Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Najiuliza nani anahusika kuandaa Taifa lenye wazalendo badala ya kuandaa machawa wasio na faida yoyote kwenye nchi zaidi njaa zao Fikra za watoto zinatakiwa ziingiziwe fikra za kizalendo...
1 Reactions
0 Replies
228 Views
1)-Ipo haja ya kurekebisha katiba yetu Kwa baadhi ya kanuni, kwa mfano muda wa urais ni miaka 10, bila kuzidisha hata siku 5,basi kwa kuwa ni miaka 10, Ingelikuwa busara, Rais aweye madarakani...
1 Reactions
20 Replies
872 Views
Mwandishi mkongwe wa vitabu ikiwemo kitabu cha "Mabala the farmer" kupitia ukurasa wake wa X amemtaka Amos Makalla atoe uthibitisho kuhusu kauli yake ya Ebola na M-Pox au achukuliwe hatua kwa...
8 Reactions
48 Replies
3K Views
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo Husna Sekiboko akizungumza mkoani Dar es Salaam wakati wa kilele cha maadhimisho ya miaka 30 tangu kuanzishwa kwa Mamlaka ya...
5 Reactions
68 Replies
3K Views
Waziri mkuu ndo mwenye dhamana ya juu kabisa katika utendaji wa serikali ikiwemo wizara ya ELIMU Kauli yake haiwi ushauri Bali ina mamlaka na ukweli wa utendaji wa serikali Kitendo Cha kuonyesha...
1 Reactions
20 Replies
1K Views
Hi great Thinkers. Tanzania ilipata mtu ‘kwerikweri’. Wahuni pekee ndo watasema waliteswa ila ukweli ni kwamba mwamba alipiga kazi nzuri sana yenye kutukuka.
29 Reactions
98 Replies
3K Views
Kwanza kabisa naomba ufahamu kuwa mimi nimeandika hivi sio kwa lengo la kupinga makatazo yako kuhusu magari mengine (mbali na mabasi ya mwendo kasi) kutumia barabara za BRT. Sifurahii barabara...
11 Reactions
60 Replies
4K Views
Labda uwe mtu poyoyo sana wa kufikiri ndio hutaelewa hii move ya Raisi Samia ya kuanza kusema anawarudisha kina January Makamba kwa mama. Hii sio bure, na kama January anafikiri kwamba...
13 Reactions
145 Replies
8K Views
Yaani hii imenishangaza kwakweli, inakuaje aachwe aliyetamka halafu lawama liende kwenye gazeti? Yaani ni kama vile hawajamuona Makalla kabisaa kwa kwenda kulishukia gazeti. Au wanakubali...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Shirika la Twaweza East Africa limemtangaza Anna Bwana kuwa Mkurugenzi Mtendaji wake mpya, akichukua rasmi nafasi hiyo kuanzia Mei 15, 2025. Anna anachukua nafasi ya Aidan Eyakuze, ambaye sasa ni...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Watu wa Kawe, Goba, Mivumoni na kwingineko mnasemaje,tumkumbushe au tumuache!
1 Reactions
0 Replies
181 Views
Tarehe 22 Machi 2025, Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) ilitembelea mradi wa ujenzi wa daraja la JP Magufuli (Kigongo-Busisi) lililopo Mkoa wa Mwanza. Daraja hili...
0 Reactions
4 Replies
948 Views
Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga, Nyakia Ally Chirukile amekemea vikali ubadhilifu unaofanywa na watumishi wanaotekeleza ujenzi wa Uwanja wa Ndege Sumbawanga. Akizungumza na wafanyakazi hao Machi 21...
0 Reactions
0 Replies
658 Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) bara, Stephen Wasira, amewataka wanachama wa CCM katika wilaya za Karagwe na Kyerwa kupunguza matumizi ya fedha katika michakato ya uchaguzi wa ndani...
0 Reactions
8 Replies
927 Views
Taasisi ya Tulia Trust Chini ya Mkurugenzi Wake ambaye ni Mbunge wa Mbeya Mjini, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) Mhe. Dkt. Tulia Ackson...
0 Reactions
3 Replies
448 Views
Hili halina mjadala hata CCM wanalijua hilo,leo hii kukawepo na tume huru ya uchaguzi,kila kitu kikaenda kwa haki Chadema wanashinda uchaguzi mapema kabisa, Lakini CCM kwa kulijua hilo ndiyo...
6 Reactions
32 Replies
1K Views
Kwanza ieleweke Mimi ni mfuasi kabisa wa kauli mbiu ya "NO REFORMS NO ELECTION" ila baada ya kuutafakali mstakabali wa taifa letu nimejiridhisha kabisa kwamba CHADEMA inabidi tuanze maandalizi na...
-1 Reactions
9 Replies
585 Views
Maono ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ni kuona Tanzania inazalisha zaidi mazao ya Chakula na kuweza kuuzia majirani na ikiwezekana Afrika na mataifa mengine...
0 Reactions
0 Replies
301 Views
Makalla hana :- 1. Hoja na hajui kujenga/kupangua hoja (argumentative ability) 2. Mvuto kwa watu na hawezi kuiteka hadhira anapoongea. 3. Uwezo wa kutangulia mbele ya hoja yake na kuangalia...
18 Reactions
71 Replies
29K Views
Vifaa vya ujenzi wa nyumba mbili za wakuu wa Idara Halmashauri ya Mbeya Mkoa wa Mbeya vyenye thamani ya zaidi ya milioni sabini tatu, havijulikani viliko na hakuna taarifa ya matumizi yake, huku...
0 Reactions
3 Replies
465 Views
Back
Top Bottom