Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mwenyekiti wa Umoja wa vijana wa chama cha Mapinduzi UVCCM Mkoa wa Geita Manjale Magambo amewaasa Viongozi wa Chama na Serikali kuendelea kuyasemea mazuri ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ikiwemo...
0 Reactions
3 Replies
398 Views
Vilio vimetawala kwenye mkutano wa CHADEMA Kyela Mjini kukamatwa kwa Tundu Lissu kwageuka Simanzi kwa wanachama.
4 Reactions
10 Replies
828 Views
Ndugu zangu Watanzania, Sote tumeyasikia maneno na kauli za Waziri wa Elimu Mheshimiwa Profesa Adolph Mkenda akilalamika kuwa alizungushwa kupata nafasi ya kuonana na Mheshimiwa Rais wetu Mpendwa...
8 Reactions
321 Replies
12K Views
Wakuu huu ndio wasifu wa Tundu Lissu kwa mujibu wa bbc swahili.
4 Reactions
13 Replies
908 Views
Kiongozi wa ACT Wazalendo, Dorothy Semu akieleza namna chama hicho kinavyosimama pamoja na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu anayekabiliwa na mashtaka...
4 Reactions
4 Replies
463 Views
Heche akamjibu, kama unataka kutuelekeza kitu gan Cha kusema, Jiunge CHADEMA, uwe Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama , https://youtu.be/AjPXZwgFDjI?si=GMDzGrR72Oy73PMu
18 Reactions
34 Replies
2K Views
Kwa sheria za Tanzania Mtu binafsi ndiye anagombea uongozi iwe urais, ubunge, udiwani nk na chama cha siasa kinamdhamini tu Tume ya uchaguzi inashughulika na Wagombea wenye sifa za kugombea na...
6 Reactions
32 Replies
1K Views
Kwenye vituo vya kujiandikisha wapiga kura chadema sio wengi, wanasema hawana uhakakika kama chama chao kitashiriki uchaguzi maana hakuna reform yoyote wanaiona ikifanywa na serikali. Wajumbe wa...
0 Reactions
4 Replies
776 Views
Kamanda lissu anawapambania watanzania kuondosha utawala mbovu na genge lao lakini naona anajisumbua tu kwa sababu hiyo vita ili aweze kushinda anahitaji watu ,hawezi kushinda peke yake. Kwa...
6 Reactions
51 Replies
2K Views
Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) anayehusika na Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla, amewataka Watanzania kupuuza madai ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
1 Reactions
84 Replies
4K Views
Dr Miguna miguna President @Suluhu Samia has charged CHADEMA leader, @TunduALissu—her main opponent—with treason, over CIVIL DISOBEDIENCE calls of #NoReformsNoElection. This is the kind of...
12 Reactions
11 Replies
864 Views
Hii nchi tunavyoishi ni kama vile hakuna mabadiriko!, hata kama yapo basi yanaenda kama kobe kitu ambacho si halali!. Pesa serikalini zinapigwa lakini bado kuna watu mnaishangilia serikali...
29 Reactions
88 Replies
3K Views
Wandugu mwenye taarifa aliko Lema atujuze maana tangu Lisu akamatwe alionekana kesho yake na baada ya hapo kimyaa ingawa operation no reform ikiwa inaendelea
2 Reactions
31 Replies
2K Views
Ndoto za vijana wengi walio CHADEMA zinazikwa na Lissu. Lissu ana uhakika kwamba hawezi kushinda U-Rais. Wenzake wana uhakika wa kupambania ubunge na udiwani na hata kushinda. Kwa kuwa anajua...
13 Reactions
69 Replies
2K Views
Ukikusanya haya majinga manane(8) ya Afrika Mashariki ●Tanzania ●Kenya ●Uganda ●Rwanda ●Burundi ●Somalia ●D.R.C ●South Sudan Yote kwa pamoja hayafikii GDP ya kanchi kadogo kabisa ka Singapore...
32 Reactions
104 Replies
4K Views
KISANGA,JA, RAMADHANI, JA, And LUGAKINGIRA, -J.A.) We have to be clear in our minds what treason is. What does it entail generally: against who can it be carried and by whom"-:' The Concise...
17 Reactions
226 Replies
12K Views
Salaam wakuu, Nimetafakari sana na kuona tangu kundi la G55 kuibuka ndani ya chadema, mijadala mingi ilianza kuhoji uwepo wa jambo hili ndani ya CHADEMA, Sasa tangu kukamatwa kwa TAL upepo...
15 Reactions
29 Replies
2K Views
Kwa mara ya kwanza katika historia ya hivi karibuni, Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kimetoa tamko kali na lisilo na kificho dhidi ya vyombo vya dola kufuatia kukamatwa kwa Wakili na...
11 Reactions
58 Replies
3K Views
Nimefuatilia sana kwanini baadhi ya wananchi wakiwemo viongozi wa dini wanapendwa sana na wananchi, kwa mfano Askofu Bagona anayefanana kichwa na msanii Mwijaku amekuwa akiisema sana vibaya...
0 Reactions
4 Replies
469 Views
Yaani watu wa kawaida tu bungeni wanafanya kazi nzuri kwenye majimbo yao, wanafanya kazi nzuri wanapopewa dhamani serikali kuu, wanahamishwa kutoka wizara moja kwenda nyingine, huku wasomi na...
2 Reactions
23 Replies
856 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…