Nimejikuta nacheka utafikiri nimecheka kwa mazuri,ukikuta unamsifia baba wa mwenzio kutunza familia yake vizuri na kusimama kwenye nafasi yake kama kiongozi wa familia, basi kwa vyovyote ni matusi...
Bakwata wakati wanatuizia Uoga, kule Kenya Waslama wamesema endapo mpango wa kuwaongezea mishahara Wabunge utatekelezwa basi wataingia Barabarani. kwa kifupi wamechoka kuona raia wakiwa masikini...
Kupunguzwa kwa misaada rasmi ya maendeleo, hususan kutoka kwa nchi kama Marekani, kumeathiri pakubwa shughuli za Shirika la Afya Duniani (WHO) na miradi yake, ikiwemo ile inayohusiana na afya ya...
Wananchi wa Kanda ya Kaskanini mwa Tanzania wanashangazwa na matukio yanayoendelea katika eneo hilo, hususan kuhusu ziara ya Katibu Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla.
Wanauliza...
Kwa mfano, leo nimemsikia Mkuu wa Mkoa wa Tabora akiahidi Tshs Milioni 60 kwa wachezaji wa Tabora kuelekea mchezo wao dhidi ya Yanga. Huu ni mfano mmoja tu miongoni mwa mingi ya namna hii.
Swali...
Nimekutana na hii clip mitandaoni na kuisikiliza na kama ni ya kweli basi ndiyo maana CCM huwa wanaiba mali za umma.
Kwenye Clip anaonekana Pereira Ame Silima akituhumiwa kuiba vitu toka kwa mke...
Wapi kwenye afadhali? Mbona kila mahali ni majanga?? Mwisho wa siku mwananchi ndio anabeba mzigo wote huu.
Halafu mazwazwa yako busy kusema tano tena. Shame.!
Credit: Maudhui ni Malisa G.J
Wajumbe 22 wa Kamati ya Dira ya Taifa ya Maendeleo wakiwa wamesimama mbele ya bango lenye kaulimbiu isemayo kwamba "Umoja na Mshikamano ni Chachu ya Maendeleo ya Taifa"
I. Utangulizi...
Bismillahir Rahmanir Rahiim
SHURA YA MAIMAMU TANZANIA
WARAKA WA IDD ADH-HA 1445 - JUNI 17, 2024
UTANGULIZI
Awali ya yote tunamshukuru Mwenyezi Mungu Mwingi wa rehema kwa kutupa fadhila...
Tulitegemea tutaona Lissu na kundi lake baraza la eidel la liloandaliwa na Bakwata
Au baraza la eidel liloandaliwa na Shura ya imamu kupitia sheikh Ponda.
Lakini kokote hawapo. Halafu wanataka...
Ndugu zangu watanzania,
Kama kuna Muhimili unapaswa kuwa msitari wa mbele kumtia moyo Rais Samia ,basi ni Muhimili wa Bunge.Hii ni kwa kuwa wabunge kwa macho yao ni mashuhuda wa namna Rais Samia...
Kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, amesisitiza umuhimu wa mabadiliko ya sheria za uchaguzi, akieleza kuwa haiwezekani uchaguzi kuwa huru na wa haki chini ya mfumo wa sasa...
Website ya Ubalozi wetu Brazil Inavutia Sana. Karibu tujionee namna ambavyo Balozi zetu zinavyovutia wawekezaji.
Ambassador's Message | Tanzania Embassy in Brasilia, Brazil
Ubalozi wa Kenya...
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba Ile kampeni Tukufu ya No Reform No Election kwenye kanda nzito ya Nyasa imehitimishwa leo Mjini Iringa
Pichani ni Tundu Lissu akiwa na Mwenyekiti wa Mkoa wa Iringa...
Habari Wananchi?
Hivi Hawa watu wanaohubiri kuitunza amani yetu hawaoni kwamba ni Serikali na ccm ndiyo wanaohatarisha Amani yetu kwa kung'ang'ania kukumbatia mifumo mibovu ya chagizi zetu...
Mufti inasikitisha kwa kuweka uchawa mbele. Anaongelea amani lakini kajisahaulisha kwenye chaguzi huru, haki , utekaji kama vile kila kitu ni sawa.
Sio kweli tatizo la Amani litapindishwa na...
Wakati maandalizi ya Tamasha la Kuombea Uchaguzi Mkuu 2025 yakipamba moto wake, hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan nayo imekazia amani na utulivu kipindi...
Chama cha NCCR – Mageuzi kimemtangaza mwanachama wake Haji Ambar Khamis kuwa Mwenyekiti wa chama hicho Taifa huku Joseph Selasin akichaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa chama hicho ngazi ya taifa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.