PreGE2025 DC Kilosa Shaka afturisha nyumbani kwake

PreGE2025 DC Kilosa Shaka afturisha nyumbani kwake

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,764
Mkuu wa Wilaya ya Kilosa Mhe. Shaka Hamdu Shaka jana aliandaa Iftari maalum Nyumbani kwake ambayo Viongozi mbalimbali walialikwa katika hafla hiyo.

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Iftari hiyo iliambatana na Dua ya kuliombea Taifa na kumuombea Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan.

DC SHAKA amewataka Wananchi kuendelea kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pamoja na viongozi wengine.

1743150511852.png

1743149636027.png

1743149626381.png

1743150153142.png
 
Nasubiria na mimi Mtanganyika kutoka Tanga, siku moja niteuliwe kuwa DC wa Chake chake Pemba, na hivyo kuwafuturisha ndugu zangu akina Makame wakati wa mfungo kama huu.

Siyo ndiyo maana halisi ya Muungano wa pande mbili!! Na kama haiwezekani kwa Mtanganyika kuteuliwa kuwa DC Zanzibar, ila Mzanzibari anaruhusiwa kuwa DC Tanganyika, basi tukubali tu tuna muungano wa hovyo wa changu changu, chako changu.
 
as long as muungano huu ni wa magumashi, there is a day utakufa
 
Kwenye hizo dua tuanze kuomba sasa Mwenyezi Mungu awaangamize mafisadi wote wanaoitafuta Taifa hili na kulitia hasara kubwa kupitia mikataba ya hovyo na wizi uliopita kiasi.

Kwenye futari tuombe pia Mwenyezi Mungu awalaani na kuwaangamiza wezi wa kura za wananchi.
 
Menu yote ya thikukuu imeliwa kwenye futari
 
Hivi ile ndoa yake alivyoolewa kule Mombasa bado ipo au alitalikiwa?
 
Back
Top Bottom