Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Chama Cha Wananchi (CUF) kimesisitiza kushiriki uchaguzi mkuu wa mwaka huu, huku kikiwaalika makada wa Chadema waliounda kundi la G-55, kujiunga nao ili wagombee kupitia chama hicho. G55...
1 Reactions
21 Replies
1K Views
Huyu mwamba ameonesha ukomavu mkubwa kwenye kampeni za kupambania team Lissu na Heche hadi kusimamia hesabu za ushindi. Haiyumkiniki, Mwenyekiti Lissu atampendekeza katika nafasi ya Katibu Mkuu...
13 Reactions
191 Replies
9K Views
Lissu ana Muku ya kwao hakuna Mtu amewahi kumuweza katika jambo lolote. SSH kuwa makini Sana.
2 Reactions
8 Replies
587 Views
Naiona Tanzania ya kipekee sana baada ya Tundu Antipass Lissu kushinda uenyekiti Chadema. Tundu Antipass Lissu aliyesoma shule ya vipaji maalum ya Ilboru na akasoma Sheria katika Chuo Kikuu cha...
10 Reactions
28 Replies
1K Views
Wanandugu Nimemwona Makonda kwenye clip inayotembea huko mtandaoni. Kwa kweli inaonyesha kama amepatwa na kiwewe cha ajabu huu uchaguzi. Amepaniki kinyama kuonyesha dhahiri niwasisi wa haya...
5 Reactions
17 Replies
1K Views
Japo naunga mkono no reforms no elections, napanga kumpinga SSH lau asipite bila kupingwa na kujiona anapendwa wakati anchukiwa. Naombeeni kura zenu wanangu. Katika uchaguzi huu mgombea mwenza...
3 Reactions
9 Replies
553 Views
Siasa isichanganywe na dini, sisi tunasema dini iheshimike, dini inakubalika, dini iachiwe nafasi kwa mujibu wa taratibu za dini" -Mzee Joseph Butiku - Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Julius...
1 Reactions
4 Replies
551 Views
Huwa nachukia udini japo siwezi kujitenga na uwepo wa ushabiki wa kidini nchini na humu JF. Tangu apate madaraka kwa mkono wa Mungu, rais Samia anaonekana kuwaridhisha mashehe hadi wengine kama...
1 Reactions
5 Replies
516 Views
Tunapoelekea kwenye uchaguzi 2025 ni muhim ViJana wa CCM wakafaham kuwa kinacho waangusha ni kuendeleza Sana utamadudi wa ZIDUMU FIKRA za MWENYEKITI . Kuna mda serikali inafanya utumbo lakini...
0 Reactions
0 Replies
206 Views
Kwenye Baraza la Eid mmedai kuwa uchaguzi ujao wapinzani msiwe ni sehemu ya kuvunja amani na kuleta chokochoko Hizi ni Kauli za Ajabu na mara nyingi nina Doubt uwezo wa mashekh wa Bakwata. Big...
33 Reactions
137 Replies
6K Views
Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi,(CUF) wilayani Handeni mkoani Tanga Hilary Kitwanga ametangaza kuhama chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi,(CCM). Akizungumza kwenye kikao cha...
4 Reactions
18 Replies
932 Views
Ibada hii imefanyika katika Usharika wa Agape Kahama, Jimbo la Magharibi Kahama Dayosisi Kusini Mashariki ya Ziwa Victoria. Imeongozwa na Mkuu wa Dayosisi Kusini Mashariki ya Ziwa Victoria Baba...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Jumuiya ya Vijana ya Chama cha Mapinduzi UVCCM Mkoa wa Geita imesema katika kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025 hakuna mtu ambaye atazuia wala kuleta vurugu katika uchaguzi huo huku Jumuiya hiyo...
0 Reactions
12 Replies
748 Views
Jumuiya ya Umoja wa Vijana ya Chama cha Mapinduzi UVCCM Mkoa wa Geita imekionya vikali Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA baada ya kuwepo kwa tuhuma za kupanga kuzuia kufanyika kwa...
0 Reactions
8 Replies
681 Views
Wakati watu wakiwa na shauku ya kufuatilia kesi ya uhaini inayomkubali Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, Mkurugenzi wa Mashitaka Nchini(DPP) anaweza kuja na uamuzi wa kutoendelea na kesi ya...
0 Reactions
5 Replies
684 Views
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Tanga ndugu Ramadhani Ally Omary (Somo) amewataka viongozi wa chama cha maendeleo na Demokrasia (CHADEMA) kuwa na msimamo kwa...
0 Reactions
14 Replies
678 Views
Aisee watu wa type ya Tundu Lissu huwa hawazaliwi hovyo hovyo Lissu ndo mtu sahihi sana kwa Tanzania Wallah kama kiongozi tunaye Katika mtu unayeweza kumuamini na ku-count on him basi ni huyu...
15 Reactions
24 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa Chipukizi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Iringa Vijijini, Ndugu Ibrahim Musiba, leo tarehe 21 April 2025 amefanya ziara maalum katika Kata ya Masaka, Wilaya ya Iringa , ikiwa...
0 Reactions
1 Replies
292 Views
Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Mzee Joseph Butiku, ameshauri busara itumike katika kutafsiri sheria zinazohusiana na uchaguzi, ili kuondoa misuguano isiyo ya lazima kabla ya uchaguzi...
1 Reactions
1 Replies
329 Views
Nyinyi wanasiasa wewe ni CCM umebahatika umeshika dola haina sababu kwa kuwa wewe una dola unamuona CHADEMA na wananchi unaona ni wabaya, hii ni nchi yetu sote
10 Reactions
17 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…