Naibu Waziri wa Maji, Mhandisi Kundo Mathew ametembelea na kukagua utekelezaji wa mradi wa maji Chalinze awamu ya tatu na kuridhishwa na utekelezaji wake unaonufaisha zaidi ya wakazi 200,000 wa...
Hakuna ushahidi kwamba CCM wanataka kuona kura.
Sasa tunakuwa na laxity ambayo haijawahi kuonekana tokea Uhuru.
Hii Kampeni ya No Reform No Election, Chadema wenyewe hawakubaliani
Matatizo ya...
Inasikitisha, G55 Press conference ya nin? Itasaidia nini kuwaweka sawa na chama chenu? kwanini msiwasiliane ndani kwa ndani?
na Lisu alifanya hayo hayo, na sasa mliokuwa viongozi mnafanya hayo...
Nimepata habari muda huu huu kwamba ajali mbaya imetokea Wilani Njombe , na katika ajali hiyo Mh.Salome Mbatia amefariki. Mtoa taarifa hakuweza kunieleza zaidi maana alikuwa na wasi wasi ila...
Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Queen Sendiga, amemwagiza Mkuu wa Polisi Wilaya ya Simanjiro kumkamata na kumweka ndani Afisa wa Polisi Kata ya Loibosiriet, Ester Tairo, kwa uzembe kutokana na kushindwa...
Catherine Ruge pia ameeleza kuwa ameenguliwa bila kupewa taarifa rasmi, akikiri kupata taarifa za kuenguliwa kwake kupitia ujumbe mfupi wa simu (sms)na Katibu Mkuu wa Chadema John Mnyika, bila ya...
Waziri Mkuu Kivuli wa ACT Wazalendo, ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Bara, Bwana Isihaka Mchinjita amesema mwaka 2025 ni mwaka kuhakikisha kuwa vijana wa Tanzania hawatalia tena...
Wakuu mambo vipi?
Ukipata Bahati ya kumsikiliza lissu na heche kwa umakini zaidi, ukiangalia na sura zao wakati wanaongea
Utagundua kitu Fulani, I think kuna mkubwa mmoja wa CCM au wa Serikali...
Toka Maza ameinhia madarakani kumeibuka Wapambe na Washabiki wakubwa wa Mama pamoja na CCM kwa jina Maarufu wanafahakika kama CHAWA. Lakini ukiangalia kwa jicho la pili siyo kuwa hawa wote ni...
Godbless Lema: Kama hakuna Mabadiliko ya Sheria za Uchaguzi, Sio tutasusa Uchaguzi bali tutaongoza watu Nchi nzina kuingia barabarani kufanya maandamano ya amani.
Hao watu watakaoingia...
Yes tunatambua mifumo ya uchaguzi ni mibovu. Inatoa mianya ya rushwa, unyanyasaji kwa wagombea, wizi wa kura na mengine mengi yanayosababisha wapinzani kupokwa haki zao.
LAKINI..
Hawa CCM...
Kampeni ya No Reforms, No elections imepata upinzani ndani na nje ya chama cha Chadema.
Ndani ya Chadema, kuna kundi ambalo linaona kabisa kuwa kampeni hii itawatoa kwenye malengo yao ya kisiasa...
Duniani kote, Kanisa linalofahamika kuwakabili Waziwazi watawala dhalimu ni Kanisa Katoliki.
Kutokana na kuijua vizuri dunia, Wakatoliki hawajawahi kuwa sawa na uongo, hawajawahi kuwa sawa na...
Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. Tundu Lissu akiwasili Ndanda mchana huu kuendelea na Operesheni ya No Reforms No Election.
Ndanda ipo Wilaya ya Masasi Mkoani Mtwara
Katika kipindi hiki cha siasa za Tanzania, mjadala kuhusu awamu ya sita unazidi kuibuka, hasa kutokana na matendo ya serikali chini ya Rais Samia Suluhu Hassan.
Rais Samia anajiita yuko katika...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, akizungumza na wananchi wa Liganga, Jimbo la Peramiho, Halmashauri ya Songea Vijijini, Wilaya ya Songea, alipokuwa...
Miongoni mwa sababu walizozitoa G-55 katika waraka huo ni pamoja kwamba wanaona haiwezekani kuzuia uchaguzi ikiwa si washiriki, badala yake wanapaswa kushiriki na kuzuia kwenye vituo...
ABDUL KAMBAYA: KAZI NA UTU INAAKISI MAONO YA UONGOZI WA CCM
Kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Komredi Abdul Kambaya amesema Kauli mbiu ya "Kazi na Utu" haijaja kwa Bahati mbaya kwa Sababu...