MIMI ni tunda la Azimio la Arusha. Chini ya Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere kupitia Azimio hilo, tulijenga taifa kwa sera ya Ujamaa na Kujitegemea.
Ujamaa ulishindwa, lakini katika...
Rais wa Namibia Atembelea Majirani zake wa Zamani Magomeni
Rais wa Jamhuri ya Namibia, Mhe. Dkt. Netumbo Nandi-Ndaitwah, ametemebelea eneo la magomeni katika nyumba aliyowahi kuishi wakati wa...
Shukrani ziwaendee Wananchi wa Njombe ambao walikubali kusimama kwenye mapaa ya nyumba za JIRANI ili kupunguza Msongamano huo ambao chupuchupu usababishe maafa
Natoa Ushauri kwa Chadema kuanzia...
Tamko la viongozi wa mawakili wa chapters wa TLS juu ya shauri alilofunguliwa Rais wa TLS wakili Boniface Anyisile Mwabukusi kwenye kamati ya maadili ya mawakili taifa.
Mbunge wa Mbeya Mjini, Patric Mwalunenge, Juni 20, 2026 ameingia kwenye kadhia ya kuzomewa na Bodaboda pamoja na machinga kwa kuwataka wachangie kiasi cha shilingi 1,000 kila mmoja kwa ajili ya...
Mbunge wa Jimbo la Same mashariki, Anne Kilango Malecela akichangia Bajetia Kuu ya Serikali 2026/2027 Bungeni leo Juni 2026, ameiomba serikali kuangalia uwezekano wa kuboresha maslahi na posho za...
Daa hii nchi sijui kama itatulia, serikali inazidi kukaza kichwa.
Nimeongea na mtu wa Tourism sector Arusha, alikuwa analia kilio Cha kusaga meno. Wageni wengi kutoka ubeberuni walikuwa wamefanya...
Mzee Wa Upato, Anthony Lusekelo amesema:
"Nasema, katika dunia hii ya akina Trump, dunia hii ya akina Putin, dunia hii ya vita na magomvi na mambo mengi mengi. Nakuomba sana, sikiliza watu...
Mbunge wa Viti Maalum, Beng'i Mazana Issa akichangia Bajeti kuu ya Serikali kwa Mwaka 2026/2027 Bungeni leo Juni 22, 2026 amependekeza Serikali kuangalia uhusishwaji wa Wanawake kwenye nyanya...
Wanabodi,
Japo mimi sio mwana saikolojia wa kusomea darasani, lakini kwa mujibu wa fani yangu ya uandishi wa habari, ili mtu uwe mwandishi mzuri, ni lazima uwe observe mzuri, hivyo kufuatia...
Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Simiyu, Tina Chenge ameiomba Serikali kupunguza matumizi ili pesa zinazopatikana zisaidie kwenye miradi ya maendeleo
''Eneo la matumizi ya serikali, niombe serikali...
Mbunge wa Jimbo la Same mashariki, Anne Kilango Malecela akizungumza Bungeni leo Juni 22, 2026, amewataka Wazazi kuchukua Jukumu la kuwale watoto hasa katika kipindi cha umri wa 0 hadi miaka 18...
Mbunge wa viti maalum mkoa wa Katavi, Taska Mbogo amepinga pendekezo la kuongeza kodi ya bodaboda kutoka Sh95,000 hadi Sh150,000, akisema hatua hiyo itawaongezea mzigo vijana wengi wanaotegemea...
Wanabodi,
Usingizi umekata kutokana na mawazo ya huku kukaza kwa vyuma kwa baadhi yetu kwenye Tanzania hii ya Magufuli. Kiukweli kabisa, kuna watu tuna suffer!, mtu unalala ukiwa totally empty...
Mara nyingi hoja ya Zanzibar kujiunga na FIFA hukataliwa kwa kutajwa mabadiliko ya kanuni za FIFA yaliyofanyika mwaka 2004. Ni kweli kwamba mwaka huo FIFA ilifanya marekebisho ya tafsiri ya neno...
Na Amani K. Mrope | Ofisi ya Washington
Tatizo Siyo Pesa. Tatizo ni Tanzania Kuingizwa Rasmi Kwenye Rekodi mbaya za Kimataifa.
Kuna nyakati ambazo nchi hupoteza fedha. Na kuna nyakati ambazo...
Wanabodi
Declaration of interest, mimi ni mtu mfupi na nina tatizo moja tuu la kutokubali kudanganywa kirahisi, ila huwa sikasiriki ninapodharauliwa, au ninapoambiwa ukweli kuhusu madhaifu yangu...
==
Na Mwanafunzi wa Chuo Kikuu, Dodoma.
UTANGULIZI
Kuna nyakati katika maisha ya msomi kijana ambapo unahudhuria mhadhara si kwa ajili ya kupata alama za mitihani, bali kulisha nafsi inayotafuta...
Ushuru wa Mabango ya Matangazo kwa sheria yetu yanalipiwa, kwa kila mita square ni zaidi ya 7,000…
Kuna Mabango ya kampeini za Samia kwenye kila Halmashauri ya Nchi hii.
Tunataka kujua fedha...