Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,308
- 18,485
Wananchi wa Bungu wilayani Korogwe mkoani Tanga wamefanya dua maalumu ya kumuombea Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kutimiza miaka 4 ya uongozi wake.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Wananchi hao wa Tarafa ya Bungu wakiongozwa na Afisa Tarafa Bungu, Ndg Peter Kahindi walimuombea kwa Mungu Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan ili awe na maisha marefu na kuendelea kuwatumikia Watanzania katika kipindi chote cha uongozi wake.
Dua hiyo imefanyika baada ya wananchi hao kupata elimu ya namna bora ya kulima kilimo cha mkakati (mbadala) kilimo cha karafuu, iliki na mdalasini.