Uchaguzi 2020 Msanii wa vichekesho Jacob W. Mkweche 'Ringo', achukua fomu kugombea Ubunge Jimbo la Songea Vijijini

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Apr 12, 2012
21,838
38,729
Yule Msanii maarufu wa vichekesho kwa jina Ringo achukua form kugombea Ubunge Jimbo la Songea Vijijini kwa ticket ya CCM.

=====

1594997622317.png

1594997529187.png

1594997454310.png

Sina cha kusema Mimi JACOB WILLIAM MKWECHE kwa heshima na imani kubwa mliyokuwa nayo kwangu nimefurahi sana kuona mnaniamini kiasi kwamba hadi nahisi kutokwa na machozi . Niwaahidi tuko pamoja hadi tutakapoingia mjengoni
 
Back
Top Bottom