Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Jana niliombwa na leo nimekubali rasmi kugombea nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya chama cha ACT Wazalendo. Huu ni wakati muafaka kwangu wa kushiriki katika...
10 Reactions
117 Replies
10K Views
HABARI!!!! Mimi binafsi nafuatilia saaana siasa za Mbeya Tangu enzi za Akina Mpesya siasa za Mbeya zinavutia saana, Nafikiri kila Chama sasa kinajipanga ili kuchukua hatamu jijini Mbeya ni...
6 Reactions
72 Replies
11K Views
Habari kamili hii hapa Frank George Mwakajoka ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CHADEMA. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Tunduma kwa miaka mitano ( 2015 – 2020.)...
11 Reactions
41 Replies
10K Views
Kuelekea Uchaguzi Mkuu October,Siku ya jana tarehe 16/7/2020 Mwana Diplomasia na Mchambuzi wa masuala ya Siasa Goodluck Ng'ingo alichukua fomu na kurudisha ili aweze kupata ridhaa ya kugombea...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Kuna tatizo la kufikiri kwa kutumia akili za kawaida ndani ya vyama vya upinzani hapa Tanzania. Sababu kwa akili za kawaida tu unaweza kupata uthubutu upi wa kupambana na rais kama Magufuli...
10 Reactions
363 Replies
21K Views
Taarifa kutoka Kongwa zinaeleza kwamba mpaka jana watia nia 8 walishachukua fomu za kugombea ubunge Jimbo la Kongwa ambalo lilikuwa chini ya Job Ndugai ambaye pia alikuwa Spika wa bunge la 11 ...
17 Reactions
64 Replies
12K Views
Ukiona kunguru wengi sehem ujue kuna mzoga. Kwenye mada: Kwanza kabisa tunapaswa kukumbuka kuwa hii ni rekodi mpya kwa watia nia wa Ubunge. Katika tafiti za kawaida tu inaonyesha ukosefu wa...
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Kuna watu ni wazito wa kuconnect dots. Ngoja tuwasaidie. Tabora pamepata umaarufu wa mitandaoni hivi karibuni, kutokana na mbwembwe za aliyekuwa Mkuu wa Mkoa, Aggrey Mwanry. Umaarufu huo haukuwa...
1 Reactions
69 Replies
12K Views
Mpoki amejitokeza kuomba ridhaa ya CCM kugombea Ubunge Jimbo la Kigamboni. Mpoki ni msanii wa vichekesho, mshehereshaji, mtangazaji wa kipindi cha Ubaoni redio ya EFM na pia ni mwimbaji wa nyimbo...
12 Reactions
70 Replies
11K Views
MGOMBEA Ubunge Jimbo la Ngorongoro Elias Ngorisa amechukua fomu kuomba ridhaa ya Chama Cha Mapinduzi-CCM kuteuliwa kuwania nafasi hiyo ambapo amesema lengo kuu kuwania nafasi hiyo ni kushirikiana...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Inafika wakati unaona kabisa kuna uhusiano mkubwa wa mateso na umaskini wa watanzania na hiki chama cha kijani. Hiki chama na wanaokishabikia ni laana kwa nchi. Kimewashikia akili baadhi ya...
11 Reactions
49 Replies
3K Views
Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Profesa Kitila Mkumbo, amejitokeza kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya chama chake kimteue ili aweze kugombea Ubunge katika Jimbo la Ubungo kupitia CCM.
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Fursa za ajira zinapotoka waombaji wanakuwa lundo sana, inaweza kutoka nafasi moja wakaomba watu 400. Ndicho kinachotokea kwenye kura za maoni kwa sasa. Tazama Mkoa wa Mara watia nia 462. Ni...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
ASANTENI sana Mbeya kwa mapenzi makubwa kwa chama chetu na kwa kunidhamini. Ilikuwa furaha sana kufanya mazungumzo na Mkt wa @ChademaTz Wilaya ya Mbeya, John Mwambigija a.k.a Mzee wa Ipako.
17 Reactions
88 Replies
8K Views
Amesema Ratiba kamili ya tarehe na siku ya yeye kurudi itatolewa na uongozi wa chama baada ya mashauriano. Aongelea pia ukimya wa vyombo husika kuhusu usalama wake na kawatoa hofu Wanachama kuwa...
14 Reactions
41 Replies
6K Views
Aliyekuwa Katibu mkuu wa CHADEMA kabla ya kuhamia CCM, Vincent Mashinji amechukua fomu ya kugombea Ubunge katika jimbo la Kawe jijini Dar es Salaam kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi. Jimbo hilo...
16 Reactions
87 Replies
12K Views
Aliyekuwa Mbunge jimbo la Mbinga Vijijini 2015/2020 Martin Msuha, amechukua fomu, kugombea ubunge Jimbo la Kibamba kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).
0 Reactions
3 Replies
2K Views
MWANAMKE AJITOSA KUGOMBEA URAIS ZANZIBAR KUPITIA CUF. AFANYA IDADI KUFIKIA SITA(6) KWA UPANDE WA ZANZIBAR
0 Reactions
1 Replies
931 Views
Nawakumbusha wagombea Msijaze kiholela form za kuomba kugombea Udiwani Ubunge Urais Form hizo zitachunguzwa kipengele baada ya kipengele. Kama kuna sehemu huelewi uliza ili usaidiwe maana...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Yule Msanii maarufu wa vichekesho kwa jina Ringo achukua form kugombea Ubunge Jimbo la Songea Vijijini kwa ticket ya CCM. ===== Sina cha kusema Mimi JACOB WILLIAM MKWECHE kwa heshima na imani...
5 Reactions
15 Replies
5K Views
Back
Top Bottom