PreGE2025 Ahsante polisi kwa kumkamata Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

uchumi2018

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2018
Posts
2,087
Reaction score
2,994
Salaam wakuu,

Nimetafakari sana na kuona tangu kundi la G55 kuibuka ndani ya chadema, mijadala mingi ilianza kuhoji uwepo wa jambo hili ndani ya CHADEMA,

Sasa tangu kukamatwa kwa TAL upepo umegeuka,kila sehemu ni hoja na maswali ya kwanini
Lissu amekamatwa na jibu wanalopewa ni kuanzishwa kwa ''NO REFORMS,NO ELECTION''

Kwa hiyo slogan hii inasambaa kwa kasi nchi nzima kuliko asingekamatwa.
 
Salaam wakuu,
Nimetafakari sana na kuona tangu kundi la G55 kuibuka ndani ya chadema,
mijadala mingi ilianza kuhoji uwepo wa jambo hili ndani ya CDM,

Lisu amekamatwa na jibu wanalopewa ni kuanzishwa kwa ''NO REFORMS,NO ELECTION''

Sio kweli, kinachosemwa na habari zilizoenea ni Lissu ameshtakiwa kwa kwa KUSAMBAZA TAARIFA ZA UONGO na UHAINI.
 
Attachments

  • 6026553-bf15b8f6f927c72fa16d6bb328a5e41f.mp4
    14.1 MB
Salaam wakuu,
Nimetafakari sana na kuona tangu kundi la G55 kuibuka ndani ya chadema,
mijadala mingi ilianza kuhoji uwepo wa jambo hili ndani ya CDM,

Sasa tangu kukamatwa kwa TAL upepo umegeuka,kila sehemu ni hoja na maswali ya kwanini
Lisu amekamatwa na jibu wanalopewa ni kuanzishwa kwa ''NO REFORMS,NO ELECTION''
Kwa hiyo slogan hii inasambaa kwa kasi nchi nzima kuliko asingekamatwa.
Pale inapozima moto kwa kumwagia petroli ndio hivi
 
Salaam wakuu,
Nimetafakari sana na kuona tangu kundi la G55 kuibuka ndani ya chadema,
mijadala mingi ilianza kuhoji uwepo wa jambo hili ndani ya CDM,

Sasa tangu kukamatwa kwa TAL upepo umegeuka,kila sehemu ni hoja na maswali ya kwanini
Lisu amekamatwa na jibu wanalopewa ni kuanzishwa kwa ''NO REFORMS,NO ELECTION''
Kwa hiyo slogan hii inasambaa kwa kasi nchi nzima kuliko asingekamatwa.
Police wameisaidia hii kampeni kwa kiwango cha juu sana,
 
Polisi wa hii nchi wanatumiwa vibaya sana na watawala. Binafsi siwezi kufanya kazi inayonigeuza kuwa mbwa na binadamu mwenzangu.
 
Makalai atoke kuthibitisha Chadema kusambaza Yale magonjwa aliyoyataja bila hivyo anatakiwa kuwa nyuma ya Nondo.
 
Sio kweli, kinachosemwa na habari zilizoenea ni Lissu ameshtakiwa kwa kwa KUSAMBAZA TAARIFA ZA UONGO na UHAINI.
Je,ni kweli kasambaza uongo na uhaini?
na hapo ndipo mijadala inapoibuka.
 
Salaam wakuu,

Nimetafakari sana na kuona tangu kundi la G55 kuibuka ndani ya chadema, mijadala mingi ilianza kuhoji uwepo wa jambo hili ndani ya CHADEMA,

Sasa tangu kukamatwa kwa TAL upepo umegeuka,kila sehemu ni hoja na maswali ya kwanini
Lissu amekamatwa na jibu wanalopewa ni kuanzishwa kwa ''NO REFORMS,NO ELECTION''

Kwa hiyo slogan hii inasambaa kwa kasi nchi nzima kuliko asingekamatwa.
Polisi imejaa failures tupu
 
Wale walioasi warejee kwenye mstari ili tupambane kudai HAKI kwa pamoja.
 
Back
Top Bottom