Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakati mwingine kwenye hii nchi watu wanaoongoza kufanya vituko vinavyokataliwa kimantiki na Sheria ni wanasheria, tena wanasheria wabobevu. Sasa msajili wa vyama vya siasa kuwaita CHADEMA...
5 Reactions
42 Replies
2K Views
No reform No Election limewatia tumbo joto hasa wasaka tonge. Slogan hii ilianzishwa na Wana CHADEMA wote na leo wanapotaka nafasi za Rais, Ubunge na Udiwani wanatoka wazi kuukana slogan yao...
2 Reactions
6 Replies
388 Views
https://youtu.be/--J45XU5LAs?si=_xbKbAZN1lVA2KpD Mh. Tundu Lisu ambaye ni Mwenyekiti wa Chadema ameeleza kwa undani na urahisi sana mabadiliko 6 ambayo Chadema inadai, Katika mkutano wa leo wa...
6 Reactions
8 Replies
807 Views
Tunapenda mabadiliko lakini hoja ya kuzuia uchaguzi nchi nzima aisee haitekelezeki! Ingekua Kenya sawa, ila Tanzania hii vijana wengi Vilaz* tu hakuna kitu kitatokea Najaribu kufikiria uchaguzi...
6 Reactions
12 Replies
445 Views
Ukiwa Hauna D mbili, unaweza kushupaza Shingo tu na kumchukulia LISSU kama mtu wa kawaida sana . Sasa Iko hivi, Mungu muumbaji humtegemeza MTU mwenye HAKI , Kwa Mungu ukiwa mwenyé HAKI na Usokua...
25 Reactions
50 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa Baraza la Wazee wa CHADEMA Jimbo la Arusha Mjini, Emanuel Zakaria maarufu kama Baba Bony, ametoa onyo kali kwa kundi la G- 55 ambalo linapinga msimamo rasmi wa chama hicho wa "No...
1 Reactions
5 Replies
582 Views
Kwa sasa, usalama wa raia na mali zao jijini Dodoma umekuwa katika hali mbaya sana. Kila siku, vifo vya watu vinarekodiwa mitaani, huku serikali ikiendelea na kimya. Hali hii ya kutisha...
1 Reactions
2 Replies
452 Views
Salaam, shalom! Nimesikia kauli ya mbunge mmoja akitamka kauli ya hatari mbele ya viongozi wake wa chama na mbele ya umati wa wananchi waliohudhuria mkutano huo wa hadhara. Amesema hadharani...
6 Reactions
35 Replies
2K Views
Mbunge huyo ambaye hakufahamika Jina lake, Anatajwa kuwa ni miongoni mwa Wabunge wa CCM waliopita bila kupingwa kwenye ulioitwa Uchaguzi Mkuu wa 2020. Mbunge huyo anayetajwa kama Kigogo wa...
10 Reactions
44 Replies
3K Views
Hawa ni baadhi ya waheshimiwa wa G-55 wakiwa wanapanga miakakati mizito namna ya kushinda majimbo waliyotia nia. Kwa karibu hapa namuona mrembo Sirgada na mzee wa jimbo la Kawe mheshimiwa Kileo...
9 Reactions
60 Replies
3K Views
Wakuu Prof. anadai CUF itawakomboa Watanzania, au G55 waende huko tu Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya...
2 Reactions
20 Replies
999 Views
Ukijaribu kupiga stori na watu mbali mbali kuhusu uchaguzi, wengi sana wanasema CCM bila kutumia polisi dola hawawezi kushinda uchaguzi mkuu. Wengi wanasema kabisa wapo CCM kimsalahi ila kiitikadi...
5 Reactions
20 Replies
972 Views
Kwa kweli hii nchi tulikuwa tunaongoWa na mshamba kweli kweli. Maendeleo kidogo tu tena almost negligible kelele wiki nzima na kuita vyombo vya habari ili kusifu Mbona jk alikuwa anaajiri almost...
4 Reactions
34 Replies
1K Views
Uchaguzi mkuu ni takwa la kikatiba sio la chama fulani kinataka au hakitaki Uchaguzi mkuu kufanyika hata kikiwa chama kimoja tu ndio kinataka uchaguzi vingine vyote havitaki wanaodhani hauwezi...
2 Reactions
13 Replies
470 Views
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Abdul Kambaya akiwa katika ziara na Katibu Mkuu wa CCM, Mhe. Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema kuwa watu wanapofanya maamuzi ya kukiunga Mkono CCM hawaangalii...
1 Reactions
17 Replies
834 Views
Dkt. Balozi Emmanuel Nchimbi ahitimisha kwa kishindo ziara yake mkoani Ruvuma
1 Reactions
13 Replies
738 Views
Mwanzoni nilidhani labda ni hisia zangu lakini baada ya kuwasikiliza nikagundua nilikuwa sahihi kwa 100% kuhusu kundi la watia nia wa ubunge 55 kupitia CHADEMA maarufu kama G55 ama Mpox ambao...
10 Reactions
21 Replies
1K Views
Tundu Lissu apokelewa kwa furaha Nachingwea. Je, ni ngome ya CHADEMA? Hakika CHADEMA ndo chama kikuu cha Upinzani. CHADEMA wanaendelea kutoa elimu ya No reforms no Election kanda ya kusini.
10 Reactions
18 Replies
1K Views
Mkutano wa Kumi na Tisa wa Bunge la Kumi na Mbili unatarajiwa kuanza Jumanne, tarehe 8 Aprili 2025, ukiwa na lengo kuu la kujadili na kuidhinisha Bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha wa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wewe ni nani? Ni Nini Mama Tanzania We ni wapi ni yupi Maji na bahari,maji baridi Kwenu ni wapi asili ni ipi Iwe karibu nyumbani Kilimanjaro,Dunia juu zaidi Watoto wako ni wapi Wavivu? Walegevu...
1 Reactions
3 Replies
327 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…