Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kutoka Mtandao wa X ndiyo habari mpya. My take: Simuhukumu lakini kusimamia wasichana kutembea uchi au Nusu uchi kwenye stage Mungu anasemaje kuhusu hilo?
1 Reactions
20 Replies
1K Views
Akiachiwa tu,atamwaga kila kitu hadharani. Jamaa hana koromeo. Kwa hiyo tulieni tutajua kila kitu kupitia Lissu mwenyewe. NO REFORM NO ELECTION
12 Reactions
15 Replies
1K Views
Serikali kupitia Wizara ya Afya imesema inaendelea kutekeleza mikakati ya kupambana na tatizo la udumavu nchini kupitia Mpango kazi Jumuishi wa Lishe wa mwaka 2021/22 – 2025/26. Akijibu swali la...
1 Reactions
1 Replies
284 Views
Makundi huwa yanadumaza ustawi wa vyama vya siasa, mfano CCM tulikuwa na Boys 2 Men, Friends of Lowassa, Sukuma gang nk na kiukweli makund haya yalidhoofisha chama na matokeo tuliyaona 2015...
5 Reactions
19 Replies
692 Views
Agnesta Lambert ambaye ni Mbunge wa Viti Maalumu (CHADEMA) amesema kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria itasimama kidete na kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia...
0 Reactions
7 Replies
479 Views
Mambo mengi yanayoendelea kwasasa hapa Tanganyika yananikumbusha mbunge mmoja wa bunge la katiba aliyesema kuwa serikali ya mapinduzi ya Zanzibar haikupatikana kwenye karatasi. Mwalimu Nyerere...
1 Reactions
3 Replies
446 Views
Naomba niwaulize wale ambao wanasema muda hautoshi wa kufanya reforms, je, wapo tayari kwa reforms na katiba mpya kwa ujumla hata kwa baadae baada ya uchaguzi wa mwaka huu? Hii ni kwa sababu CCM...
3 Reactions
9 Replies
625 Views
Tusitafute majibu rahisi kwenye maswali magumu. Kwenye siasa za kidemokrasia, uchaguzi ni kitendo kitakatifu zaidi. Majibu ya viongozi wa CCM na serikali yake kuwa, muda uliobakia ni mchache...
5 Reactions
4 Replies
453 Views
Wakuu, Kuna jambo nilikuwa naangalia hapa jukwaani kwenye uzi wa siku ya kusaini kanuni za maadili, si ndio nikaona kale ka alama kuonesha video imeondolewa bana, kufika utube wanakwambia sorry...
18 Reactions
89 Replies
5K Views
Habari wadau! Kama kichwa cha habari kinavyoeleza, siku hiyo tunaweza kusikia mambo mazito amayo pengine kamwe tusingeweza kuyasikia kwani ni lazima atawavua nguo watu wazito bila kujali nafasi...
6 Reactions
31 Replies
1K Views
Tanzania inatafuta Rais bora zaidi ya wote kwa muhula wa 2030-40, Je vyama vyetu vya Siasa vitatupa wagombea tunaowataka sisi au kinyume chake? ==== 1. Rais ajae lazima awe ni mtu ambae...
23 Reactions
366 Replies
24K Views
➡Mwaka jana 2024 mgombea mmoja aliwekewa pingamizi na CCM kuwa si raia wa Tanzania bali ni wa Kenya. CCM waliambatanisha kitambulisho feki cha u - raia wa Kenya cha mwana CHADEMA huyo ili mradi tu...
5 Reactions
8 Replies
490 Views
Tanzania ikiwa inaelekea kwenye Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, Mwanaharakati huru Cyprian Musiba amesema kuwa tafiti zinaonesha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan...
4 Reactions
21 Replies
1K Views
Habari zenu. Kwanza naandika kuuliza hili swali nikiwa mpya katika masuala ya siasa. Hivyo mnaponipatia majibu naombeni kuzodoana na kejeli na kukashifiana viwe pembeni. Tunaelimishana tu Kati ya...
1 Reactions
24 Replies
1K Views
Wakuu, Hizi ni baadhi ya kanuni ambazo ACT Na vile vyama vingine 14 walienda kusaini last week. Kwa kweli No Reforms No Election. This is too much! =============== Mtu yeyote hatoruhusiwa...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu, Kunazidi kuchangamka, kama waliweza kumvumilia mhaini halisi wanawezeje kuendelea kumshikilia mwingine huku Watanzania wakiona ni mchongo mchana kweupe kabisa? Katika waraka wake...
5 Reactions
5 Replies
589 Views
Aseme nini Zitto asishambuliwe na wanachadema? Akae kimya vipi Zitto asishambuliwe na wanachadema? Wanachadema wengi sana wamehama Chama hicho na kwenda vyama vingine. 2015 Hadi 2020 ikitia fora...
1 Reactions
21 Replies
977 Views
Mkurugenzi Mkuu wa CZ Information & Media Consultant LTD, Cyprian Majura Nyamagambile amesema kuwa Rais hataki kuongoza miaka saba lakini wao wanataka kwakuwa wana haki ya kutoa maoni yao kama...
7 Reactions
270 Replies
30K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…