Kwenye ukurasa wake wa X msemaji wa Chadema Brenda Rupia ameandika,
#OperesheniKatibaMpyaFreeTunduLissu inaendelea leo katika Kanda ya Magharibi, Mkoa wa Tabora.
Wananchi, endeleeni kukichangia...
Kwa Mujibu wa Katiba ya Tanzania, Maandamano ya Amani ni Haki kisheria
Baada ya vijana wa Tanzania kuisoma Katiba ya Nchi yao kwa kutumia miwani na kuiona Ibara husika wameanza kuulizia Ratiba...
Wanabodi,
Hiki ni kisa cha kweli, yaani non fiction, ila majina tuu ndio nimetumia majina bandia cha Kisa cha Binti Zanzi Aliebakwa na Mwarabu fulani, Mwarabu akamtwa kama mtumwa, kuwa ni mali...
Nashangaa kuona wafuasi wa chadema wanatumia mikutano Yao kujifariji kuwa wanakubalika🤣🤣
Hebu pokeeni ukweli huu.
chadema hamtakaa mshinde uchaguzi hilo msahau
hao watu siyo wapiga KURA wenu...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimedai kuwepo kwa vitendo vya ukatili wa kijinsia mkoani Katavi, kikituhumu baadhi ya askari polisi kutumia vibaya mamlaka yao kwa kuwafanyia wanawake...
Serikali inajua na Katambi anajua kuwa, moja ya sababu iliyopelekea kujadiliwa na mabunge haya ni pamoja na kuwanyima wananchi na vyama vya siasa uhuru na haki ya kukusanyika na kutoa mawazo yao...
YAH: UHAMISHO NA UTEUZI WA VIONGOZI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uhamisho na uteuzi wa viongozi. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu...
Serikali ya Raisi Samia imefika mahali inafikiri kwamba inaweza kuamua jambo lote lile kufanyika hapa nchini, hata kama kufanya hivyo ni kupingana na katiba ya nchi. Serikali hii imefanya maamuzi...
Taarifa ikufikie popote ulipo, kwamba tayari Ile Oparesheni Kabambe ya Free Lissu na Katiba mpya imegusa Mpanda n.a. kuacha maumivu
Viongozi wa ccm wa eneo Hilo wamekimbilia maporini kujificha...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uhamisho na uteuzi wa viongozi. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses...
Ukisoma komenti zinazotolewa kwenye nyuzi zinazohusu mikutano ya chadema utaona kuna wanaccm sijui akili zimekuwaje. badala ya kufikiri tufanyeje ili kuiponya CCM na anguko kubwa tunabaki...
Hamjambo ndugu
Waziri wa Maji Jumaa Aweso amesema Tanzania ina Vijiji 12,333 na mpaka sasa Vijiji 10,758 vina maji na Vijiji vilivyobakia ni 1,575.
Ameyasema hayo leo Januari 28, 2026 wakati...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI) Mhe. Prof. Riziki Shemdoe amemshukuru Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuwapatia wananchi wa Wilaya...
Wafanya biashara wameachana kabisa na utaratibu wa kutoa risiti za kielectronic badala yake wanafosi tuuziane kienyeji niliuliza kwa nini na itakuwaje mimi nikakamatwa na hii bidhaa wananiambia...
Wakuu;
Ukitoa lile la Maraidhiano ambalo Serikali na CCM wameamua kulibeba na kutumia chawa na kupe wao kusambaza, haya ni mambo mengine manne ambayo wakiyafanya na baada ya Marekani...
Mange Kimambi amelaumu CHADEMA kuwa ni waoga na kwa kuwa haihusiki Moja kwa Moja na maandamano ya 7/7 wiki 2 au 3 toka sasa yanayohamasishwa kwa kasi sana kupitia social medias mbalimbali...
Kwa wale wapenda nchi na haki naomba tujadili jinsi ya kufanikisha maandamano ya 7/7. Ishu za kuwaongelea hao viongozi fake ni kupoteza muelekeo kabisa. Na wanataka kututoa katika reli. Tuanze...
Umewahi kujiuliza kwanini miradi mingi mtaani kwetukama barabara, ujenzi wa madarasa, au usambazaji wa umeme na maji inachelewa sana, alafu kiongozi aliyefeli anahamishwa tu kituo cha kazi badala...
Wote tunajua ugumu wa maisha unayoikumba Kenya hasa kwa Mwananchi asiye na ajira yyte. Ni vema viongozi wa chadema wakatoa ufafanuzi wa nani anafadhiri maisha ya viongozi wao ambao walikimbilia...