Mgombea Urais kupitia Chadema Tundu Lissu yupo Mkoani Geita akiendeleza kampeni zake za kuingia Ikulu.
Lissu aliyewasili mkoani Geita hapo Jana na kupata mapokezi yaliyovunja Rekodi ya Tanzania...
Kiukweli Mbowe alipaswa kuandamana na Tundu Lissu kwenye kampeni za kitaifa za Urais.
Utafiti wangu unaonesha kwa sasa Mbowe yuko Machame akifanya kampeni za ubunge kijiji kwa kijiji.
Ndipo sasa...
Na Debora C. Kiyuga✍🏽
Katika kipindi cha Serikali ya Magufuli, vimejengwa viwanda vipya 8,477, ambapo vikubwa ni 201, vya kati 460, vidogo 3,406, na vidogo sana 4,410. Hii imeongeza idadi ya...
UFUATILIAJI WA MAJIBU YA RUFAA YANGU- SUPHIAN.
Napata simu, maswali ana kwa ana na jumbe nyingi za wananchi wa Jimbo la Singida Magharibi, marafiki, ndugu na jamaa kutoka sehemu mbalimbali nchini...
Nimekuwa nikiona magari mengi tofauti yana namba za usajili T2020 JPM, nauliza je hii ni namba halali kwa magari haya?
Nimeona magari zaidi ya 10 yana namba hii. Inawezekana vipi gari zote hizi...
Hiyo ndio Kauli ya Tundu Lissu iwapo ikitokea ameshindwa kwenye Uchaguzi Mkuu mwezi October 2020.
Tundu Lissu amepitishwa na CHADEMA kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya...
Salaam Wakuu,
Leo Mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Ndugu Bernard Membe anaongea na Wahariri wa Vyombo vya habari Jijini Dar.
Nipo hapa City Lodge Mjini kati kusikiliza...
Mkiwazuia hao mtetezi wetu atakuwa nani kule bungeni?
Muendelee kupigania haki za waliodhurumiwa wakati waliopewa haki wakiendelea kutuwakilisha, vinginevyo sisi tutakuwa wakiwa hatutakuwa na...
Watanzania,
Salaam nyingi kwenu. Ninawapenda.
Mimi ni mtanzania ninayetokea mkoa wa Tanga. Leo ninataka kuongea na ninyi kuhusu Tanga. Wapo wasiojua, Ila wapo wanaoujua Ila wameamua kupotosha...
Dar es Salaam. CHADEMA imeanza kutumia nguvu ya mahakama kupinga mchakato wa uteuzi wa wabunge 19 wa viti maalumu na mtu aliyesaini fomu zao kwa nafasi ya katibu mkuu.
Chama hicho kilistahili...
Ni makosa ambayo wanayafanya Kwa mara ya Pili ndani ya vipindi muhimu vya Uchaguzi, Uchaguzi wa mwaka 2015 walikosea na hii tena wamekosea.
Moja ya advantage kubwa ya Chama cha Mapinduzi wakiacha...
Katika hali ya kuonyesha kuchanganyikiwa na joto la kampeni na kupoteza uelekeo, mgombea wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima aliibuka kwenye darasa la watoto wa shule ya awali.
Hebu tazama...
Habari wana bodi,
Baada ya makala kadhaa za harakati za viongozi na vigogo katika awamu hii ya 5 jimboni Iramba leo macho yangu nayaelekeza Jimboni Ukerewe, hili n jimbo toka mkoa wa Mwanza, ni...
Sasa ni dhahiri Tundu Lissu ni Mcha Mungu.
==========
TUNDU LISSU: Ndugu wananchi wa Tanzania, tumsifu Yesu Kristo, Bwana asifiwe, mwanakondoo ameshinda, Assalam Aleykum Warahmatullah...
Swali fikirishi: Je, kuna mtu timamu kiakili atamchagua John Magufuli kwenya uchaguzi wa 2020 licha ya ugumu wa maisha aliousababisha, onevu kwa wafanyabiashara, kuminya uhuru wa kujieleza na...
Amani kwako.
Maandiko yanasema.
Warumi - Romans 13:
1 Kila mtu na aitii mamlaka iliyo kuu; kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu; na ile iliyopo imeamriwa na Mungu.
2 Hivyo amwasiye...
Sema unataka kugombea jimbo gani na chama gani ili upate ushauri na Watu wa kukuunga Mkono....
Mimi nagombea Mtera-Dodoma.
Chama-Chadema
2020-2025
Naomba kama naweza kupata ushauri
Sent using...
Vijana ni kundi kubwa, muhimu na linaloongoza kwa uwingi wa idadi kubwa ya watu hapa Tanzania na kwasasa inaarifiwa zaidi ya asilimia 65 ya Watanzania wote ni vijana. Vijana ni kundi kubwa lenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.