PreGE2025 Mwenyekiti CUF wilayani Handeni aibukia CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,033
Reaction score
6,885
Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi,(CUF) wilayani Handeni mkoani Tanga Hilary Kitwanga ametangaza kuhama chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi,(CCM).

Akizungumza kwenye kikao cha halmashauri kuu ya CCM wilaya ya Handeni kilichofanyika leo Jumamosi April 19,2025 kwenye ukumbi wa mikutano wa FDC na kutambulishwa na mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi amesema kwamba rasmi amehama na sio tena mwenyekiti wao.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Akieleza sababu iliyofanya kuhama anasema vyama vingine siasa zake zimekuwa ni za msimu ambapo kama hakuna matukio basi na wao hunyamaza,ila kwa CCM muda wote shughuli zinafanyika,hivyo kuona ajiunge huko ili kwenda kusaidiana na wengine.

Njaaa plus Poverty, huko Handeni nako ni full poverty na njia pekee ya yeye kuishi ni hio.
 
uamuzi makini na wa busara sana,
well done 💪👊
 
Njaaa plus Poverty, huko Handeni nako ni full poverty na njia pekee ya yeye kuishi ni hio.
Sio kila anayehama eti ana njaa na hakuna ushahidi kila aliye kwenye vyama vya upinzani HANA NJAA. Nakupa mfano, John Heche ni mwana nimesoma nae na nahishi naye Majengo Mapya Mkolani. Yeye tukiwa kwenye kilaji pale CANADA (muulize anapajua) huwa anasema yeye Chadema anafuta ugali tu wa watoto! Ahahahahaha!!
 
Cdm kuna ugali gani. Labda kama anafuata makombo ya ugali.
 
Kuna mdogo wake mmoja (Sina uhakika kama ni mdogo wake kweli) akiishakunywa Konyagi huwa anasema Heche anajenga ghorofa hapo Mjini Kati Mwanza na yeye ndio anasimamia ujenzi. Na kazi ya Heche zaidi ya Umakamu Mwenyekiti wa Chadema Taifa na mkewe Mwalimu Shule ya Serikali ya Sekondari ya Kata sijui anafanya kazi nyengine! Ahahahahaha!!
 
Kujenga ghorofa ni utajiri, au una mawazo ya kimasikini hadi ukiona mtu kajenga ghorofa ni tajiri? Hakuna mikopo ya bank, hana chanzo chochote cha mapato? Ww utakuwa ni bonge la mjinga. Huna uhakika huyo anayesimamia kama ni mdogo wake, lakini una uhakika anajenga ghorofa, na hujui hela inatoka wapi!
 
Ahahahahaha!! Bila shaka umeshawajengea bibi na babu yako ghorofa huko kijijini! Ahahahahaha!!
 
Ndio umeweka bundle nini?
Mkuu mtu kama mimi unafikiri naishi kwa kuwa leo ni Sikukuu? Ahahahahaha!
Nimepumzika sasa nakunywa Konyagi ndio nimepata muda wa kujibu!
Ila naamini ghorofa ulilowajengea bibi na babu yako ni zuri sio? Ahahahahaha!!!
 
Unadhani kila mtu wazazi wake ni wa huki kijijini kama ww? Naona unalazimisha kijijini kijijini. We peasant vipi?
 
Nyumbu bwana. Yaani unakwepa swali kijinga kweli! Ahahahahaha!
Haya endelea kukwepa. Ila ujue sie Wahaya tuna "kwetu kijijini". Na tumejiimarisha kwetu huko sawa au kuliko Mjini! Ahahahahaha!!
 
Sijawahi kujivunia kuishi bush boss. Na hata nikitaka kumiliki ardhi huko bush ni kazi rahisi sana. Maana najua nikija huko hata nikiwa na milioni 5, nina uhakika wa kupata ardhi si chini ya heka 5.
 
Watu wajinga hujivunia kukaa Mjini. Ahahahahaha!
Sisi Wahaya tuna kwetu kijijini.
 
Back
Top Bottom