🚨 BREAKING NEWS: WE WON TODAY! 🚨
Na Tausi Likokola, Washington DC - USA
We did not give up. We did not stay silent. Today, we moved one step closer to justice.
The Reassessing the United...
CHADEMA mngemsikiliza Yericko Nyerere kuhusu ruzuku msingefikia hapa mlipofikia. Yericko alionya kuwa ni ngumu sana kuendesha chama bila ruzuku. Chama hakiendeshwi kwa michango kwa nyakati...
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imekanusha vikali madai yaliyomo kwenye rasimu ya hoja ya kimataifa inayovumisha kuwa nchi hiyo "ilikataa" ziara ya Kamati Ndogo ya Bunge la Ulaya...
Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Buluba Mabelele, ametoa msimamo wake kuhusu sakata la mwanasiasa wa upinzani, Tundu Lissu, akieleza kuwa yuko upande wake na anatamani...
Aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini na Mkuu wa Mkoa wa zamani wa Arusha Mrisho Gambo amesema kuwa kila mtu anahitaji kuona taifa lenye misingi imara ya maridhiano, amani na upendo, hata hivyo ili...
WATEJA WAPYA 1500 WAENDELEA KUUNGANISHIWA MAJI MWANZA
Agizo la Waziri wa Maji, Jumaa Aweso kwa watendaji wa Wizara hiyo la kuwaunganishia huduma ya maji safi wananchi limeendelea kutekelezwa...
Askofu huyu amekuwa mstari wa mbele kuonyesha kutofurahishwa na namna CCM na delegates yake inavyoongoza nchi hii akijinasibu kuwa mpenda haki!
Na mimi kama mdau wa haki ninaungana nae mara kwa...
Wakazi wa Dodoma wamejitokeza na kuizunguka Airport ya Jiji la dodoma wakisubiri kuona Mwili wa Mh Rais Magufuli ukishuka tayari kuagwa hapo kesho.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
DODOMA NI...
Wakati Waziri Mkuu wa Uingereza, Keir Starmer akijiuzulu leo Juni 22, 2026, historia inaonyesha kwa miaka 10, wameshajiuzulu mawaziri sita.
Tatizo ni kwamba mfumo wa kisiasa wa Uingereza unafanya...
SEKRETARIETI ya Maadili ya Viongozi wa Umma imesema siyo kosa kisheria kwa kiongozi mwenye dhamana kuteua ndugu, jamaa au marafiki kushika nafasi mbalimbali za uongozi.
Uteuzi huo hauwezi kuwa...
Hakuna Mtanzania ataweza kufanya maandamano haramu kwa miaka 20 mbele kuanzia Oktoba 29 2025.
Hakuna.
Hayupo huyo mtu na hatakuwepo.
Kilichowapeleka barabarani Oktoba 29 ni trick za uzushi na...
Nawataja wafuatao, wengine mtaongeza. Haya majinga yanaharibu hadhi ya JF, wengine tunakosa hata mood ya kuingia JF kwa sababu ya haya mapumbavu.
Lucas Mwashambwa Stroke gallow bird MamaSamia2025...
I’m sorry ila acha niseme tu ila ni hivi, kama viongozi wengine wa Chadema wangekuwa mwenyekiti wao haki tungekuwa tumepiga hatua flani kwenye movement.
Lissu ni zaidi ya mwaka sasa anapitia...
Wazanzibar wanadai Bajeti yao ya afya ni ndogo, inawatosha wao tu..
Hivyo kama wewe ni Mtanganyika, ili utibiwe unatakiwa upate barua kadhaa za Masheha.
Kumbuka bado wanaendelea kupokeac kodi...
Baada ya kutoka Njombe, Chadema imeingia Makambako
Mkutano umekuwa wa kishindo kuliko Maelezo, Watu ni Kama Mchanga, ni wengi mno!
Jambo jipya lililotokea eneo Hilo ambao ni chimbuko la Matajiri...
Mkuu Robert Heriel Mtibeli na Wana-JamiiForums Wote,
Umeleta hoja nzito na yenye ukomavu mkubwa wa kiuchambuzi. Uchambuzi wako upo sahihi kwa asilimia 100: vuguvugu hili halisukumwi na wananchi...
MIMI ni tunda la Azimio la Arusha. Chini ya Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere kupitia Azimio hilo, tulijenga taifa kwa sera ya Ujamaa na Kujitegemea.
Ujamaa ulishindwa, lakini katika...