Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

"CHADEMA wana harakati kama za mnyama pimbi, unawakuta juzi wanaimba NO HATE, NO FEAR!, jana wanaimba JOIN THE CHAIN!, leo wanaimba STRONGER TOGETHER!, kesho utawakuta wanaimba NO REFORM, NO...
2 Reactions
8 Replies
603 Views
RAIS Jakaya Kikwete amesema kuwa mtindo wa kufanya fujo na kusababisha uvunjifu wa amani kwa visingizio vya dini nchini ni biashara inayolipa na ndiyo maana wakereketwa wa kufanya hivyo hawaishi...
1 Reactions
42 Replies
5K Views
Mwenyezi Mungu, Muumba wa mbingu na dunia na vyote vilivyomo (vinavyoonekana na visivyoonekana), kama itakupendeza mtumie mwanao Dr. Mpango kuliokoa taifa letu. Umaskini wakutengenezwa unatuumiza...
1 Reactions
11 Replies
860 Views
Watanzania wanaofurahia madhila ya CHADEMA hawajui kwamba anayepoteza sio CHADEMA Wala Lissu ni watanzania kwani tunapokosa mtetezi mwenye nguvu kama CHADEMA basi ccm wanapata nafasi ya kufanya...
4 Reactions
5 Replies
377 Views
Katibu Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo Ado Shaibu amesema chama chao cha ACT Wazalendo kingekuwa kimefanya kosa la kimkakati ikiwa wangesusa kushiriki uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu, wakieleza...
2 Reactions
19 Replies
1K Views
Bungeni leo Aprili 14, 2025, Mbunge wa Momba (CCM), Condester Sichalwe amehoji kuhusu hatua za Serikali kudhibiti pombe kali zinazoingizwa nchini ambazo kwa kiasi kikubwa zinachangia kuharibu afya...
0 Reactions
3 Replies
464 Views
Ninaamini wengi wa wanachadema waliomchagua Lissu ndani ya chadema waliamini kulikuwa na matatizo yaliyohitaji REFORMS Sasa ukijiuliza hadi leo ndani ya CDM ni reforms zipi zimeanza kufanyika...
1 Reactions
26 Replies
937 Views
Twende mbele turudi nyuma, CHADEMA ndicho chama chenye kutengeneza ajenda kubwa za nchi kujadiliwa kitaifa. Mijadala mkubwa zaidi inayoendelea kwa sasa katika siasa ni kukamatwa kwa na...
2 Reactions
8 Replies
608 Views
Jamani naombeni kuuliza,kwa nini watu wengi wanaoishabikia CCM hawajui kujenga hoja zaidi ya kusifia? Mfano Dotto magari,Mwijaku na wengine wengi,yaani ukisikiliza wanachoongea hakina maana na...
2 Reactions
11 Replies
580 Views
Viongozi na wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mkoa wa Singida, wameangua kilio kwa kumwomba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Dkt. Samia Suluhu Hassan, atoe...
1 Reactions
3 Replies
384 Views
Kipindi Cha uchaguzi wa mwaka 2020 zilitolewa ahadi kede kede ikiwemo ujenzi wa "flyovers" Kwa junctions kama magomeni, Morocco, na mwenge. Hizi zingesaidia sana kupunguza foleni katika Jiji la...
0 Reactions
0 Replies
192 Views
•Nchi yetu ni salama, mipaka yetu ni salama chini ya uongozi wa Dr Samia Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), CPA Amos Makalla amesema kuwa...
0 Reactions
10 Replies
741 Views
Chama cha Mapinduzi hakifikirii kuiachia dola kwabsabu uwezo wa kuihudumia nchi wanao, Katibu wa Siasa , mafunzo na Uenezi wa CCM Mkoa wa Kilimanjaro, Abraham Urio, alipokuwa akizungumza na Banana...
0 Reactions
2 Replies
319 Views
Taarifa iliyosambazwa na Chama Hicho kote Duniani hii hapa. Mwanasheria Mkuu wa Chadema kuongea na Waandishi wa Habari kwenye Makao Makuu ya Chama Mikocheni
12 Reactions
64 Replies
4K Views
Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania (TAHLISO), Geofrey Kiliba, amewataka wanafunzi wa vyuo na vyuo vikuu nchini kupuuza wanasiasa wanaopandikiza chuki na kuhamasisha...
0 Reactions
5 Replies
510 Views
WAKULIMA wa Tumbaku Tabora wamepaza sauti zao kwa Rais Samia kumuondoa kwenye nafasi ya uwaziri wa Kilimo Mheshima Bashe kwani anamharibia sana kwa wananchi kutokana na kushindwa kuisimamia wizara...
0 Reactions
1 Replies
397 Views
Rais wa JMT Mh Samia Suluhu Hassan amesema hana wazo la kugombea urais katika uchaguzi mkuu wa 2025. Chanzo: Gazeti la CCM, Uhuru PIA, SOMA: CCM: Gazeti la Uhuru limepotosha; Rais Samia...
5 Reactions
400 Replies
30K Views
HOTUBA YA WAZIRI MKUU inajadiliwa Bungeni na mawaziri mbalimbali wanajibu hoja kwanini Dotto Biteko hapewi nafasi na Spika kujibu hoja za wabunge kama Naibu Waziri Mkuu? Nimefuatilia sana suala...
1 Reactions
1 Replies
372 Views
https://www.youtube.com/watch?v=ewCmyEF74AE
11 Reactions
42 Replies
2K Views
Watu wengi mumekuwa mkihusisha maana halisi ya maana ya mnara wa Babeli kama jinsi neno la Mungu linajieleza lenyewe lakini ikitazamia katika upande wa kiroho ukagusia sehemu ndogo tu ya siasa na...
0 Reactions
0 Replies
308 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…