PreGE2025 Ansbert Ngurumo: Mwachieni Tundu Lissu, mtaaibika tena.......!!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

The Palm Beach

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2015
Posts
4,218
Reaction score
11,500

View: https://youtu.be/ndX_mdsDQgE?si=LMefkXNTILIuR2qg
➡️ Mwachieni Tundu Lissu maana hamtapata uhaini wowote katika maneno ya Tundu Lissu...!

➡️Tundu Lissu ni mwanasiasa, mpinzani wa serikali na lugha anayotumia kuikosoa serikali ndiyo lugha yake toka awamu ya 3 ya Mkapa, ya 4 Kikwete na ya 5 ya Magufuli na Samia....

➡️Na tujiulize, katika awamu zote hizi wamemkamata na kumfungulia mashitaka ya namna hii mara ngapi huyu Tundu Lissu? Ni mara nyingi, au siyo? Walimkuta na hatia yoyote mara zote hizo ktk maneno yake? Jibu, ni hakuna..!

➡️ Tundu Lissu anaongoza harakati za kupinga taratibu za mifumo ya chaguzi za Tanzania kwa sababu wao wanaona si mifumo ya haki, wazi, na kuaminika. Na CCM na serikali obviously hawajashikwa miguu kuendelea kutumia mifumo hiyo hiyo kuendelea na taratibu za uchaguzi. Sasa CCM na serikali wanaogopa nini? Maneno?
 
Ccm na kundi lake ( sio dola) wataumbuka tena.
 
Unaongea ukiwa wapi Mzee?Canada au Kenya?
 
Huyu mkimbizi mwambie aendelee kubeba maboksi huko Ulaya
 
Hii kesi ,ni derby(dabi) inatakiwa ipigwe uwanja wa mkapa maarufuu

Lupaso ,mahakamani tu hapatatosha
 
chadema msicheze na akili za watanzania wanyonge

anazungumza TL anazungumza yenye hamasa,yenye afya kwa jamii?siasa za maneno ya chuki maneno ya hamasa ya uhaini na achwe aisambaze sumu kwa taifa
 
Utajua hujui, hata buibui hataingia mahakamani, ni watu select tu, utabondwa huo mdomo uvimbe kama mimba ya panya
Kwani we nani uzuie watu kutumia haki yao ya kikatiba?
Hivi kwa nini ukiwa tu ccm unakuwa mpumbafu hivo?
 
1. Yanga kasema hachezi tena derby endapo itarudiwa hata kama ni kwa gharama ya kushushwa daraja.

2. Na chadema inasema itazuia uchaguzi endapo mifumo haitabadilishwa hata kama ni kwa gharama ya chama kufifia.

Mambo haya mawili yatafanikiwa???
 
Tunavyowalaumu wakoloni sasa waliotutawala huko nyuma....
Na point zetu kwenye essay..."Banning of political parties.....prisoning of African leaders....ila tuliosoma history tutupwe Mto Kagera
 
View: https://youtu.be/ndX_mdsDQgE?si=LMefkXNTILIuR2qg
➡️ Mwachieni Tundu Lissu maana hamtapata uhaini wowote katika maneno ya Tundu Lissu...!

➡️Tundu Lissu ni mwanasiasa, mpinzani wa serikali na lugha anayotumia kuikosoa serikali ndiyo lugha yake toka awamu ya 3 ya Mkapa, ya 4 Kikwete na ya 5 ya Magufuli na Samia....

➡️Na tujiulize, katika awamu zote hizi wamemkamata na kumfungulia mashitaka ya namna hii mara ngapi huyu Tundu Lissu? Ni mara nyingi, au siyo? Walimkuta na hatia yoyote mara zote hizo ktk maneno yake? Jibu, ni hakuna..!

➡️ Tundu Lissu anaongoza harakati za kupinga taratibu za mifumo ya chaguzi za Tanzania kwa sababu wao wanaona si mifumo ya haki, wazi, na kuaminika. Na CCM na serikali obviously hawajashikwa miguu kuendelea kutumia mifumo hiyo hiyo kuendelea na taratibu za uchaguzi. Sasa CCM na serikali wanaogopa nini? Maneno?

Hebu tuwaulize wenzetu wa Kenya ambao wamepiga kitabu kuliko sisi "maneno ya Lissu yana uhaini?"angeitwa tu ili ajieleze alimaanisha nini!
 
Back
Top Bottom