Nimepoteza shauku ya kupiga kura

Nimepoteza shauku ya kupiga kura

GoldDhahabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2023
Posts
7,645
Reaction score
10,865
Mara yangu ya mwisho kupiga kura ilikuwa mwaka 2019, wakati wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Mwaka 2020 sikupiga. Haukuwa na mvuto kwangu.

Mwaka huu naona changamoto ya mwaka 2020 inaninyemelea. Huenda nisipige kura.

Na, kwa kuwa kupiga kura ni haki yangu, naamini na kutokupiga nako pia ni haki yangu.

Ikitokea sijapiga naomba nisilaumiwe.
 
Hivi mazingira kama haya unapigaje kura?!

Mara yangu ya mwisho kupiga kura ilikuwa mwaka 2019, wakati wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Mwaka 2020 sikupiga. Haukuwa na mvuto kwangu.

Mwaka huu naona changamoto ya mwaka 2020 inaninyemelea. Huenda nisipige kura.

Na, kwa kuwa kupiga kura ni haki yangu, naamini na kutokupiga nako pia ni haki yangu.

Ikitokea sijapiga naomba nisilaumiwe.
Kachume fimbo tuje tumchape ccm
 
Kupiga kura ni haki yangu ya kikatiba. Hata nikipiga kura ya maruhani bado nitakuwa nimetumia haki yangu ya kikatiba.
 
niko na jamaa zangu wa chadema wanasema mama mitano tena unaambiwa wamechoshwa na mtifuano ndani ya chama wameamua liwalo na liwe awamu hii wamekubali wameteleza kila angle
 
cha kushangaza hata ccm wangebaki wenyewe bado wataiba kura tu.
usishangae ukasikia kuna mbunge wa chama cha NRA hapo November 2025.
nakumbuka kipindi cha lile chizi baada ya kuiba kura weweee akaamua apatikane chadema mmoja toka NKASI na baadae COVD 19 Huku Ndugai akijigamba kuwalinda na kuwatetea. khaa yaani ndugai aliyekuwa anawatukana na kuwabeza kina mdee ghafla ana watetea na kuaapa kuwalinda?
mungu fundi nyie sasa ndugai yupo wapi? JPM yupo wapi? kipilimba yupo wapi? DIWANI yupo wapi, SIRO JE?
 
Back
Top Bottom