Wasomi wengi Tanzania wameacha taaluma zao kujifucha ccm kutafuta fusa na uchawa.
Madokta, na maprofesa walioko ccm wengi ni machawa, elimu zao na usomi wao wote wameutupa na kuchagua uchawa...
Viongozi wa chama Cha Mapinduzi CCM pamoja na Jumuiya zake Kutoka maeneo tofauti ikiwemo tawi la Katoma, wamejitokeza na kukemea vijana waliopotosha kauli ya Mbunge wa Jimbo la Geita Mjini...
Fuatilia kwa umakini minyukano ya siasa za uchaguzi wa Mwenyekiti CHADEMA Taifa utakaofanyika tarehe 21/01/2025 inayoendelea ndani ya chama hiki kisha husianisha na matukio haya👇..
TUKIO #1...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche amesema moja kati ya jambo linalothibitisha kwamba elimu ya shule za serikali si nzuri na haiaminiki ni hali ya viongozi wa juu serikalini ma kwenye...
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Dodoma Abdulhabib Mwanyemba amewaasa Watanzania kikupigia kura Chama Cha Mapinduzi katika uchaguzi mkuu ujao kwa...
Profesa Ndumilakuwili Kabundi,
Profesa Kusitasita Ndalikachako,
Profesa Kitita Mwamkumbo
Profesa Ukame Mbawala
Hawa wana tofauti gani na profesa Vulata au Maji Marefu?
Dokta asiyetulia Action...
NAIBU Waziri Mkuu, Dk. Dotto Biteko, amesema Tanzania ina umeme wa ziada wa Megawati 740 na kwamba katika serikali ya awamu hii ya sita inakwenda kukamilisha mipango yake ya miaka mingi ya kuuza...
Aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Iringa Mjini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA na mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho, Mchungaji Peter Msigwa ambaye kwa sasa ni Kada wa Chama cha...
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Mkoani Dodoma.
Huu muungano huu kiukweli pamoja na kusoma kwangu shule zote sijawai kupata majibu kutoka kwa wanasiasa au walimu wanaofundisha !
Nina maswali wataalamu naomba mnijibu
Tanganyika iko wapi...
Kikundi cha Wanawake SHUJAA Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya wamchangia Fedha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan zaidi ya Milioni Moja kwa ajili ya kuchukua fomu ya kugombea Urais, ikiwa ni kumuunga mkono...
Teuzi tunazoziona kila siku watu ni wale wale mbaya zaidi viongozi wengi wanaoteuliwa ni wazee hii inamaanisha Nini wadau? Swali je vijana hawatoshi kwenye nafasi hizo wazee hawa tumekuwa nao...
Ni kimya kimetawala Kitongoji cha Hiti kilichojificha katikati ya mashamba ya migomba, kahawa na miti mikubwa. Ni katika miteremko ya Mlima Kilimanjaro wilayani Rombo ndiko kinakopatikana Kijiji...
Rais Samia akizindua Mradi wa Maji Same-Mwanga-Korogwe Machi 9, 2025
https://www.youtube.com/live/ZwUZMNQWlbc?si=stvFOddgPgJ_0AHW
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan...
Tanzania is facing the economy whose stability is yoyoing as time goes
Infact the voodoo economy which was implanted by the passerby and recent present is dwindling in our homesteads with no...
Waliopelekwa Jela kujifunza wapi kuna maisha Marahisi
Jela au Uraiani
Tunaweza kupata sababu ya kuelendelea kupambana No election no Reforms
https://youtu.be/E42aCOaTDIQ?si=r_QmNOTi6iT5Mxzr
Bila shaka kila mzalendo wa taifa hili, na mfuatiaji wa siasa za Tanzania mwaka huu October atakuwa anahamu sana kumwona Samia akiwaomba kura watanzania.
Mm binafsi namwaonea huruma sana samia...
Ni muda mrefu sasa nguli Huyu wa siasa za Upinzani nchini hajaonekana Kwenye majukwaa ya Siasa za Chadema
Yuko wapi Mzee Marando?
cc: Mrangi Ufipa st, Kinondoni Shamba
Habari Wana jf
Kama katiba ni Ile Ile,
Msajili wa vyama vya siasa ni yule yule,
Tume ya uchaguzi ni Ile Ile, matokeo ya uraisi hayahojiwi popote baada ya kutangazwa.
Wasimamizi wa uchaguzi ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.