"Mwenyekiti wa Chama Taifa, anazungukwa na genge la watu wasiokuwa na uwezo. Nao wakimpelekea ushauri kama yaliyotokea kwenye uchaguzi, wanampelekea ushauri mfukuze fulani. Na yeye anakubali kwa...
Mwanasheria Mkuu wa Chadema, Dk Rumeleza Nshala
Baada ya kukwepa kwenda kutia saini kanuni za maadili ya uchaguzi Aprili 12, 2025 jijini Dodoma, Chama hicho sasa kinasema haki ya kutia saini...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa Balozi Mahmoud Thabit Kombo, alifanya mazungumzo ya kina na Katibu Mkuu wa Shirika la Forodha Duniani (WCO), Dkt. Kunio...
Katika ulimwengu wa sayansi na technologia ni vigumu kuepuka assassination attempt. Ata US secrets service waliomlinda Trump walizidiwa.
Siasa chafu, kubambikiana ma kesi kunajenga chuki sana...
Kinachomuangusha Tundu Lissu leo ni genge la wanafiki waliomzunguka na kumdanganya kwa muda mrefu kuwa ana nguvu, ushawishi, na uwezo wa kufanya yasiyowezekana. Hili ndilo genge ambalo lilimweleza...
Anaandika Mwl. Mbelwa Petro.
ALIYOYAFANYA DAKTA SAMIA SULUHU NA MBUNGE EZRA JOHN KWA AJILI YA BIHARAMULO NA TANZANIA, ACHA SIASA IWE UPENDO.
Tangu serikali ya awamu ya sita chini Rais Dakta Mama...
Nauliza tu maana mwenyekiti aliyeshindwa uchaguzi mh Mbowe ni kana kwamba amekisusa chama
Ikumbukwe Mbowe ndiye anahifadhi mafaili yote ya vikao vya maridhiano ya Chadema na CCM
Ikumbukwe pia...
Kweli Mzee Mbowe alizungukwa na vijana wa hovyo, waliendekeza pombe na nyama choma. Waligawa vyeo kwa wadada kwa rushwa ya ngono. Walijua wazi Lissu akiingia biashara yao imeisha. Mbowe bado...
Hii ndio Taarifa Mpya kwa sasa kutoka kila mahali, Ni kwamba baada ya Mwenyekiti wa Chadema kukamatwa kwa Maagizo ya Viongozi wa Juu wa Tanzania, na kusingiziwa kesi ya Uongo ya Uhaini, Wananchi...
Wakuu
Kumbe kisheria CHADEMA hawajazuiwa kushiriki uchaguzi
Hakuna Sheria ya kuwazuia CHADEMA kushiriki Uchaguzi kisa kuto saini Kanuni za Maadili. Kisheria CHADEMA wamezuiwa kushiriki kampeni...
Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe, amesema Rais Samia anatarajiwa kuzindua rasmi Benki ya Ushirika Tanzania tarehe 28 Aprili 2025.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi...
Wakuu,
Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika kongamano la wafugaji nchini litakalofanyika kitaifa mkoani Simiyu mwezi ujao.
Mwenyekiti wa Chama Cha Wafugaji Tanzania...
KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, amemtaka Rais Jakaya Kikwete kuwa makini na kuchukua hatua za haraka kurejesha amani kabla Watanzania hawajaishiwa...
Wakati joto la uchaguzi likianza kupamba moto, Mbunge wa Mbogwe, Nicodemus Maganga amewataka wasimamizi wa uchaguzi kutenda haki ili watoe matokeo sahihi bila kuongeza kura wala kupunguza.
Mbunge...
Katika hatua ya kuimarisha maendeleo ya wanawake mkoani Kilimanjaro, Mbunge wa Viti Maalum wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ester Maleko, amekabidhi mashine 169 za kutotoleshea vifaranga vya kuku...
Wakuu,
Akiwa anazungumza leo kwenye mkutano wa waandishi wa habari Mwanasheria mkuu wa CHADEMA Rugelemeza Nshala leo amekosoa uwepo wa takrima kwenye kipindi hiki cha Uchaguzi akitaja masuala...
Vijana wanaotafutaga teuzi bhana huwa wana miyeyusho sana Tlaatlaah njoo umchukue kaka ako
===
Mchambuzi wa Siasa na Uchumi Evance Kamenge akifanya mahojiano na kituo cha Star Tv kwenye kipindi...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kati, Jackson Jingu, ameibua hoja nzito dhidi ya uongozi wa juu wa chama hicho, akidai kuwa Mwenyekiti wa Chama Taifa (bila kumtaja jina moja kwa moja)...
Kada wa chama cha demokrasia na maendeleo Hilda Newton kupitia ukurasa wake wa X ameandika kuwa Helbeth mlelwa akamatwa kwa kosa kurekodi video kukamatwa kwa Mwenyekiti Lissu.
"Taarifa za hivi...
ZAIDI YA VIWANJA 7,550 VIMEPIMWA
Katika kipindi cha mwezi Julai, 2024 hadi Februari, 2025, Programu ya Kupanga, Kupima na Kumilikisha ardhi imepima viwanja 7,550 katika Mikoa ya Morogoro, Tanga...