Kwa vitendo vyake Je Raisi Samia ni mkweli au Muongo. Wengi wanalalamika kwamba anayesema anasema kisiasa kuanzia 4R ni uongo, chaguzi huru ni uongo, Ripoti za mauaji ni uongo. Je ni kitu gani Samia kasema cha kitaifa na kimekuwa ukweli?
Je tuna Raisi Muongo?
Je tuna Raisi Muongo?