Wanabodi,
Mada kama hii niliileta 2015 Kuelekea Octoba 2015: Je, Sasa ni Wakati wa Media Zetu Kufanya Endorsement ya Wagombea?
Mfano mzuri wa endorsment ni huu...
Nipo live naona Mbowe anafanya maandamano muda huu kwenda kurudisha fomu. Ila nimejiuliza imekuaje Polisi wameruhusu haya maandamano?. Ninaanza kuhisi ipo siku Lissu ataanza kupigwa vita na Polisi...
Wakuu habari za Dominica,
Moja kwa moja na mimi nawiwa kuwamegea kile ambacho nimekigunduwa baada ya Mbowe kutangaza kugombea nilipita mitandaoni na siri ni hii, usifuate mkumbo.
Freeman Mbowe...
Katika mwanasiasa mwenye wafuasi wengi hapa tanzania ni lissu yaani kama itatokea Leo akaanzisha chama chake basi kitakua na fanbase kubwa sana kuzidi vyama vyote nashangaa anaendelea kupoteza...
Kijana Deus Soka umeipambania Chadema kwa jasho na damu. Mara kadhaa umekaa jela, umepigwa, umeumizwa umepitia madhila mengi ukiamini unapigania mabadiliko ya kweli.
Ulikuwa mstari wa mbele...
Hanang watu wamepata majanga serikali ya Samia imejenga nyumba na kuwakabidhi waathirika. What love is this? 💝💝
Magufuli angewaambia kwani Mimi ndio nimeleta majanga.
Refer tetemeko la ardhi...
Wakili msomi maarufu Nchini Tanzania na ambaye mara zote hujizolea sifa kemkem kwa uhodari wake asimamiapo kesi za Wana-CHADEMA na hususani Viongozi wake inaelezwa ame-wataarifu watu wa karibu...
Siku chache zijazo, waumini watasherehekea kuzaliwa kwa Yesu aka Kristo aka Issa Masihi aka Mwana wa Joseph aka Mwana wa Maria aka Issa bin Mariam aka Son of Man aka Mwana wa Adam aka Mwana wa...
Kumekuwa na mjadala unaoibuka na kufa kila mara. Nao si mwingine bali wa kuruhusu uraia pacha katika Tanzania. Serikali imekuwa ikipiga danadana wakati huo ikipigia chapuo uwekezaji wa watanzania...
Mara paap ghafula bin vuu unakutana na Abdul ,mtoto wa Rais somewhere kwenye function tusikokujua sisi watazamaji kufumba na kufumbua ukataladadi umekaa na kijana amevaa kanzu.wewe Wenje mara...
Nashangaa sana wazee wa mwanzoni akina Mtei na Makani walifanya uenyekiti wa CHADEMA kama nafasi huru hawakutaka kukaa madarakani mpaka waondolewe kwa nguvu. Kwa Sasa ni CHADEMA imejenga mtindo wa...
Am still trying to figure out why ? Wanachama wa CCM asilimia Kubwa kama sio wote wanapambana kuhakikisha FAM anabaki kua Mweyekiti.
Ninawaza tu yaan katika Siasa ya Vyama zaidi ya 15 vyenye...
Mda ndio huuu
Msisubiri sijui uchaguzi ufanyike
Wale mnaotoka CHADEMA hamieni CCM. Nafasi zimebaki chache
Na hiii kujitoa sijui kwenye kamati flan iendane na uhamisho WA jumla
Unajivua uongozi...
1. Uchaguzi wa serikali za mitaa 2019.
Katika uchaguzi huu, Wagombea wote wa CHADEMA walienguliwa. Freeman Mbowe hakuongoza mapambano ya kufa na kupona ili kupigania haki( Mfumo ulimpa chake...
Siku zote huwa nawaambia vijana fanyeni siasa, fanyeni ushabiki wa kisiasa, wapendeni viongozi wa kisiasa lakini kamwe msije kujitoa mhanga kiasi kwamba mnahatarisha maisha yenu kuwapigania...
Kizazi cha 1940-1989 hiki ndo kizazi cha hovyo kuwahi kutokea.
Utawakuta akina
Lipumba
Mbowe
Dr slaa
Mkwele
Jiwe
Chenge
Makonda
Kiufupi kizazi kitakacholeta mapinduzi ni hiki cha 1990s
Umu...