Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

1. Wenzetu Thailand na Mynamar wamepata na tetemeko lenye ukubwa wa 7.7 (kwenye Richter scale). Nafikiria tetemeko hili lingetokea Tanganyika Hali ingekuaje? Picha lingeanza kwa msafara wa...
3 Reactions
32 Replies
1K Views
Serikali imezindua Mpango wa Kitaifa wa Nishati wa Tanzania (National Energy Compact 2025-2030) ambao unalenga kuongeza kiwango cha upatikanaji wa umeme kutoka cha sasa cha asilimia 78.4 hadi...
0 Reactions
0 Replies
277 Views
Nitamshangaa Rais Samia akikubali kugawa eneo lolote la nchi kiutawala, aendelee na msimamo wa mtangulizi wake JPM, Magufuli aliapa asingegawa eneo lolote na akafa na msimamo wake. Kitu muhimu ni...
10 Reactions
46 Replies
2K Views
''Kwenye tukio ambalo halikutarajiwa na wengi, Naibu Waziri Mkuu ambaye pia ni Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko, alisitisha hotuba yake ili kutoa heshima stahiki kwa askari aliyemtolea amri...
0 Reactions
2 Replies
588 Views
Mbunge wa Jimbo la Butiama na Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Jumanne Sagini ameagiza watumishi wa Shirika la Umeme (TANESCO) na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) Wilaya ya Butiama kutoa elimu...
1 Reactions
7 Replies
636 Views
Mifumo ya mawasiliano katika kuwasiliana na umma, wanachama wake na waTanzania wote kwa ujumla ni wa kisasa zaidi ukilinganisha na vyama vingine vya siasa nchini ambavyo bado vina jiendesha...
0 Reactions
0 Replies
300 Views
CHAMA Cha Mapinduzi Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa kimemchangia Sh 1,553, 500 Katibu Mwenezi wa Bawacha Mkoa wa Njombe, Sigrada Mligo, kwa ajili ya kwenda kupata matibabu katika Hospitali ya...
5 Reactions
32 Replies
2K Views
Hivi hizi kampeni za upandaji miti huwa ni usanii au kitu gani? Maana unakuta baada ya zoez Hilo hakuna mwendelezo Wala ufuatiliaji. Korea/Seoul miti kila pahala. Sisi yupo bize na kukopwa tu
5 Reactions
3 Replies
504 Views
Ni wazi Makalla na yule Babu Wassira pengine hawajui kuwa CCM ni washiriki wa uchaguzi kama ilivyo Chadema, ACT, CUF nk au bado wao ni OLD FASHIONED kiasi cha kushindwa kutofautisha CCM chama na...
15 Reactions
64 Replies
3K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Ukumbi wa Kikwete kwa ajili ya Kufutarisha Viongozi pamoja na Makundi mbalimbali, Ikulu Jijini Dar es Salaam Rais...
13 Reactions
84 Replies
8K Views
Akiongea wakati wa Uzinduzi wa kiwanda Cha mwekezaji mzawa huko Njombe,Prof.Kitila Mkumbo Ameelezwa kusikitishwa na jinsi wawekezaji wanavyohangaishwa na watu wa Serikali. Amesema kumekuwa na...
6 Reactions
31 Replies
2K Views
Siri hiyo Kabambe imefichuliwa na Nabii wa Mungu, Godbless Lema, alipokuwa anatoa elimu ya No Reform No Election Jijini Arusha Zaidi jisomee mwenyewe hapa. Wadau wengi wa Arusha wamesikitishwa...
17 Reactions
78 Replies
4K Views
Wanabodi Leo nimeianza siku kwa habari za kuhuzunisha, Mtangazaji Legendari wa Straight Talk Africa wa VOA, Shaka Ssali kuaga dunia, akiwa na umri wa miaka 71. Huyu ni Mtangazaji mwana Africa...
13 Reactions
39 Replies
2K Views
Elisha Asa Mwambene, Katibu wa Baraza la Vijana wa CHADEMA (BAVICHA) Mtaa wa Msasani, Tunduma, Mkoa wa Songwe, ameibua mjadala mzito kuhusu kampeni ya “No Reforms No Election” inayoendeshwa na...
3 Reactions
30 Replies
1K Views
Wakuu Huko Goba, wagombea wa CHADEMA wenye kazi rasmi wameenguliwa kwa madai kwamba shughuli zao hazitambuliwi kama kazi rasmi za kiuchumi. Hii ni tofauti na wagombea wa CCM ambao, licha ya...
1 Reactions
13 Replies
994 Views
Wakuu, Kama mmeona hivi karibuni kumekuwa na mbinu ya kuwaondoa wapinzani kwenye uchaguzi kwa vigezo tofauti tofauti ikiwemo kuweka taarifa zisizo sahihi kwenye fomu za kugombea. Huyu ni mgombea...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
ASKOFU ATATIZWA SABABU ZA KUTEULIWA WAGOMBEA WA CCM NA KUENGULIWA KWA WAGOMBEA WA CHADEMA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA. Ndugu Watanzania! Tumeletewa malalamiko yafuatayo kuhusu uteuzi wa majina...
5 Reactions
35 Replies
2K Views
Askofu Mkuu wa Kanisa la Moravian la Uamsho, Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula ametoa wito kwa wale wanaomshikilia baada ya kumteka kijana Method Damian Kumdyanko na kuacha kuitisha familia na...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Ujenzi wa bomba la mafuta unaendelea la kutoka uganda mpaka Tanga, fursa kama hii muhim ni vizuri serikali ikavutia waekezaji kama watano waje wajenge oil refinery tano eneo ambalo bomba la mafuta...
9 Reactions
117 Replies
4K Views
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu. Mh Nape Mosses Nnauye kasema ukweli usiopingika halafu huyu mama anakuja kumfuta kazi kinafiki wakati ukweli hata yeye mwenyewe Bi Tozo anaujua. Pia soma > Uteuzi...
13 Reactions
109 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…