Uchaguzi 2020 Mbowe amehamia jimboni Hai?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
82,380
138,552
Kiukweli Mbowe alipaswa kuandamana na Tundu Lissu kwenye kampeni za kitaifa za Urais.

Utafiti wangu unaonesha kwa sasa Mbowe yuko Machame akifanya kampeni za ubunge kijiji kwa kijiji.

Ndipo sasa nauliza Mbowe kahama mjini na kurudi kijijini Machame?

Maendeleo hayana vyama!
 
Nyie mmewapitisha wale wazee bila kupingwa ili waongeze nguvu kwa jamaa yetu lakini wapi? Mbona raundi ya kwanza Mbowe alizunguka na Lissu kanda zote? hii ni strategy tu.

Lissu binafsi anauzika sana kwa wapiga kura hata haitaji support yoyote, naamini unaona balaa lake kila anapopita.

Naskia huko kwenu sasa hivi mnataka kuwaongeza wakina Kinana na Makamba mmeanza kuwatuma watu wakawapigie magoti, lakini nawaambia hili balaa la Lissu lumumba hamliwezi, ndio maana Polepole ameanza kuropoka matusi tu, hoja za Lissu hazijibiki!
 
Mbowe hawezi kupoteza muda anampigania Lisu wakati anajua atatia aibu kwa kupata kura kidogo sana!
Mbowe ameona bora akapambanie ubunge wake kuliko kukesha anapigania Lisu awe rais kitu ambacho hakiwezekani.

Ruzuku ya chadema itapungua sana awamu hii sababu Lisu hana uwezo wa kupata kura na wabunge aliopata Lowasa.

Kwenye huu uchaguzi Mbowe kila akitafakari anaona kapoteza vibaya mno.

Kiufupi huu uchaguzi Mbowe hajaambulia hata sent tano ila zinamtoka tu.
 
Q
Kuna vitu vinafikirisha sana bt inabidi ufikirie saaana ndo utaelewa kwanini polepole anaweweseka
 
Uchaguzi mwepesi sana,Lissu pekee yake mmepanic sasa akiongezeka Mbowe, Zitto na Lema si mtakimbilia Gisenyi
 
Kiukweli Mbowe alipaswa kuandamana na Tundu Lissu kwenye kampeni za kitaifa za urais.

Utafiti wangu unaonesha kwa sasa Mbowe yuko Machame akifanya kampeni za ubunge kijiji kwa kijiji.

Ndipo sasa nauliza Mbowe kahama mjini na kurudi kijijini Machame?

Maendeleo hayana vyama!
sasa kada gani hujui hata sheria za NEC, CCM mbona mnakuwa vilaza hivi tutawaelimisha hadi lini mnatupa tabu sana kufundisha vilaza
 
Kiukweli Mbowe alipaswa kuandamana na Tundu Lissu kwenye kampeni za kitaifa za urais.

Utafiti wangu unaonesha kwa sasa Mbowe yuko Machame akifanya kampeni za ubunge kijiji kwa kijiji.

Ndipo sasa nauliza Mbowe kahama mjini na kurudi kijijini Machame?

Maendeleo hayana vyama!
Chadema wana Team imara na madhubuti ya kampeni. Hakuna Katibu Mkuu hakuna mwenyekiti kwenye Tume ya Kampeni ila CCM wanahemea mashine dadeki.

Huwezi muona Mbowe kwenye Team ya kampeni ya Lissu maana Team imeshajitosheleza
 
Kiukweli Mbowe alipaswa kuandamana na Tundu Lissu kwenye kampeni za kitaifa za urais.

Utafiti wangu unaonesha kwa sasa Mbowe yuko Machame akifanya kampeni za ubunge kijiji kwa kijiji.

Ndipo sasa nauliza Mbowe kahama mjini na kurudi kijijini Machame?

Maendeleo hayana vyama!
Hai ndo kwao,unaposema amehamia sijui unamaanisha nini
 
Lissu ni mwamba mwenyew tu anatosha c unaona mnavyoweweseka bwashee???
Kiukweli Mbowe alipaswa kuandamana na Tundu Lissu kwenye kampeni za kitaifa za urais.

Utafiti wangu unaonesha kwa sasa Mbowe yuko Machame akifanya kampeni za ubunge kijiji kwa kijiji.

Ndipo sasa nauliza Mbowe kahama mjini na kurudi kijijini Machame?

Maendeleo hayana vyama!
 
Kiukweli Mbowe alipaswa kuandamana na Tundu Lissu kwenye kampeni za kitaifa za urais.

Utafiti wangu unaonesha kwa sasa Mbowe yuko Machame akifanya kampeni za ubunge kijiji kwa kijiji.

Ndipo sasa nauliza Mbowe kahama mjini na kurudi kijijini Machame?

Maendeleo hayana vyama!
Inakuhusu nini wewe? Badala uulizie habari za mgombea wako Jah people?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiukweli Mbowe alipaswa kuandamana na Tundu Lissu kwenye kampeni za kitaifa za urais.

Utafiti wangu unaonesha kwa sasa Mbowe yuko Machame akifanya kampeni za ubunge kijiji kwa kijiji.

Ndipo sasa nauliza Mbowe kahama mjini na kurudi kijijini Machame?

Maendeleo hayana vyama!
Yanakuhusuje? Kule ni kwao na ni mgombea wao, wewe ni Nani Hadi umpangie aandamane na Lissu?
Fanya hivi mtani, mshauri mgombea wako aache kueneza ubaguzi!
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom