Mbunge wetu wa zamani Muleba ametutoka!

Mbunge wetu wa zamani Muleba ametutoka!

Mutabora

Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
45
Reaction score
4
Mbunge wa kwanza wa jimbo la Ihangiro sasa Muleba Kusini David Bakanyoma Zimbihile amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika hospital moja jijini Dar.Kwa mujibu wa mtoto wake ambaye ni katibu wa vijana wa CCM Bukoba Vijijini mipango ya kumsafirisha inafanyika.
 
Rip ila kahalibu kizazi chetu na kijacho kwa kupitisha mikataba ya kipuuzi.
 
RIP lakini tulidhani ni hawa wa MAGAMBA ambao hawaonekani Bungeni... Ili tujiandae kuchukua huko...
 
ungeweza kuandika 'mbunge wetu wa zamani'. pole zao wafiwa
 
Mbunge wa kwanza wa jimbo la Ihangiro sasa Muleba Kusini David Bakanyoma Zimbihile amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika hospital moja jijini Dar.Kwa mujibu wa mtoto wake ambaye ni katibu wa vijana wa CCM Bukoba Vijijini mipango ya kumsafirisha inafanyika.

ok atakumbukwa kwa lipi?
 
RIP Mheshimiwa, wanafamilia poleni sana.

Mbunge wa kwanza wa jimbo la Ihangiro sasa Muleba Kusini David Bakanyoma Zimbihile amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika hospital moja jijini Dar.Kwa mujibu wa mtoto wake ambaye ni katibu wa vijana wa CCM Bukoba Vijijini mipango ya kumsafirisha inafanyika.
 
u might call me an devil, but feeling happy when one of the magambas amerudisha namba.But its too late, hela zote ameshazi pass kwa watoto wake.
 
Rip ila kahalibu kizazi chetu na kijacho kwa kupitisha mikataba ya kipuuzi.

huyu ni mpya hata mwaka hajamaliza sasa ni mikataba ipi ambayo ameipitisha?
 
Back
Top Bottom