Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Huyu Wenje amejidhihirisha kuwa ana kazi Maalum ndani ya CHADEMA. Kwanza yeye ndiye kamleta Abdul CHADEMA. Mivurugano yote unayoiona kwa Sasa imeletwa na Wenje baada ya pesa za Abdul kuingia...
10 Reactions
30 Replies
2K Views
Ndugu zangu Watanzania, Kuongoza chama kikuu cha Upinzani Nchini kama CHADEMA inahitaji moyo,inahitaji ujasiri,inahitaji kujitoa na kujitolea muda na rasilimali zako kwa ajili ya kukijenga chama...
2 Reactions
84 Replies
2K Views
Chama Cha mapinduzi CCM mkoa wa Njombe kimepiga marufuku wanachama wa chama hicho kujipitisha na kutoa zawadi,misaada au kitu chochote katika kipindi hiki bila kuridhiwa na vikao halali vya chama...
1 Reactions
7 Replies
351 Views
DODOMA: WATUMIAJI wa bidhaa za mafuta ya petroli nchini wameuanza mwaka mpya wa 2025 kwa shangwe ya kuendelea kupata unafuu bei za bidhaa hizo kwa mwezi Januari 2025. Taarifa iliyotolewa na...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu, Hii kiboko, tumeanza mwakampya na Rushwa mujarab kabisaa! Hao kumbikumbi wanavyoshangilia sasa🤦! ===== Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzani Samia Suluhu Hassan, usiku huu wakati wa...
14 Reactions
86 Replies
4K Views
Marekani ina jumla ya vituo vya Kijeshi (overseas military bases) 38 katika mataifa mbalimbali! Ukiacha Marekani, kuna mataifa mengine zaidi ya kumi na tano yenye vituo vya kijeshi sehemu tofauti...
2 Reactions
16 Replies
713 Views
Itakusaidia sana na kukuepusha na fedheha za kujifungia ndani kwasababu huna pesa ya matibabu, au kujiuguza kwa kukimbilia kununua panadol tu, au kufakamia dawa ambazo si sahihi kiholela dhidi ya...
8 Reactions
35 Replies
1K Views
Hata kama wanasema Mkubwa hakosei na wala hapingwi, lakini ni lazima ifahahamike kwamba Mungu amekataza Wanadamu kushiriki dhambi ya uongo. Na kwa vile Mimi namuogopa Mungu kuliko wanadamu...
6 Reactions
35 Replies
1K Views
Makamu Mwenyekiti wa chadema Mh Tundu Lissu amewataja akina Nguesso, Biya, Kagame na Museveni kama vinara wa ung'ang'anizi wa madaraka barani Africa Aidha Kwa Tanzania Lissu anesema Wapinzani...
12 Reactions
57 Replies
2K Views
NAMTUMBO -RUVUMA Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania. Mimi ni mkazi wa mjini Songea ila mzaliwa wa wilaya ya Namtumbo katika kijiji cha Songambele. Kutoka na maisha ya mjini...
1 Reactions
14 Replies
812 Views
Tunaweza kubishana juu ya mambo mengi ila hatuwezi kubishana juu ya utekelezaji mkubwa wa miradi ya maendeleo unaofanywa na Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan. Mtakubaliana na Mimi kuwa Mradi huu...
15 Reactions
183 Replies
8K Views
Habari ndio hiyo Wenje kupambana na Lemma Makamu wa Mwenyekiti CHADEMA Taifa. Wajumbe kazi kwenu ni ama dalali ama mchungaji wa Mungu.
20 Reactions
97 Replies
4K Views
Chama Chadema kuna watu waliokosa maono . Tundu lissu , yupo sahihi kutokubali kukichangia hiki chama I agree with him. Mimi nachojua life is about priority Maisha ni swala la vipaumbele zaidi ...
4 Reactions
11 Replies
931 Views
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amesema kuimarika kwa miundombinu ya Mahakama ni hatua muhimu itakayowawezesha wananchi kupata...
1 Reactions
2 Replies
381 Views
Mada hii itakuwa na 'Updates' mbalimbali za Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Morogoro. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali...
0 Reactions
0 Replies
948 Views
Mada hii itakuwa na 'Updates' mbalimbali za Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa PWANI. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali...
0 Reactions
0 Replies
868 Views
Mada hii itakuwa na 'Updates' mbalimbali za Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa PWANI. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali...
0 Reactions
0 Replies
733 Views
Jeshi la Polisi limeendelea kuandamwa na matukio ya kuua raia baada ya askari wake wanne, akiwamo Mkuu wa Kituo (OCS) kukamatwa kwa tuhuma za kuvamia nyumba ya kulala wageni, kujeruhi, kupora mali...
0 Reactions
45 Replies
6K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwautubia Watanzania kwa Salamu za Mwaka Mpya Ikulu ndogo ya Tunguu Zanzibar, leo tarehe 31, Disemba...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
WanaJF, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Matukio kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Urais, Ubunge na Udiwani 2025 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Geita. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…