Uchaguzi 2020 Aliyekuwa Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro, Elias Ngorisa achukua fomu ya Ubunge Jimbo la Ngorongoro kupitia CCM

nassymuller

Member
Jun 2, 2015
30
8
MGOMBEA Ubunge Jimbo la Ngorongoro Elias Ngorisa amechukua fomu kuomba ridhaa ya Chama Cha Mapinduzi-CCM kuteuliwa kuwania nafasi hiyo ambapo amesema lengo kuu kuwania nafasi hiyo ni kushirikiana na wana-ngorongoro katika kuwaletea maendeleo pamoja na kuwapambania Maslahi Yao Jimboni Humo.
IMG-20200714-WA0031.jpg
 
MGOMBEA Ubunge Jimbo la Ngorongoro Elias Ngorisa amechukua fomu kuomba ridhaa ya Chama Cha Mapinduzi-CCM kuteuliwa kuwania nafasi hiyo ambapo amesema lengo kuu kuwania nafasi hiyo ni kushirikiana na wana-ngorongoro katika kuwaletea maendeleo pamoja na kuwapambania Maslahi Yao Jimboni Humo.View attachment 1507364
Nakutafuta ndugu Elias Ngorisa (former Ahmad Ngorisa)
 
Back
Top Bottom