Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Maonesho ya aina yake ya mbio za magari yanatarajiwa kurindima wakati Rais Samia akiwasili jijini Arusha na hiyo itakuwa ni sehemu ya staili ya kipekee ambayo inapangwa kama sehemu ya mapokezi...
4 Reactions
35 Replies
2K Views
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche amesema "Msimamo wetu upo wazi, bila mabadiliko hakutakuwa na uchaguzi na hatutashiriki uchaguzi" Pia, Soma John Heche: Tumeamua kuhakikisha kwamba...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Baada ya kutokea sakata la fedha za bodaboda katika jimbo la Arusha Mjini kuoneka zimeliwa na mmoja wa walitajwa ni Mbunge wa jimbo hilo Mrisho Gambo. Soma Pia: Arusha: RC Makonda aiagiza...
2 Reactions
4 Replies
906 Views
Mama, Labda pengine wengine wanakuogopa. Au tuseme wanashindwa kukufikishia ujumbe. Lakini mimi, kwa unyenyekevu kabisa, nimeona kupitia safu hii niwe nakupenyezea yale ambayo yanasemwa huku...
2 Reactions
1 Replies
490 Views
Justin Trudeau Carries His Chair With His Tongue Out As He Exits Canada House of Commons (See Pic) latestly.comMar 11, 2025 5:13 AM Canada's outgoing Prime Minister Justin Trudeau was seen...
0 Reactions
3 Replies
583 Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara John Heche amesema kuwa Watanzania wanahitaji mfumo wa uchaguzi utakaoamua viongozi wao halali ambao watawajibika kwao huku...
1 Reactions
14 Replies
914 Views
Nimesikia hotuba ya Lissu katika sherehe za siku ya wanawake duniani iliyoandaliwa na BAWACHA. Hotuba hiyo ilidhihirisha kwamba hakuna mpango kazi wowote wa "no reform no election". Tundu Lissu...
2 Reactions
24 Replies
1K Views
Kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa tulikamata watu kadhaa wenye kura feki ikiwemo Polisi. Hakuna aliyechuliwa hatua. Hakuna hata faili la uchunguzi lililofunguliwa. Kwa ukimya wake juu ya jambo...
2 Reactions
3 Replies
408 Views
Ninyi na rasilimali zenu safiii!!! Hivi ikitokea mtu katekwa na watekaji aidha majambazi au magaidi, hao watekaji wakatoa tamko lao, kwamba "mtu wenu tunae, ila tutamuua kama hamtatimiza matakwa...
0 Reactions
4 Replies
558 Views
Nimeamini kuishi kwingi ni kuona mengi, hivi hii ndiyo Tanzania ya nyerere tuliyokuwa tunawalaani watawala madikteta popote pale duniani. Tulikuwa na jirani yetu akiitwa Iddi Amini dada...
13 Reactions
24 Replies
1K Views
Uteuzi wa Wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi ziizokuwa wazi ndani ya CCM na jumuiya zake kwa nafasi za Wilaya na Mikoa
0 Reactions
1 Replies
431 Views
Inawezekana na Iliwezekana huko kwa nchi za wakubwa wetu..kutumia Afya,magonjwa na milipuko ya magonjwa kama chanzo cha upigaji fedha. chondechonde tusiingie kwenye mtego huu. Makampuni ya...
0 Reactions
0 Replies
334 Views
Japo uzi huu unaweza kutafsirika vibaya kama uchokozi, unalenga katuma taarifa kwa wakubwa wetu juu ya wateule wao. Unalenga kuwaonyesha tunavyowatathmini hata kuwaelewa. tupate fursa ya...
1 Reactions
13 Replies
767 Views
Sifahamu shida ni nini Vimikatiko vya umeme visivyoeleweka vimekuwa vingi kiasi cha kujiuliza maswali iwapo tayari Tanesco wameshaanza kutoa dozi ya mgao wa umeme Wakati matamko ya viongozi...
1 Reactions
2 Replies
483 Views
Jana tarehe 14/ 09/ 23 Jaji Mstaafu wa Mahakama Kuu ametoa maamuzi yenye utata kwenye shauri la usuluhishi lililokuwa mbele yake. Wafanyakazi wa zamani wa kampuni ya Bia Tanzania (TBL) waliishtaki...
6 Reactions
22 Replies
5K Views
Akiwa Mgeni wa Heshima katika sherehe za Bawacha jana, Lissu hakuweza kujizuia kumtaja Aida. Alirudia tena madai yake kuwa Aida alipewa ubunge na CCM. Huo ni upotoshaji mkubwa kwa sababu una...
4 Reactions
38 Replies
2K Views
Watu wameng'ang'ania kujadili uhalali wa kuagiza umeme nje ya nchi. Kuna shida ingine kubwa haimulikwi. Tatizo haswa la Tanzania ni kwamba, baada ya ule mradi wa bwawa la umeme kupitishwa na...
17 Reactions
31 Replies
2K Views
Itakumbukwa kwamba kazi aliyoifanya Mpoki ya kuokoa Uhai wa Tundu Lissu pale Dodoma ilimgharimu vyeo vyote alivyokuwa navyo. Hatimaye leo amekutana na Maiti iliyofufuka ya Tundu Lissu baada ya...
25 Reactions
84 Replies
5K Views
Wasomi wengi Tanzania wameacha taaluma zao kujifucha ccm kutafuta fusa na uchawa. Madokta, na maprofesa walioko ccm wengi ni machawa, elimu zao na usomi wao wote wameutupa na kuchagua uchawa...
1 Reactions
2 Replies
443 Views
Viongozi wa chama Cha Mapinduzi CCM pamoja na Jumuiya zake Kutoka maeneo tofauti ikiwemo tawi la Katoma, wamejitokeza na kukemea vijana waliopotosha kauli ya Mbunge wa Jimbo la Geita Mjini...
0 Reactions
1 Replies
390 Views
Back
Top Bottom