Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mtanzania JACKSONBILLZ aishie Dubai, mapema leo hii, Machi 30, 2025 ametua Tanzania kwa lengo la kuja kujiandikisha kwenye Daftari la kudumu la wapiga kura. Kupata matukio na taarifa zote kwa...
1 Reactions
4 Replies
428 Views
Mjumbe wa Baraza kuu UVCCM Viti vitatu Bara Ndg. Shamira Mshangama akiwa kwenye muendelezo wa ziara yake ya kuimarisha uhai wa Jumuiya ya Vijana CCM na kuhamasisha ushiriki wa vijana kuelekea...
2 Reactions
1 Replies
296 Views
Wakuu, Mbona kama kuna ka upepo kanatengenezwa hivi!🤨🧐🤔 Kamanda Lilian Byebalilo (BAWACHA) ameshambuliwa kwa kupigwa na watu wa Taskforce iliyopo chini ya Waziri Mweneviale (Mwenyekiti wa...
4 Reactions
30 Replies
1K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amewagusa watoto katika vito vya kulea watoto wenye mahitaji maalum na wanaoishi katika Mazingira magumu Mkoani Kigoma kwa kugawa...
0 Reactions
0 Replies
284 Views
Chama cha ACT Wazalendo kimesema kipo tayari kuunganisha nguvu na vyama vingine vya siasa pamoja na taasisi mbalimbali ili kuhakikisha vinapambania uwepo wa uchaguzi huru na haki mwaka huu...
2 Reactions
9 Replies
862 Views
11 March 2025 Nungwi Kiungani Kaskazini Unguja ARDHI YA MASIKINI WASILAZIMISHWE KUUZA, BALI WAIKODISHE KWA WAWEKEZAJI ILI WAPATE KIPATO ENDELEVU https://m.youtube.com/watch?v=n1wBSC3B3-E Maoni...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Eid Mubarak
1 Reactions
0 Replies
254 Views
Baada ya kutolewa kwa ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Dkt. Charles Kichere Machi 27, 2025, Ikulu jijini Dar es Salaam, kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Furaha...
8 Reactions
63 Replies
3K Views
Mbunge wa Jimbo la Mbogwe, Nicodemas Maganga, leo ameshiriki ibada katika Makanisa ya AIC na AGGCI, ambako ametoa wito kwa waumini kuendeleza amani na mshikamano katika jamii. Kupata matukio na...
1 Reactions
3 Replies
424 Views
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) taifa Tundu Lissu akizungumza wakati wa mkutano kati ya CHADEMA na Jukwaa la Wahariri (TEF) amesema Vyombo vya Habari vyote nchini...
4 Reactions
9 Replies
1K Views
Katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, mkurugenzi wa kampuni ya kuuza mafuta katika mji wa Moshi Manispaa anatarajiwa kuwa na jukumu muhimu katika kampeni za chama cha CCM. Hata hivyo, kuna hofu...
1 Reactions
3 Replies
501 Views
Hellow Tanganyika!! Akihojiwa kuhusu ushirika wake kumleta chamani Lowwassa, amedai ,Yeye na Mnyika walipewa taarifa juu ya ujio wa Lowassa mwishoni kabisa, hivyo wasingekataa, Alipoulizwa...
26 Reactions
162 Replies
6K Views
Wanabodi, Mimi mwenzenu, japo ni mwandishi wa habari wa kujitegemea kwa kujitolea, ila pia ni mwanasheria na wakili wa kujitegemea pia kwa kujitolea, nimehudumu kwenye sekta ya habari kwa...
68 Reactions
190 Replies
21K Views
Kakopa matrilion ya mapesa na kuvunja rekodi ya marais wote waliowahi kushika uongozi na kwamba pesa hizo wapi zimetumika, hatuoni, Trilion 15 kwa mwaka mmoja? Jamani, hizo pesa ni nyingi sana...
9 Reactions
45 Replies
2K Views
Mikopo ya awamu ya Tano; Treni ya kisasa ya SGR Bwawa la umeme la Nyerere (JNHEP) Daraja la Kigogo - Busisi Tanzanite Bridge John Kijazi interchange Mfugale Flyover Ubungo Bus Terminal JK Nyerere...
10 Reactions
90 Replies
4K Views
Hawa jamaa ndio wametuletea Hizi dini huku Afrika ila sasa wao hawaheshimu kabisa Wanawake. Wabillah Taufiq
4 Reactions
82 Replies
3K Views
Tulifikiri waziri mkuu huwa ni mtu wa busara sana mpaka watu walianza kumtabilia urais kisa tu kufoka foka enzi za zile za giza kumbe ni hewa tu. Badala ya kusisitza elimy ya juu iwe bora...
2 Reactions
27 Replies
1K Views
Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imetoa muda wa wiki moja kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kiwe kimewasilisha maelezo kuhusu malalamiko ya mjumbe wa Baraza Kuu wa chama hicho...
2 Reactions
76 Replies
5K Views
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo ChademaTz Wilaya ya Mwanga Lembrus Mchome amesema amemuandikia barua Msajili wa Vyama vya Siasa kufanya uchunguzi juu ya uhalali wa Kikao cha Baraza...
2 Reactions
56 Replies
3K Views
Wakuu, Kamati ya Ushauri ya Wilaya Missenyi mkoani Kagera (DCC), imepitisha azimio la kubadili jina la Jimbo la Uchaguzi la Nkenge na kuitwa Jimbo la Missenyi, ili kuleta muunganiko wa kiutawala...
2 Reactions
8 Replies
631 Views
Back
Top Bottom