Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro Mheshimiwa Waziri, Nimeshangazwa na ombi la baadhi ya makuhani kwa Rais Samia wakitaka awape nafasi za ubunge wa kuteuliwa kutokana na kofia zao...
0 Reactions
1 Replies
584 Views
Wizara ya Ardhi inakualika kufuatilia uzinduzi rasmi wa Sera ya Taifa ya Ardhi ya Mwaka 1995 (Toleo la Mwaka 2023) kupitia YouTube Live! 📺 📅 Tarehe: 17 Machi 2025 🕘 Muda: Kuanzia saa 2:00...
0 Reactions
1 Replies
650 Views
1. Je, katika kumpata mgombea wake wa Urais kwa muhula wa pili, CCM inataka kurudi kwenye utaratibu wake uliokuwa ukitumika wakati wa mfumo wa chama kimoja ? 1.1 Wakati wa uchaguzi chini ya mfumo...
7 Reactions
22 Replies
2K Views
Kwa hali ya siasa ilivyo na Jiwe alivyoshika vyombo vyote basi siasa ni mpaka 2024. Majimbo mengi ameshapanga safu yake na lazma wakurugenzi wawatangaze hao watu. Hakuna kugomea matokeo wala...
0 Reactions
6 Replies
814 Views
Salamu pia kwa Patrick Balisidya – kweli wema hawana maisha "Dhamira yangu ni thabiti mno, utayari wangu kutimiza azma ya mioyo ya Watanzania na ile ya chama changu haipimiki. Hakuna...
36 Reactions
191 Replies
30K Views
Mtangazaji huyu nguli ameyasema haya kama ushauri kwa rais, akiwa kwenye viwanja vya sabasaba akitangaza kwa niaba ya PPR..... Amegusia suala la kuminywa kwa mikutano ya siasa hivi sasa....ila...
6 Reactions
68 Replies
15K Views
Wanabodi Declaration of Interest. Mimi Paskali Mayalla, au kwa jina maarufu humu, Pasco wa JF ni Musukuma wa Mujini, aliyezaliwa mujini, kukulia mujini, kusomea mujini na kuishi mujini, ila nature...
17 Reactions
241 Replies
36K Views
Wenye viti wa vyama vingne vya upinzani mna subiri nini kujitokeza hadhani ku support NO REFORM, NO ELECTION. Mzee wa ubwabwa, Act wazalendo, cuf, nk
2 Reactions
9 Replies
485 Views
Huwa nashangazwa sana hasa nikideposit pesa kwa hawa mawakala wa crdb. Nikideposit tu napewa risit. Mwishoni mwa risiti imeandikwa eti "kitu kimesimama. Plz ondoeni haraka .
2 Reactions
3 Replies
382 Views
Wakuu Naomba tujenge hoja kama Magufuli alikuwa anakubalika kwanini alikuwa anaogopa uchaguzi? Yaani unawezaje kupima kukubalika kwa kiongozi wa kisiasa wakati anaogopa uchaguzi . Rejea...
2 Reactions
5 Replies
328 Views
Naandika kwa uchungu sana kiukweli nimesikia machozi nikiamini hakuna cha bahati mbaya ila walio panga wamefanikisha mpango wao japo hawakujuwa nini kitatokea. Simlaumu Kabendera ila nataka...
18 Reactions
101 Replies
8K Views
Uliwatangazia wakazi wa Jiji la Tanga kuwa mkandarasi amepewa bilioni 15 kumalizia barabara. Mbona Mkandarasi sasa hayupo site?
1 Reactions
5 Replies
393 Views
Baraza la Vijana wa CHADEMA (BAVICHA) Kanda ya Victoria limeitaka Serikali kuunda Baraza la Vijana la Taifa litakalojadili masuala ya vijana, kutoa mapendekezo kwa Serikali, na kusaidia kupatikana...
0 Reactions
1 Replies
427 Views
*Uzi huu utakuwa ni update ya kila siku kuhusu kauli mbiu hii ambayo inamfaa kila mtanzania. * Kauli mbiu rasmi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa ajili ya kampeni za Uchaguzi Mkuu wa 2025 ni...
1 Reactions
14 Replies
840 Views
https://www.youtube.com/watch?v=BZquug8cV1s Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Kaskazini na ambaye alitajwa kuratibu vuguvugu la Join the Chain, Godbless...
5 Reactions
13 Replies
2K Views
Aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) katika Chuo Kikuu cha Usimamizi wa Wanyamapori Mweka, na mdau wa maendeleo Musoma Vijijini, Muinja Maingu, amesema...
1 Reactions
1 Replies
364 Views
Je, Mbowe Amesusa CHADEMA au Hashirikishwi? Uongozi Uliopita na wa Sasa Katika muktadha wa siasa za Tanzania, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepita katika vipindi tofauti vya...
0 Reactions
0 Replies
459 Views
Katika juhudi za kukabiliana na mila potofu, imani zisizo sahihi na ushirikina unaodhuru watu wenye ulemavu, wadau wametoa wito kwa serikali kuhakikisha inakamilisha mchakato wa kuridhia Itifaki...
0 Reactions
0 Replies
309 Views
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa, Mohammed Ali Kawaida, amesema kuwa vyama vya upinzani havina maandalizi wala ushawishi wa kushindana na wagombea wa...
1 Reactions
5 Replies
451 Views
Tanzania inauwezo wa kuzalisha umeme wa megawatts zaidi ya 100,000 hii inatokana na vyanzo vya umeme vilivyopo kama vifuatavyo Uwepo wa gesi asilia Uwepo wa makaa ya mate Uwepo wa upepo singida...
2 Reactions
12 Replies
699 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…