Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mwaka 2015 alimdanganya mama Anna Ngwila agombee yeye akakaa pembeni kucheck movie ya Ugombea. Lengo ajenge chama kwanza.halafu ajiwekee nafasi huko mbeleni. This time wameenda mdanganya Membe...
5 Reactions
31 Replies
5K Views
Bila kificho wala unafiki ningekushauri ndugu yangu Charles Hilary kuwa huu ndio wakati wako sasa kuwatumiakia watanzania baada ya kustaafu utangazaji kwa mafanikio makubwa, utashi na busara yako...
3 Reactions
82 Replies
9K Views
Mgombea Urais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM amesema sasa ni wakati wa kujali maslahi ya wafanyakazi wa Tanzania. Amesema kwa miaka mitano aliyoongoza ameweza kufanya nchi ifike...
21 Reactions
237 Replies
22K Views
Mbowe amesema katika saa 72 zijazo Tundu Lissu atakuwa Rais wa Tanzania na Mimi nitakuwa Waziri mkuu Chanzo: Mwananchi online ==== Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema, Freeman Mbowe, amesema ndani...
65 Reactions
310 Replies
29K Views
Na: Mh Tundu Lissu Pesa za mifuko ya hifadhi ya jamii hazitajenga kiwanda chochote. Ni siasa tu. Pesa za mifuko ya hifadhi ya umma sio pesa za serikali, ni pesa za wafanyakazi. Zinatokana na...
90 Reactions
125 Replies
18K Views
Baada ya sheria mpya kupitishwa iliyofuta FAO LA KUJITOA na kuja na mbadala wake wafanyakazi wengi hususani katika sekta binafsi walionja na wanaendelea kuonja joto la jiwe kutokana na...
8 Reactions
57 Replies
5K Views
Kwa wale Wahenga mnaokumbuka vizuri ni sababu gani za msingi zilimfanya Daktari huyu wa Falsafa kuamua kujishusha cheo? Maendeleo hayana vyama! cc: Pohamba ==== Ana rekodi ya miaka 10 ya...
9 Reactions
21 Replies
7K Views
Kuna kitu ambacho siyo cha kawaida, ambacho sijawahi kukiona katika miaka ya nyuma katika tawala zilizopita, kwa kuyabakiza mabango kwa maelfu yanaendelea kuwepo sehemu mbalimbali nchini, wakati...
4 Reactions
26 Replies
3K Views
Habari mwanaJF. The home of great thinkers. Duniani kote katika nyanja ya siasa kuna mambo na mikakati ambayo ni lazima ipangwe na kutekelezwa ili kuweza kufanikisha matokeo chanya kwa wapanga...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Taarifa za uhakika na za kweli nilizozipata ni kwamba Halima Mdee alikuwa hajajiandaa na hakuwa tayari kutuwakilisha sisi wananchi wa Kawe kama mbunge wa kuchaguliwa. Ndio maana kwenye vikao vya...
6 Reactions
147 Replies
13K Views
Habari za asubuhi wadau. Hapa Marangu Mamba Komakundi kibaridi ni kikali 12 centigrade. Wapambe ni wengi nyumbani kwa Dokta Kimei hapa baada ya kujua Dokta atachukua fomu ya Ubunge Jimbo hili la...
40 Reactions
319 Replies
41K Views
Chadema wanasema hawakupeleka majina NEC,nani alipeleka? NEC wanasema Mnyika kama katibu mkuu aliwapelekea majina tena yaliyopewa baraka na kamati kuu ya Chadema. Hii ni kweli au sio kweli...
5 Reactions
178 Replies
12K Views
Pamoja na kwamba walitimuliwa kwa aibu na mwenyekiti wa CHADEMA mh Mbowe pale Mbagala na hatimaye Balile kumkutanisha Mbowe na MD wa TBC Ryoba na kuwaombea msamaha, TBC wameonyesha uzalendo. Leo...
5 Reactions
43 Replies
6K Views
Kwa namna mambo yanavyoendelea hivi sasa hapa nchini ni wazi kuwa hakuna dhuluma iliyofanyika kwenye uchaguzi mkuu Oktoba 28 2020. Ushahidi pekee wa picha zilizopigwa kihuni na watu kuchoma kura...
3 Reactions
39 Replies
2K Views
Mwandishi Wetu Vunjo Kukosekana kwa elimu shirikishi juu ya wadau wa sekta za kifedha katika jimbo la Vunjo kumepelekea wananchi walio wengi kushindwa kunufail na mikopo hususan inayotolewa na...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Jimbo la Vunjo mkoani Kilimanjaro limetajwa kushindwa kupiga hatua za kimaendeleo kwa miaka kumi kwa kukosa mwakilishi sahihi wakutatua changamoto zilizopo. Kutokana na hali hiyo mgombea ubunge...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Wengi nasikia tu mnasema ooh Magufuli hajafanya lolote, ooh katupiga sana nk. Lakini pale ninapouliza baadhi ya watu kwamba ni kitu gani ambacho amefanya Magufuli ambacho unaona hakifai, wengi...
11 Reactions
168 Replies
12K Views
Viongozi wanne wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Kata ya Terrat wamekihama chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi CCM katika Mkutano wa Kampeni za Mgombea Ubunge Jimbo la Arusha Mjini...
6 Reactions
58 Replies
6K Views
Waziri wa Afya katika Serikali ya Awamu ya Tano inayoongozwa na Chama cha Mapinduzi kupitia Rais Magufuli, Ummy Mwalimu wakati akihitimisha kujibu hoja za wabunge wakati wa kupitisha bajeti ya...
30 Reactions
140 Replies
24K Views
Binafsi nimewahi kupanda ndege mara moja tu ukubwani na utotoni sidhani kama nimewahi kupanda. Nililipa 120k tu kwenda Mbeya na kurudi kwa Fast Jet 2015 kabla midege yetu haijapata sifa hizi...
16 Reactions
80 Replies
6K Views
Back
Top Bottom