ya mifumo ya usimamizi wa sekta ya Ardhi Tanzania.
Pia, Soma
Prof. Mkumbo afananisha tuzo...
Sio jambo jema mkaendelea kuropoka .
Huwa nashangaa Sana hawa viongozi wa Ccm wasiokuwa na akili wanavyowashauri vijana .
Utasikia wanakuambia Afisa usafirishaji , Afisa ubashiri , Mama lishe na...
Rais Kikwete akiwa Marekani ameongea na watanzania na kukanusha madai kuwa alimuokoa mwanae Ridhiwani nchimi China baada ya kukutwa na dawa za kulevya.
Rais amesema huo ni upuuzi na hawezi...
Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Zainab Telack, amemsifu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa juhudi zake kubwa katika kuleta maendeleo, akimtaja kama "Rais wa Kujenga...
Ibada ya Misa ya kumwombea aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano, Hayati Dokta John Pombe Joseph Magufuli inafanyika hii leo Machi 17, 2025 katika Kanisa Katoliki Parokia ya Mtakatifu Yohana Maria...
Kipimo kikuu cha akili na ustaarabu wa binadamu yeyote yule ni namna anavyopangilia maeneo yake anayoishi na kufanya shughuli zake.
Haijalishi kama anajenga nyumba za kitajiri au za kimaskini ila...
Kusema kweli kwa asilimia 98 nina amini bila shaka kuwa Jamii kubwa ya Watanzania wana mtindio wa ubongo, yaaani hawawezi kuwaza na kufikiri vizuri.
Jambo kuu linalonifanya kuamini hivi ni kwa...
Kielelezo cha kufeli kwa Mtanzania au kufeli wa Serikali ya Tanzania ni kwenye Wizara mbili
1. Wizara ya Ardhi
2. Wizara ya Tamisemi.
Kila nikienda majiji makubwa kuanzia Dar es Salaam, Mbeya...
Wakuu
Mnasemaje kuhusu hili la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salam?
Anasema hata kama dini inaruhusu kuongeza mke wa pili basi waoaji wanatakiwa kupeleka bank statement, kujua pesa ipo?
Mapema jana tarehe 15.03.2025 Katibu wa Umoja wa Vijana Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Dar es salaam Hussein Athuman Egobano Amepokelewa Kata ya Kisukuru huku akiongoza maandamano ya Hamasa Kwa...
Wakuu,
Wanafunzi wa Kidato cha Tano na Sita katika Shule za Sekondari za Kagera River na Kituntu Sekondari zilizopo katika Wilaya ya Karagwe, mkoani Kagera, wamempongeza Rais wa Jamhuri ya...
Katibu wa Umoja wa Vijana Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Dar es salaam ndugu Hussein Athuman Egobano Amepokelewa kwa shangwe na Hamasa Kubwa ndani ya Kata ya Kisukuru huku akiongoza maandamano ya...
Katibu Mkuu wa CCM, Dk Bashiru Ally amempongeza askari polisi mkoani Pwani aliyegoma kutumia salamu za chama hicho tawala nchini kwa maelezo kuwa ni kinyume na maadili ya kazi yake
Amesema...
Huyu mzee nimemfatilia kiasi chake,
Ana busara,ana utulivu,sio mlalamishi,hana nguvu nyingi za mwili kama vijana ila ana nguvu katka kauli!
Na kwa sababu hiyo katika mijadala wengi hasa vijana...
Tatizo la bima kwa sasa limekuwa sugu kwakuwa hakuna hatua zozote zilizochukuliwa imekuwa ikifanyika kila mwaka wanafunzi wanapitia changamoto ya kukosa matibabu kwa wakati na bima wamelipia...
Watanzania tunalo swali letu muhimu la kuhoji maana Serikali inaweza singiziwa kupokea misaada ya trilions ilihali misaada hiyo ilienda kwa NGOs zinazoongozwa na walami.
Yaani fedha zinaenda kwa...
Rushwa ndani ya vyama vya siasa inahujumu demokrasia kwa kupendelea wenye nguvu kifedha, huku ikiweka kando wagombea wenye sifa lakini wasio na rasilimali kubwa. Hali hii huzaa uongozi...
NAPINGA MIJADALA POTOFU JUU YA UGAWAJI WA MAJIMBO YA UCHAGUZI
Hili la kugawa majimbo ni jambo la msingi sana kujadiliwa kwa mapana yake, na hoja
yangu katika mjadala huu itajikita kuunga mkono...
Wakuu,
Miaka 63 ya Uhuru na bado CCM wanazungumzia masuala ya umeme? Seriously?
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, akizungumza na wakazi wa mji wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.