Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nauliza tu maana mwenyekiti aliyeshindwa uchaguzi mh Mbowe ni kana kwamba amekisusa chama Ikumbukwe Mbowe ndiye anahifadhi mafaili yote ya vikao vya maridhiano ya Chadema na CCM Ikumbukwe pia...
4 Reactions
19 Replies
830 Views
Kweli Mzee Mbowe alizungukwa na vijana wa hovyo, waliendekeza pombe na nyama choma. Waligawa vyeo kwa wadada kwa rushwa ya ngono. Walijua wazi Lissu akiingia biashara yao imeisha. Mbowe bado...
7 Reactions
6 Replies
567 Views
Hii ndio Taarifa Mpya kwa sasa kutoka kila mahali, Ni kwamba baada ya Mwenyekiti wa Chadema kukamatwa kwa Maagizo ya Viongozi wa Juu wa Tanzania, na kusingiziwa kesi ya Uongo ya Uhaini, Wananchi...
40 Reactions
84 Replies
4K Views
Wakuu Kumbe kisheria CHADEMA hawajazuiwa kushiriki uchaguzi Hakuna Sheria ya kuwazuia CHADEMA kushiriki Uchaguzi kisa kuto saini Kanuni za Maadili. Kisheria CHADEMA wamezuiwa kushiriki kampeni...
1 Reactions
3 Replies
591 Views
Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe, amesema Rais Samia anatarajiwa kuzindua rasmi Benki ya Ushirika Tanzania tarehe 28 Aprili 2025. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi...
1 Reactions
2 Replies
464 Views
Wakuu, Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika kongamano la wafugaji nchini litakalofanyika kitaifa mkoani Simiyu mwezi ujao. Mwenyekiti wa Chama Cha Wafugaji Tanzania...
0 Reactions
2 Replies
470 Views
KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, amemtaka Rais Jakaya Kikwete kuwa makini na kuchukua hatua za haraka kurejesha amani kabla Watanzania hawajaishiwa...
5 Reactions
653 Replies
64K Views
Wakati joto la uchaguzi likianza kupamba moto, Mbunge wa Mbogwe, Nicodemus Maganga amewataka wasimamizi wa uchaguzi kutenda haki ili watoe matokeo sahihi bila kuongeza kura wala kupunguza. Mbunge...
5 Reactions
12 Replies
983 Views
Katika hatua ya kuimarisha maendeleo ya wanawake mkoani Kilimanjaro, Mbunge wa Viti Maalum wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ester Maleko, amekabidhi mashine 169 za kutotoleshea vifaranga vya kuku...
0 Reactions
0 Replies
266 Views
Wakuu, Akiwa anazungumza leo kwenye mkutano wa waandishi wa habari Mwanasheria mkuu wa CHADEMA Rugelemeza Nshala leo amekosoa uwepo wa takrima kwenye kipindi hiki cha Uchaguzi akitaja masuala...
6 Reactions
17 Replies
1K Views
Vijana wanaotafutaga teuzi bhana huwa wana miyeyusho sana Tlaatlaah njoo umchukue kaka ako === Mchambuzi wa Siasa na Uchumi Evance Kamenge akifanya mahojiano na kituo cha Star Tv kwenye kipindi...
1 Reactions
8 Replies
626 Views
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kati, Jackson Jingu, ameibua hoja nzito dhidi ya uongozi wa juu wa chama hicho, akidai kuwa Mwenyekiti wa Chama Taifa (bila kumtaja jina moja kwa moja)...
1 Reactions
5 Replies
372 Views
Kada wa chama cha demokrasia na maendeleo Hilda Newton kupitia ukurasa wake wa X ameandika kuwa Helbeth mlelwa akamatwa kwa kosa kurekodi video kukamatwa kwa Mwenyekiti Lissu. "Taarifa za hivi...
10 Reactions
35 Replies
3K Views
ZAIDI YA VIWANJA 7,550 VIMEPIMWA Katika kipindi cha mwezi Julai, 2024 hadi Februari, 2025, Programu ya Kupanga, Kupima na Kumilikisha ardhi imepima viwanja 7,550 katika Mikoa ya Morogoro, Tanga...
0 Reactions
0 Replies
231 Views
MV UKEREWE MBIONI KUKAMILIKA Serikali kupitia Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) inatekeleza mradi wa ujenzi wa vivuko vipya 6. Moja ya Vivuko hivyo ni Kivuko MV. UKEREWE ambacho...
0 Reactions
0 Replies
246 Views
MWL. MBELWA AIKACHA CHADEMA, APOKELEWA NA MAKAMU MWENYEKITI WA CCM TAIFA WASIRA! Na Grace Mpondwe. Katika hali isiyotarajiwa leo Machi 25, 2025 aliyekuwa mgombea wa kiti cha ubunge jimbo la...
0 Reactions
5 Replies
727 Views
WASIRA AYAMALIZA NA MBELWA PETRO WA CHADEMA ZIARA YAKE YA KWANZA MKOANI KAGERA Na Grace Mpondwe. Katika hali isiyotarajiwa leo Machi 25, 2025 aliyekuwa mgombea wa kiti cha ubunge jimbo la...
0 Reactions
0 Replies
349 Views
Akizungumza katika uzinduzi wa kampeni ya msaada wa Kisheria ya Mama Samia mkoani Kagera, Waziri wa sheria Dkt. Damas Ndumbaro amewata viongozi kuwa watatuzi wa migogoro na siyo kuwa vyanzo vya...
0 Reactions
1 Replies
310 Views
Tufahamishane kwamba, ni kweli takribani nusu ya wanafunzi wa SUA wameshindwa kuhitimu ktk mahafali ya mwezi Novemba 2023 kama ilivyo kawaida ya miaka yote, na wanatakiwa kurudia mitihani baada ya...
5 Reactions
21 Replies
3K Views
Tabia ya Katibu Kata wa CCM Kata ya Nyalikungu,wilaya ya Maswa,Charles Kahema anatakiwa ashughulikiwe na uongozi wa CCM wilaya kwa tabia zake za kuwatukana matusi na kuwadhalilisha viongozi...
1 Reactions
2 Replies
369 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…