Hamna mahali walisema wanataka kuungwa mkono na waislamu,Wanataka kuungwa mkono na watanzania si dini, kuna tofauti kubwa sanaTulitegemea tutaona Lissu na kundi lake baraza la eidel la liloandaliwa na Bakwata
Au baraza la eidel liloandaliwa na Shura ya imamu kupitia sheikh Ponda.
Lakini kokote hawapo. Halafu wanataka kuungwa mkono na waislam?
Kwanini makanisani crismass wanashiriki na kuomba kuungwa mkono?Hamna mahali walisema wanataka kuungwa mkono na waislamu,Wanataka kuungwa mkono na watanzania si dini, kuna tofauti kubwa sana
Shura ya maimam?BAKWATA imeshakataliwa siku nyingi kwa kuwa ni Jumuiya ya chama dola tawala CCM kama UVCCM, CWT waalimu, WAZAZI n.k
Kwani wanaeneza dini siku hizi?Tulitegemea tutaona Lissu na kundi lake baraza la eidel la liloandaliwa na Bakwata
Au baraza la eidel liloandaliwa na Shura ya imamu kupitia sheikh Ponda.
Lakini kokote hawapo. Halafu wanataka kuungwa mkono na waislam?
Kuna kiongoz nchi hii ambae afanyi hivyo? Last time i check hata mpaka wale wasio wakristo wanaomba supportKwanini makanisani crismass wanashiriki na kuomba kuungwa mkono?
NakushauriTulitegemea tutaona Lissu na kundi lake baraza la eidel la liloandaliwa na Bakwata
Au baraza la eidel liloandaliwa na Shura ya imamu kupitia sheikh Ponda.
Lakini kokote hawapo. Halafu wanataka kuungwa mkono na waislam?
Wanapewa au wanaombaNgoja tuone Pasaka, labda watapewa nafasi makanisani kunadi sera zao
Cdm haihitaji support ya waisilamu, inahitaji support ya watanzania. Waisilamu unawajua ww.Tulitegemea tutaona Lissu na kundi lake baraza la eidel la liloandaliwa na Bakwata
Au baraza la eidel liloandaliwa na Shura ya imamu kupitia sheikh Ponda.
Lakini kokote hawapo. Halafu wanataka kuungwa mkono na waislam?
Ccm wanatisha kughribu bakwata siyo chademaTulitegemea tutaona Lissu na kundi lake baraza la eidel la liloandaliwa na Bakwata
Au baraza la eidel liloandaliwa na Shura ya imamu kupitia sheikh Ponda.
Lakini kokote hawapo. Halafu wanataka kuungwa mkono na waislam?
Tulitegemea tutaona Lissu na kundi lake baraza la eidel la liloandaliwa na Bakwata
Au baraza la eidel liloandaliwa na Shura ya imamu kupitia sheikh Ponda.
Lakini kokote hawapo. Halafu wanataka kuungwa mkono na waislam?
Siku Lissu akisilimu malaria itapungua kichwani. Ila akishika nchi atahamia Abu Dhabi kwa hasira.Wewe uko karibu na dini gani
Nchi ya kijinga Sana hii
Ulitaka Lissu akaswali msikitini!!
Ulitaka waombe kupewa nafasi baraza la eid??Wanapewa au wanaomba
Kuna mwanasheria mmoja wa chadema alishawahi kutamka kwa bahati mbaya kuwa hapendi viongozi wa nchi waislamu eti wanaharibu nchi nikamuangalia nikasema kweli chuki ni ugonjwa mmbaya sanaTulitegemea tutaona Lissu na kundi lake baraza la eidel la liloandaliwa na Bakwata
Au baraza la eidel liloandaliwa na Shura ya imamu kupitia sheikh Ponda.
Lakini kokote hawapo. Halafu wanataka kuungwa mkono na waislam?