Nazani hili halina ushahidi hata kidogo,kuanzia majumbani,makazini kwenye nyumba za Ibada habari ni Tundu Lissu,
Hata kwenye mitandao ya kijamii kuna watu wanapigisha kura jinsi CCM...
Wana CDM naombeni maoni yenu,nataka kuanzisha suala ya kikatiba chini ya mfumo wa kidemokrasia- msiniulize ni demokrasia gani ila mtapata majibu very soon kupitia taratibu za kisheria
Hoja ya...
Hakika kwa yanayoendelea naamini,toka amepigwa kwenye kura hakuwahi kuongelea Chadema wala kuhudhuria vikao,hata jana kwenda kumsalimu Lissu ni kujiosha tu nami nasema mtakuja kuamini msiyoamini...
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imemfungia kufanya kampeni Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA Tundu Lissu kwa siku saba kwa madai ya kukiuka maadili ya uchaguzi.
============
Leo tarehe 02...
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema bado kimeendelea kusisitiza kuhusu msimamo wake wa Jana Aprili 18, 2025 wa kulitaka Jeshi la Magereza na Vyombo vingine vya Dola kueleza kwa "haraka"...
Najua mko kwenye maandalizi ya kuitembelea wilaya ya Monduli,lakini kwa haya wanayofanyiwa wakaaji wa eneo la Mto wa Mbu (Kigongoni) si haki wala halal.
1. Watu wenu wanapewa maji kama msaada...
Habari za mwisho wa wiki wadau na kheri ya mwaka mpya.
Lakini kwanza nitie angalizo kwamba mie si mwanachama wa chama chochote bali ni mtaalam tu niliejifunza kufanya chambuzi na mambo mengine...
Mjadala nyeti hivi sasa kwenye Taifa letu ni kuwepo kwa tume huru ya uchaguzi.
Pamoja na ukweli huu, ukweli ni kuwa chama changu CCM kimeshindwa kuwaeleza watanzania kwa nini hakitaki tume huru...
Baada ya taarifa kwa umma iliyotolewa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kulitaka Jeshi la Magereza, mamlaka husika na vyombo vya dola kutoa taarifa wazi na za haraka kwa umma kuhusu...
Nimesikia kauli Moja ya Lema anasema kuhusu sadaka kwenye nyumba za ibada na michango ya CHADEMA.
Huyu jamaa hachuji mambo ya kuongea na hajui madhara yanayoweza kukifika chama chake kwa kauli...
Mifumo ya Zamani ya Mashimo ❌
Kataa mifumo ya zamani ya mashimo kwa sababu itakugharimu mara mbili; mara ya kwanza katika ujenzi na tena katika matumizi (uondoaji taka). Pia, inachukua nafasi...
Tundu Lissu ni baba aambiliki nilimuonya hapa majuzi aache mission yake ya kukiua chama hajataka kusikia.
Sasa anaenda kufundishwa adabu na bingwa wa sayansi ya siasa za upinzani Aikael Mbowe...
Katika historia ya mataifa yote yaliyojikomboa kiutawala, sauti ya wananchi ndiyo iliyovunja minyororo ya uonevu na ukandamizaji. Lakini hapa Tanzania, tunaishi katika kipindi ambapo ukimya wa...
Hata majirani zetu Kenya wameachana na siasa za kuamjadili Rigath Gachagua na badala yake wanajadili Uchumi wa dunia unavyoenda kubadilika kwa kasi
Napendekeza Hussein Bashe awe Waziri wa Uchumi...
Wakuu,
Hivi sheria zinasemaje kuhusu hizi plate number za kwenye magari?
Ni kwamba mimi naweza tu kuamka asubuhi nikaweka jina lolote as plate number au kuna muongozo ambao inabidi ufuatwe...
Mbunge wa kwanza wa jimbo la Ihangiro sasa Muleba Kusini David Bakanyoma Zimbihile amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika hospital moja jijini Dar.Kwa mujibu wa mtoto wake ambaye ni katibu...
Leo Aprili 18, 2025 Kanuni za Maadili ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 zimechapishwa katika Gazeti la Serikali kupitia Tangazo la Serikali Na. 249...
Salaam!
Miaka mingi sana sijaandika. Nipo busy ughaibuni. Lakini, leo nimelazimika kuandika ili kuwasihi.
Nikiwa huku nilipo napata wasaa mzuri wa kuona siasa za Tanzania na uelekeo wake kwa...
Uchaguzi mkuu ujao wa Tanzania unaelekea kuwa wakati muhimu katika hali ya kisiasa nchini, hasa kutokana na tangazo la chama cha upinzani cha CHADEMA kuwa hawatashiriki kusipokuwa na...
Bodaboda ni Nguzo Muhimu ya Uchumi, Si Chombo cha Maandamano
Katika jamii yetu ya sasa, waendesha bodaboda wamekuwa mhimili mkubwa wa usafirishaji, ajira, na ustawi wa kiuchumi kwa mamilioni ya...