KABENDERA ANADAI BEN SANANE ALIUAWA NA 'BWANA MKUBWA'!
Mwishoni mwa mwaka 2020, nilipata ujumbe mzito kutoka kwa Rais Magufuli kupitia kwa mtu wake mmoja ambaye jina lake linatunzwa. Rais...
Tuna utawala duni na wa ajabu nyakati hizi kuliko wakati wowote. Watawala wamenyimwa hekima, ufahamu na maono, kwani wanajitengenezea kaburi lao wenyewe.
Wajinga wanaamini kuwa kulishambulia...
Kuna baadhi yetu waTanzania wanaoamini kwamba kuna watu, nchi au makundi toka nje ya nchi hii watakaokuja kutuondolea shida ya utawala wa maguvu unaotukabili sasa hivi.
Watu wanasubiri ICC au...
Erick Kabendera amejiamini sana kusema Ben Saanane na Azory Gwanda wamekufa, hapo ni kwamba ameweka biashara yake yote ya kitabu chake rehani, pia ameweka hadhi yake yote rehani.
Ikitokea Ben au...
Yes habari za masiku ndugu zangu na poleni nyote Kwa kadhia tuliyoipata kwa kusimamishwa Kwa muda Kwa platform yetu pendwa ila hope now tupo sawa.
Happy new year pia nawatakiwa kila lakheri katika...
Ukiondoa mzee wa kujikomba kutafuta uteuzi, ni kama machawa wa humu jf wametokomea au kufilia mbali. Machawa mabingwa wa kujikomba, kupongeza, na kushambulia watu mko wapi?
Mkutano wa Chama cha Wanasheria wa Afrika Mashariki (EALS),uliokuwa umepangwa kufanyika Zanzibar ,Tanzania kama sehemu ya tamasha la kuadhimisha miaka 30 ya EALS umehamishwa kutoka zanzibar hadi...
Deusdedith Soka amepotea kimzaha mzaha. Miaka ya nyuma alitoweka Ben Saanane kama utani mpaka leo hatujawahi kumuona tena.
Je ndio washamalizana na Soka?
Pia soma
Soka yupo wapi? Tuambieni kama...
Leo tunakwenda almost mwezi wa saba, kijana Deusdedith Soka ma wenzie wamepotezwa. Umma ulipiga kelele mwanzoni, leo umekaa kimya.
Chama chake nacho kimejikalia kimya, hakihangaiki tena na kijana...
Abdalah Kassim Hanga alikubalika sana kwenye siasa za Zanzibar.
Alikuwa na akili nyingi na alikiwa msomi kuliko Abeid Karume.
Hivyo watu wa Zanzibar walimkubali sana. Na alionekana anafaa kuwa...
Mwanachama wa JF na mdau mkubwa wa mitandao, Mdude_Nyagali amechukuliwa na watu waliojitambulisha kuwa ni polisi usiku huu.
Walikuwa na silaha, wamevunja mlango.
Mdude amepigwa sana, alikuwa...
Kupitia ukurasa wake wa Instagram Mange ameandika....
"Hi guys nimetumiwa hii ni mtu ana insist ni ndugu yake na Polepole. I don’t know what to think, Mimi nilidhani Polepole hayuko TZ. I’m...
Hulka za viburi na ujeuri za viongozi wakuu wa chadema, mathalan Lisu na heche, vinalandana na kushabihiana kabisaa na ukaidi usio na faida wa viongozi kama vile Zelensky na Hayatollah Khemenei...
Wewe endelea kuvishwa Fulana na kofia za SSH, huku ukipewa Fanta take away na ubwabwa uliochacha
Jamani hata kama Wanaccm ni Wajinga ndio iwe hivi kweli? Kwamba hakuna Wanaccm wengine na ni...
Summary
At least 13 killed in shooting at one cafe in city of Mwanza - witnesses and video
Police targeted civilians far from protests, witnesses say
UN experts estimate at least 700...
Wakatoliki na VIJORA wapi na wapi?! Yaani hakuna hata shati moja la UWAKA wala kitenge cha WAWATA?!
Sasa ngoja WAKATOLIKI wenyewe watoke wakiongozwa na MAPADRI na MAASKOFU kama walivyoandamana...
𝗪𝗔𝗭𝗜𝗥𝗜 𝗠𝗞𝗨𝗨 𝗔𝗢𝗡𝗚𝗢𝗭𝗔 𝗠𝗞𝗨𝗧𝗔𝗡𝗢 𝗞𝗔𝗭𝗜 𝗪𝗔 𝗠𝗔𝗪𝗔𝗭𝗜𝗥𝗜.
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameongoza mkutano kazi wa Mawaziri, Makatibu Wakuu na Viongozi Waandamizi wa Serikali uliofanyika, Januari 12...
Mwanamitandao Maarufu Clemence Mwandambo (Baba Yenu Mwandambo) amesema kwa sasa yeye ni kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) lakini ndani yake ana roho ya upinzani
Ameeleza kuwa yeye ni mzalendo...
Anandika John Heche kuwa;
"Chuo kikuu cha Dar es Salaam kwasasa kimegeuka kuwa kama shule ya msingi.
Wakati UDASA wana kongamano lao leo, Dupsa walinialika pia kwa kongamano.
Ajabu ni kwamba...