Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 4,085
- 12,982
Wakuu huu ndio wasifu wa Tundu Lissu kwa mujibu wa bbc swahili.
Kwanza unajua maana ya bbc?BBC swahili ni ya waswahili wa uswahilini
Wanasikiliza waswahili tena wachache sana
Mimi mwenyewe huwa sisikilizi BBC swahili
Tundu Lisu ni jamaa moja mbishi sana na mwenye maneno mengi lakini vitendo ni zero, ni mchoyo, mbinafsi na mwenye tamaa sana, hasa ya pesa na madaraka.
Jina lisikutishe, studio zao ziko dar na Nairobi. Hakuna hata mmoja aliyeopo uingereza. Wanafadhiliwa tuu. Enzi za Kikeke ndo walikuwa wanatangaza toka London.Kwanza unajua maana ya bbc?
Umeelewa swali?Jina lisikutishe, studio zao ziko dar na Nairobi. Hakuna hata mmoja aliyeopo uingereza. Wanafadhiliwa tuu. Enzi za Kikeke ndo walikuwa wanatangaza toka London.
Tupe maana mkuuKwanza unajua maana ya bbc?
Just because husikiliz ww hamaanish wengine hawasikilizi, save us your foolishness plsBBC swahili ni ya waswahili wa uswahilini
Wanasikiliza waswahili tena wachache sana
Mimi mwenyewe huwa sisikilizi BBC swahili
Ad hominem 🤣🤣Tundu Lisu ni jamaa moja mbishi sana na mwenye maneno mengi lakini vitendo ni zero, ni mchoyo, mbinafsi na mwenye tamaa sana, hasa ya pesa na madaraka.
Haaminiki na anapenda sana kusaidiwa pesa kana kwamba hajiwezi,
ana tabia ya kurudia rudia kuomba omba kuchangiwa pesa za pocket money mara kwa mara baada ya kufuja za awali kwa kunywa sana whisky na nyama choma kwa wingi.
Ni muoga kichizi. Anatembea na tiketi ya ndege mfukoni ili ikitokea patashika nguo kuchanika mara moja akwee pipa na kutokomea moja kwa moja ughaibuni yalipo makazi yake ya kudumu na ilipo familia yake.
Ni mtu asie na maono wala mipango ya kisiasa bali anategemea zaidi huruma za wananchi kulingana na hali halisi aliyonayo. Ni mtu wa kudeka sana.
Ameandika historia ya kipekee sana Tanazania hususani kwenye masuala ya uongozi. Kwa mfano, aliwahi kuizamisha TLS, na sasa ameizamisha kwenye shimo la kisiasa la sahau chadema.
Huyo ndio Tundu Lisu anaefahamika nchini Tanazania 🐒
zingatia maelezo hayo muhimu sana,Ad hominem 🤣🤣
HUMFAHAMU TAL NYAMAZA WW O BRAINTundu Lisu ni jamaa moja mbishi sana na mwenye maneno mengi lakini vitendo ni zero, ni mchoyo, mbinafsi na mwenye tamaa sana, hasa ya pesa na madaraka.