Mkutano wa 19 wa Bunge la 12 unaendelea leo Aprili 17, 2025 bungeni Jijini Dodoma ambapo hotuba ya bajeti ya Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kwa mwaka wa fedha...
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Deogratius Ndejembi amemwelekeza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma kuchukua hatua za haraka za kuvunja nyumba iliyojengwa kimakosa...
Imeelezwa kuwa dereva wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), Muhajiri Haule, aliyepoteza maisha katika ajali ya gari iliyosababisha pia kifo cha Mkurugenzi Mtendaji wa shirika hilo, Gissima...
Salaam,
Rais Samia anazidi kutrend kimataifa, suala la Lissu limezidi kutrend na kumuweka kwenye spot Rais Samia. Sasa anaanza kufafanishwa na kina Museveni na Kagame. Kwenye hiyo video...
Wizara ya TAMISEMI imesema kupitia ubia kati ya Serikali na Sekta binafsi (PPP) imefanikisha hatua ya kihistoria ya kusaini mikataba na watoa huduma watatu wa uendeshaji wa awamu ya pili ya mabasi...
Ukitafakari vizuri, utaona CHADEMA Iko kwenye mtanziko mwingine.
Tume ya Uchaguzi (INEC), imeshafanya maamuzi kuwa CHADEMA hakitaruhusiwa kushiriki uchaguzi wa mwaka huu na chaguzi ndogo zake...
Heka heka na vimbwanga vinazidi kupamba moto, mpaka uchaguzi ufike tutaona mengi! Eti wanarudisha fadhila kwa yale Rais Samia amefanyia nchi! Kwa hali ngumu ya maisha na wizi unaoendelea...
My Take
Serikali endeleeni kukopa Ili kuifungua Nchi kimaendelea.
Bila mtaji hakuna kutoboka,tutaishia kuorodhesha Mali tulizonazo tuu ila hazitusaidii (Circle of Poverty).
---
Mkurugenzi...
Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Bara, Amani Golugwa amesema msimamo wa chama hicho kutosaini kanuni za uchaguzi Mkuu 2025, wanajiona wako sawa huku akikisisitiza...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amekutana na kufanya mazungumzo na Muadhama Kadinali Protase Rugambwa katika Jimbo Kuu Katoliki la Tabora.
Wasira...
WAZIRI Rajab Salum ameendelea kutekeleza kwa uaminifu maelekezo ya Rais Samia Suluhu Hassan ya kupambana na ufisadi na uhujumu uchumi, licha ya kuwepo kwa mashambulizi ya uzushi na propaganda...
Jambo ambalo nashindwa fahamu aliyetoa ushauri njia ya mwendo kasi kuzuiwa kupita hadi magari madogo kuanzia mbagala hadi bendera tatu.
Njia hii inawakazi wengi na wapo ambao wanaenda tafuta...
Mashindano ya kutafuta Malkia wa Nguvu Duniani. Yatafanyika Sydney, Australia tarehe 29/03/2025. Katika ukumbi wa Sydney International Convention and Exhibition Centre. Tuwape support.
***Kwa...
Nimejaribu kufuatilia harakati za Mwenyekiti Tundu Lissu na kugundua ambalo wengi hawalioni, kila ajiingizapo hashindwi na mwishoni anafanikiwa.
Mifano:
1. 2010 alipogombea ubunge Rais Kikwete...
Kitendo cha TAL kututetea na sisi kuendelea kulala majumbani kwetu inaonesha kuwa SISI sote ni wapumbavu na wajinga sana. Niliwaona Mababu zetu wajinga/wapumbavu kwa kitendo chao cha kumwogopa...
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Stephen Wasira amesema Chama cha Demokrasia na Maendeleo hakina hoja ya msingi ya kuzuia Uchaguzi Mkuu mwaka huu kwani kama ni mabadiliko...
Nchi hii kwa Sasa inaongozwa na genge la mafisadi
Hawaoni hatari kufanya chochote kwa mtu yeyote ili kulinda wizi na ufisadi wao!!
Wanachi tuamke Tuseme enough is enough bring our country back...
Mbunge wa Geita Vijijini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Joseph Kasheku ‘Musukuma’ amesema kwa niaba ya Wabunge wa CCM, hawana hofu na vyama vya upinzani na kwamba wako tayari kukutana nao...
DR. IRENE C. ISAKA, DG WA NHIF
Hadi mwishoni mwa mwaka 2021 ni 15% ya Watanzania walikuwa wanapokea huduma za tiba kwa njia ya bima ya afya.
Takwimu hizi zilijumuisha 8% kupitia taasisi ya NHIF...