Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Mohammed Ali Kawaida ametoa maagizo kwa Viongozi wa UVCCM Mikoa yote na Wilaya zote Tanzania kuwa na vitega uchumi ili kuondoa utegemezi. Kawaida ameyasema hayo jana...
0 Reactions
0 Replies
262 Views
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, ameagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Arusha kufanya uchunguzi wa upotevu wa kiasi cha fedha shilingi milioni 400 zilizochangwa...
12 Reactions
89 Replies
7K Views
Akihojiwa na redio ya Kyela FM, ya wilayani Kyela, ambako anashiriki kampeni Tukufu ya No Reform No Election inayoendelea Nchi nzima, Dkt Slaa amesema kwamba lengo la kujiunga na Makamanda wa...
14 Reactions
62 Replies
3K Views
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema kuna baadhi ya watu wanaotaka kugombea ubunge wameanza kunyemelea majimbo kwa kuvunja maadili. Wasira ameeleza...
0 Reactions
0 Replies
253 Views
Wakuu, Mkuu wa Mkoa wa Njombe Anthony Mtaka akiwa anaongea hivi karibuni amesema kuwa anamkubali Mbunge wa Kisesa Luhaga Mpina kwa kuwa anaweza kutoa mawazo yake bila uoga “Luhaga Mpina ni...
4 Reactions
10 Replies
939 Views
Wananchi wa Bungu wilayani Korogwe mkoani Tanga wamefanya dua maalumu ya kumuombea Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kutimiza miaka 4 ya uongozi wake. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea...
0 Reactions
1 Replies
354 Views
Katibu wa NEC organaizesheni na Mjumbe wa Kamati kuu ya CCM Issa Gavu amezindua mradi wa Maduka ya chama Cha mapinduzi yaliopo stendi kuu ya Zamani huku akiwaasa wanachama pamoja na wafabiashara...
0 Reactions
1 Replies
314 Views
Mbunge wa Jimbo la Mtwara Vijijini, Shamsia Aziz Mtamba, amekabidhi msikiti kwa wahumini wa kiislamu wa Kata ya Ziwani, ikiwa ni hatua muhimu kwa maendeleo ya jamii ya Waislamu katika eneo hilo...
0 Reactions
2 Replies
276 Views
Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Simba, Ahmed Ally anazungumzia maoni yake kuhusu zoezi la Uandikishaji wa Uboreshaji wa Daftari la Wapiga Kura: Kupata matukio na taarifa zote kwa kila...
0 Reactions
4 Replies
686 Views
Kujiandikisha na kuboresha taarifa zako kwenye Daftari la Kupiga Kura ni hatua muhimu ya kutimiza Haki yako ya Kikatiba ya Kidemokrasia. Ukijiandikisha unakuwa na uhakika wa kushiriki kwenye...
0 Reactions
2 Replies
541 Views
Akizungumzia mchakato wa Uandikishaji na uboreshaji wa Daftari la Wapiga Kura Nchini, Hamisi B. Mandi “B Dozen” ambaye ni Mtangazaji Clouds FM amesema: Kupiga Kura ni suala la msingi sana...
2 Reactions
13 Replies
838 Views
CHADEMA hawana standard wangekuwa na standard wasingemrudisha Dkt. Slaa, vyama vya upinzani vingi vya afrika havina ideology, na standard, mtu aliyeandika mambo ya uongo na uzindaki dhidi ya chama...
0 Reactions
16 Replies
817 Views
Staa wa Hip Hop Nchini, Fid Q anazungumzia zoezi la Uandikishaji na Uboreshaji wa Daftari la Kupiga Kura kwa kusema Kasi ya Kupiga Kura ni muhimu na inakupa uhuru wa kumchagua kiongozi unayemtaka...
0 Reactions
4 Replies
646 Views
Nyota wa Muziki wa Injili, Christina Shusho anasema "Sisi Wananchi ndio wenye maamuzi na ndio ambao tunajua nani anafaa na nani hafai, kutimiza hilo lazima tuwe na uwezo wa Kupiga Kura, hatutakiwi...
0 Reactions
2 Replies
649 Views
Naibu Meya wa Jiji la Ilala Dougras Didas Massaburi ambaye anahusishwa na kugombea Jimbo jipya la Kivule endapo litagawanywa Jimbo la Ukonga, amesema na yeye ameona taarifa hizo mitandaoni, lakini...
0 Reactions
1 Replies
478 Views
Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mwanza, Omari Mtuwa, amewaonya viongozi wa chama hicho kuacha tabia ya kuwa madalali wa siasa badala ya kukitumikia chama kwa uaminifu. Akizungumza na...
0 Reactions
0 Replies
265 Views
=== Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema kutokana na kazi nzuri aliyoifanya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan katika kipindi cha miaka minne, anastahili...
2 Reactions
11 Replies
618 Views
Askofu William Mwamalanga ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati maalum ya Maaskofu na Masheikh ya Haki, Amani na Maadili Tanzania ameoneshwa kukerwa na kauli iliyotolewa na Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi...
1 Reactions
2 Replies
493 Views
Mbunge wa Hai Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Saasisha Mafuwe ameendelea na ziara yake ya Kata kwa Kata katika wilaya hiyo kwa lengo lakuwaeleza wananchi yaleyaliyofanyika kwakipindi cha miaka minne...
1 Reactions
0 Replies
259 Views
Mwili wa aliyekuwa Katibu wa chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro Mary Sulley umezikwa , Machi 22, 2025 katika makaburi ya familia yaliyopo kijiji cha Mangafi,Wilaya ya...
0 Reactions
0 Replies
424 Views
Back
Top Bottom