Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tumeona wanafunzi wasio na sifa wakilazimishwa kujiandikisha ili wapige kura.na Watoto wetu wanakuja kutuambia ili hali sisi wazazi tunajua kabisa hawana sifa. Pengine CCM na ndio mpango wao wa...
0 Reactions
0 Replies
307 Views
Kama mlikuwa manjua Tanzania kuna upinzani basi mlikuwa mnajidanganya Sana Mrema Mbowe Lipumba Maalim Seif These guys, walikuwa double Agent so kuweni makini vijana sasa tunaelekea katika...
5 Reactions
17 Replies
1K Views
Balozi Juma Mwapachu, ambaye amewahi kuwa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na balozi wa Tanzania nchini Ufaransa, amefariki dunia leo Machi 28, 2025 katika hospitali ya Muhimbili...
17 Reactions
162 Replies
12K Views
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango amewasihi Mabalozi kuwaunganisha Watanzania wanaoishi katika nchi wanazowakilisha...
0 Reactions
0 Replies
295 Views
"Mwenendo wa viashiria vya uchumi na bajeti katika mwaka 2024/2025 umeendelea kuwa wa kuridhisha. Katika mwaka 2024, Pato halisi la Taifa lilikua kwa wastani wa asilimia 5.5 ikilinganishwa na...
0 Reactions
1 Replies
461 Views
Kutokana na mapungufu ya kikatiba yaliyopelekea kuwa na tume ya uchaguzi isiyohuru kiutendaji, nimependekeza muundo wa tume unaoweza kutibu majeraha. Tunajua kwa sasa tume iliyopo @TumeUchaguziTZ...
4 Reactions
8 Replies
673 Views
Kamishna wa Intelijensia ya Jinai kutoka Makao Makuu ya Polisi CP Charles Mkumbo, wakati akiwasilisha mada kwenye kikao kazi cha 20 cha maafisa habari wa Serikali kilichofanyika Zanzibar Aprili 3...
1 Reactions
7 Replies
825 Views
Serikali ya Tanzania imewaonya watu waliojipanga kuleta fujo, kujihusisha na rushwa ama kuleta sitofahamu katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, kuwa ipo macho na haitatoa mwanya wa kufanyika hila...
2 Reactions
12 Replies
771 Views
Huko Congo drc team Moja za ligi kuu ziliokuwa ziki itwa dcmp ime badilisha jina na kuitwa FC magufuli, kumbe jembe kakanya kazi ngumu sana, basi kapumzike kwa Amani sana USSR
17 Reactions
39 Replies
2K Views
Mazungumzo ya Katibu mkuu UVCCM Ndg Jokate Urban Mwegelo (MNEC) na Ndg Emanuel Martine Mkuu wa Idara ya uhusiano wa Kimataifa vyuo na vyuo Vikuu UVCCM Taifa Jokate Mwegelo @jokatemwegelo ...
0 Reactions
3 Replies
424 Views
Kamanda wa Polisi, anasema kwamba dereva alitoroka ama kutoroshwa na kwamba polisi hawajui yuko wapi na wanamtafuta??? Nadhani kesho watasema "wamempata" akiwa hajachubuka hata 'nywele'.... Je...
0 Reactions
168 Replies
38K Views
Tundu Lissu, Mwenyekiti wa Chadema, amesema chama chake hakitashiriki Uchaguzi Mkuu ujao bila kufanyika mabadiliko sita muhimu ya mfumo wa uchaguzi, akisisitiza kauli yao ya “No Reforms, No...
4 Reactions
24 Replies
1K Views
Mwenyekiti Taifa wa ACT Wazalendo Othman Masoud Othman, amesema Chama hicho hakitakubali aina yoyote ya hujuma zitakazosababisha kutangazwa kwa watu wasiochaguliwa kwa Kura za Wananchi kuwa...
2 Reactions
10 Replies
786 Views
  • Closed
Kigogo avujisha video ya wizi wa kura ulivyokuwa ukifanyika 2020. Kigogo anadai video hii inaonesha jinsi afisa wa uchaguzi walivyokuwa wakichagua viongozi katika vituo vya kupigia kura huku...
5 Reactions
49 Replies
3K Views
Oscar Oscar una Intelligence duni na huna maturity kwenye Political Science. It is better to shut up kuficha Ujinga. Big Up Edo, huwa napenda kukusikiliza na most of the time upo kwenye Present...
8 Reactions
53 Replies
3K Views
Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo Taifa, Othman Masoud Othman, ameeleza kuwa mchakato wa uandikishaji wapigakura wapya visiwani Zanzibar unakabiliwa na changamoto kubwa, hasa kutokana na...
0 Reactions
5 Replies
529 Views
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameeleza kuwa Serikali imetoa ruzuku ya Shilingi Bilioni 13.17 kwa vyama vya siasa vyenye sifa ya kupata ruzuku hadi kufikia Machi 2025. Hatua hii imeendelea kusaidia...
1 Reactions
0 Replies
326 Views
Kanda ya kusini: Tundu Lissu azidi kuwasha Moto. Sikujua kama Ruvuma ni ngome ya CHADEMA. Hapa ni Namtumbo
17 Reactions
76 Replies
4K Views
Nawaonea sana huruma CCM. Hela wanazopoteza kuwahonga madalali wa kisiasa kina Mrema, Mchome, Wenje na wengineo wangezirudisha tu Tamisemi zikajenge mashule vijijini maana hazitafanikiwa kutimiza...
27 Reactions
52 Replies
2K Views
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa amesema kwa kipindi cha Agosti Mosi 2024 mpaka Februari 2025, Jumla ya shilingi Bilioni 54.9 zimekusanywa kwenye huduma ya...
1 Reactions
7 Replies
526 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…